Kama Tajiri "Bilionea' Diamond kakubali kuwa hata Yeye 'sometimes' huwa anachapiwa / anabanduliwa Mademu zake, Wewe ni nani ukatae kuwa husalitiwi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa anawafanyia Matukio kwa Makusudi ili wenyewe Wamuache / Waondoke.

Halafu unakutana na Jitu zima linatamba kuwa eti lenyewe Demu wake / Mke wake huwa habanduliwi na Masela.

ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
 
We jamaa una ushoga mwingi kweli kwahiyo hapo ndo unashangilia au unawazomea wanaochapiwa na kuchapwa?

hahahahaha nasikia ni wa upande wa pili, embu muulize kwani mbona matajiri wanachapiwa na bodaboda?
Katika kauli za kipumbavu n kuamini pesa itamtuliza mwanamke kwa 100% ni mpumbavu pekee ataamini hiyo kauli
 
1719461558417.jpg
 
Kuanzisha thread Jamii forums ukitegemea watu wote watakao comment wa LIKE, na kukusifu na kukuabudu bila kuku challenge unakuwa huna tofauti na thread za Lucas Mwashambwa za kumsifia Mama. Na wewe unataka wachangiaji wako wabubujikwe na machozi ya furaha kwenye thread zako!?,hilo angalizo unalowekaga ni dalili za utoto mwingi au za watu wanaojionaga wajanja kumbe weupe tu. Toa maoni acha watu wachangie wakiwa huru. Sio mara sijui anayenipenda, asiyenipenda.., we nani usikosolewe ukiandika Pumba!???
 
mpaka ule uzi wako na Dr matola phd uliyokuumbua vbaya hapa jukwaani umeamua kuufunga kwa aibu kubwa🤣🤣
 
Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa anawafanyia Matukio kwa Makusudi ili wenyewe Wamuache / Waondoke.

Halafu unakutana na Jitu zima linatamba kuwa eti lenyewe Demu wake / Mke wake huwa habanduliwi na Masela.

ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
Unamkuza sana Nasib.
 
Kukuchukia au kukupenda ni matumizi mabaya ya chuki na upendo, sometimes akili yako ipo km mbolea ya binadamu
 
hahahahaha nasikia ni wa upande wa pili, embu muulize kwani mbona matajiri wanachapiwa na bodaboda?
Katika kauli za kipumbavu n kuamini pesa itamtuliza mwanamke kwa 100% ni mpumbavu pekee ataamini hiyo kauli
Jaa vizuri ule BAN tena sawa? Na nakuleta makusudi katika 18 na najua unawashwawashwa nami na utajaa tu tena.
 
Kuanzisha thread Jamii forums ukitegemea watu wote watakao comment wa LIKE, na kukusifu na kukuabudu bila kuku challenge unakuwa huna tofauti na thread za Lucas Mwashambwa za kumsifia Mama. Na wewe unataka wachangiaji wako wabubujikwe na machozi ya furaha kwenye thread zako!?,hilo angalizo unalowekaga ni dalili za utoto mwingi au za watu wanaojionaga wajanja kumbe weupe tu. Toa maoni acha watu wachangie wakiwa huru. Sio mara sijui anayenipenda, asiyenipenda.., we nani usikosolewe ukiandika Pumba!???
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
 
nili comment siku kua tangu uchapiwe umekua kichaa sana, nikapewa onyo na mods ila we jamaa now days tangu ugongewe manzi yako umekua kichaa++
 
Back
Top Bottom