Hakuna haja ya kuongelea chanjo,maana hata baadhi ya nchi za ulaya wameanza kuzikataa. Zinafanya damu kuganda
Inasikitisha sana.
Tulipiga kelele sana kwa maisha ya wote yakiwamo yao.
Katiba mpya ni muhimu sana lakini kwa sasa barakoa na kupambana na ugonjwa huu ni muhimu zaidi.
jamaa alikuwa sikio la kufa
Chanjwa sijakataa. Hata kama simpendi Magu lakin Kuna mambo mengi kwenye chanjoAnayetaka kuchanjwa na achanjwe.
Kwanini mnataka kulazimisha tusichanjwe kwa sababu tu ninyi hamtaki?
Nyie mnaona sawa ku impose wills zenu kwa maisha ya wengine?
Oneni japo aibu basi?
Chanjwa sijakataa. Hata kama simpendi Magu lakin Kuna mambo mengi kwenye chanjo
Wewe punguza ujinga, fatilia nini kinatokea kwenye chanjo dunianiMagu na chanjo wapi na wapi?
Mpende sana Magu. Penda mawazo yake. Penda unachopenda, ila tusilazinishane.
Wewe huoni umuhimu wa chanjo hiyo juu yenu. Tafadhali mahaba niue yenu yasiwe msiba kwa wengine.
Au vipi jombi?
Wewe punguza ujinga, fatilia nini kinatokea kwenye chanjo duniani
We kama unataka kuchanja kachanjwe. Wazungu wenyewe wamezigomea sasaiv huko Spain, Ufaransa na Italy. Kudevelop chanjo yoyote duniani huchukua miaka 5. We umeona wapi chanjo ya ndani ya Mwaka mmoja? Stupid sod
Napoteza muda na mjinga hapa, Ni kama wana CCM walivyokuwa wanaambiwa Mungu wao amekufa wanakataa. PoleNyani kuona kundule ni hadi anunue kioo. Hapo si shughuli pevu?
Mjinga ni wewe jombi.
Kote duniani chanjo zilizopo haziwatoshelezi katika nchi zenyewe.
Fuatilia ujue kwa hali hiyo raia wa nchi moja hawezi kupatiwa chanjo kwa hisani katika nchi nyingine hata kama angeombewa na jiwe.
By the way you seem to be a graduate in stupidity from a stupid unrecognizable institution.
Poor you!
Napoteza muda na mjinga hapa, Ni kama wana CCM walivyokuwa wanaambiwa Mungu wao amekufa wanakataa. Pole
A fool. Nimekupuuza kama Jussa alivyompuuza Amoni.Kama ujinga ni kuhitaji kuchanjwa kama utashi wa mtu binafsi usiopaswa kushurutishwa na mwerevu wewe asiyetaka chanjo na mwenye kudai ni vita vya kiuchumi?
No wonder jiwe is dead today for listening to ignorant fools like you!
Kwamba unadhani yupo mtu yeyote mwenye kutambua umuhimu wa chanjo hii na udharura wake aliye na muda kubishana na wewe au nduguzo hawa?
View attachment 1728793
Kadanganyabeni Lumumba mnapokuwa mnasubiria buku 7.
Unadhani sijakupuuza? ActuallyA fool. Nimekupuuza kama Jussa alivyompuuza Amoni.
Kaka usitukane, Jielimishe kwanza. Kugomea chanjo pale Ulaya si shauri la chanjo hiyo na upatikanaji wake kwa muda mfupi. "No-Vaccers"ni kitu kingine kilichoanza mapema. Unaweza kusoma hapa Vaccine hesitancy.Wewe punguza ujinga, fatilia nini kinatokea kwenye chanjo duniani
We kama unataka kuchanja kachanjwe. Wazungu wenyewe wamezigomea sasaiv huko Spain, Ufaransa na Italy. Kudevelop chanjo yoyote duniani huchukua miaka 5. We umeona wapi chanjo ya ndani ya Mwaka mmoja? Stupid sod
Nimemwona Samia tanga bila barakoa wala social distancing.
Ni muhimu sana kuanza mwanzo mpya.
Shughuli ya mazishi nayo unaweza kuwa msiba mwingine.