Kama Tajiri "Bilionea' Diamond kakubali kuwa hata Yeye 'sometimes' huwa anachapiwa / anabanduliwa Mademu zake, Wewe ni nani ukatae kuwa husalitiwi?

Mkipendana kwa kumaanisha usaliti haupo, “UPENDO” hauhesabu “MAKOSA”
 
DIAMOND NI MALAYA NA MADEMU ZAKE NI MALAYA. KAMA MKE WAKO ANALIWA USIWAAMINISHE WATU KUWA NA WAKE ZAO WANALIWA, MTIMIZIE MKEO VIZURI HATACHEPUKA TENA
 
Ukidate na Slay Queens kugongewa ni asilimia kubwa sana. WEMA,zari,Hamisa pale hamna wanawake, ukiwa nao watu watakugongea tuu.
 
Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa anawafanyia Matukio kwa Makusudi ili wenyewe Wamuache / Waondoke.

Halafu unakutana na Jitu zima linatamba kuwa eti lenyewe Demu wake / Mke wake huwa habanduliwi na Masela.

ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
Hao watu wenye hela ndio rahisi kusaidiwa, maana muda mwingi wanakuwa busy kutafuta hela, hapo wahuni ndio wanatumia muda na mademu zao.
 
Kuanzisha thread Jamii forums ukitegemea watu wote watakao comment wa LIKE, na kukusifu na kukuabudu bila kuku challenge unakuwa huna tofauti na thread za Lucas Mwashambwa za kumsifia Mama. Na wewe unataka wachangiaji wako wabubujikwe na machozi ya furaha kwenye thread zako!?,hilo angalizo unalowekaga ni dalili za utoto mwingi au za watu wanaojionaga wajanja kumbe weupe tu. Toa maoni acha watu wachangie wakiwa huru. Sio mara sijui anayenipenda, asiyenipenda.., we nani usikosolewe ukiandika Pumba!???
Kuweka angalizo ni dalili ya kuwa alochoandika ni upumbavu
 
Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa anawafanyia Matukio kwa Makusudi ili wenyewe Wamuache / Waondoke.

Halafu unakutana na Jitu zima linatamba kuwa eti lenyewe Demu wake / Mke wake huwa habanduliwi na Masela.

ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
Sasa kama anachukua malaya kwanini asitarajie hayo?

Yeye mwenyewe anajua madem wengi anaowagonga siyo kwamba wanampenda kwa dhati bali wanafata umaarufu na pesa zake tu.

So sample uliyotumia kama mfano mzee umepotea sana si kila mtu anachukua mke wake toka club au baa
 
Back
Top Bottom