Sijaelewa, huyu ni wa kazi gani?View attachment 3027487
Mke huyo apo kwa dunia ya sasa.
Barida Mkuu.Ngoja niutafute mkuu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diamond alishakiri wazi kua peter p square alimchapia sana zari kipindi kile diamond bado yupo nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishalitambua hili na lika jikita vizuri kichwani kujinyonga kisa mapenzi utakua unasikia tu kwenye bomba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao watu wenye hela ndio rahisi kusaidiwa, maana muda mwingi wanakuwa busy kutafuta hela, hapo wahuni ndio wanatumia muda na mademu zao.Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa anawafanyia Matukio kwa Makusudi ili wenyewe Wamuache / Waondoke.
Halafu unakutana na Jitu zima linatamba kuwa eti lenyewe Demu wake / Mke wake huwa habanduliwi na Masela.
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.
Nimemaliza.
Kuweka angalizo ni dalili ya kuwa alochoandika ni upumbavuKuanzisha thread Jamii forums ukitegemea watu wote watakao comment wa LIKE, na kukusifu na kukuabudu bila kuku challenge unakuwa huna tofauti na thread za Lucas Mwashambwa za kumsifia Mama. Na wewe unataka wachangiaji wako wabubujikwe na machozi ya furaha kwenye thread zako!?,hilo angalizo unalowekaga ni dalili za utoto mwingi au za watu wanaojionaga wajanja kumbe weupe tu. Toa maoni acha watu wachangie wakiwa huru. Sio mara sijui anayenipenda, asiyenipenda.., we nani usikosolewe ukiandika Pumba!???
Sasa kama anachukua malaya kwanini asitarajie hayo?Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa anawafanyia Matukio kwa Makusudi ili wenyewe Wamuache / Waondoke.