Kama Tanzania ingeshindwa vita ya Kagera: Je, Rwanda na Uganda zingefika hapa zilipofika leo?

Mkuu nakushukuru sana kwa kutiririka vilivyo: Haya uliyoyasema yanafanya nifikirie kwamba kuwafadhili wakina Museveni na Kagame yalikuwa ni makosa makubwa sana kiufundi ambayo yanaugharimu huu ukanda wa Afrika Mashariki hadi leo.
 
Mkuu, siwezi kukukatalia kabisa kwasababu mimi ni mwanafunzi mzuri wa historia. Nilichojifunza ni kwamba historia ni sayansi ya mambo ya mbele na siyo mambo ya nyuma: Hivyo katika kusoma kwangu historia mpaka kufika umri huu naamini lolote lile linaweza kutokea kama wanadamu wataamua.

Mwaka 1862 mtu alikuwa akisema nchi ndogo kama Prussia itakuja kutawala Ulaya yote hakuna aliyeamini. Lakini ndani ya miaka tisa tu waliweza kuunganisha mataifa zaidi ya 39 yanayozungumza kijerumani na kuyapiga kijeshi mataifa yenye nguvu Ulaya kama Ufaransa, Austria na Denmark.

Miaka ya 1897 Theodor Herlz alivyoanzisha harakati za Uzayuni ili kurudi Mashariki ya Kati na kutengeneza taifa la kiyahudi hakuna aliyekuwa anaamini hasahasa ukiangalia nguvu ya dola la Uturuki kwa wakati huo. Wayahudi walikuwa wanakaa na Wapalestina kama ndugu tena kwa amani: Kiufupi walikuwa hawana madhara, lakini kuanzia mwaka 1917, 1919, 1946 na 1948 kuelekea Six Days War na Yom Kippur hakuna Mwarabu aliyeamini yaliyotokea.

Siwezi kukupuuza kabisa mkuu, hasahasa nikiangalia mwenendo wa Tanzania siku hadi siku. Muhimu tu tupate taarifa za ukweli wa yanayoendelea na siyo hadithi za kupikwa.
 
Mkuu nakushukuru sana kwa kutiririka vilivyo: Haya uliyoyasema yanafanya nifikirie kwamba kuwafadhili wakina Museveni na Kagame yalikuwa ni makosa makubwa sana kiufundi ambayo yanaugharimu huu ukanda wa Afrika Mashariki hadi leo.

Ni hatari pale dini au kabila au jamii moja linapotaka kuwa juu ya makundi au jamii nyingine huku vitu kama rangi, umbo LA pua, imani, kimo, ukubwa wa macho, urefu wa shingo, urefu wa miguu vikiwa vigezo

Yaani Ukiwa mweusi hata uwe Na uwezo kiasi gani kwa brain yako wewe ni sifuri tu mbele ya mjerumani - kisa rangi. Hata uwe Na uwezo kiasi gani lakin kama pua yako ni bapa kama sambusa wew aisee ni sifuri tu mbele ya MTU mwenye pua iliyochongoka kama ya 'mrembo wa kiitaliano'. Teh teh teheee

Kua uyaone

Ni rahisi tu. Unawafanya kama nkurunzinza tu. Network zao zote zitakuwa hazishiki tena
 
M7 alikuwa hana pa kutumia kuingia Ikulu ya Kampala. Kulikuwa Hamna chaguzi kama Siku hizi. Alikuwa hana base yoyote. Angetumia ardhi ya Nani kuanzisha vita kamili dhidi ya jeshi kamili LA nchi ya Uganda? Kenya isingekubali. Tanzania isingekubali. Burundi Na Rwanda wasingekubali. Sudan pia maana huko ndo atokako Amin. Labda Congo. Lakin Congo nayo ingekuwa Na changamoto zake nyingi tu.

Trick miaka ile ilikuwa kupitia mapinduz ya kijeshi. Sasa jeshin kajaza nduguze Na mwenyewe ni mjeshi. Wapinzani wake wakabaki ku-operate kama majambazi.
 

Malcom Lumumba Marehemu Baba wa Taifa mwalimu Kambarage Nyerere asingeshinda leo hii we ungekuwepo hai? au maybe mngekuwa mnaitwa waganda? who knows🤷‍♂️
hii mada imejaa ujinga mtupu, wivu, chuki, visasi, na kutojitambua.

What if Baba wa Taifa asingekukomboa kutoka kwenye unyampala wa mkoloni? we si ungekuwa bado kolokoloni tu? mbona kuna mengi ya kujiuliza tuu. Inakuwaje umeanzia matukio ya hivi karibuni? siku nyingine labda huwe unaanza tangu dunia ilivyoumbwa basi, tujue kabisa hauna agenda, just living the dream, mh? hizi mada za kijinga uwa zinaniuma sana even though sometimes huwa unaleta mada za kueleweka, hii mzee umeteleza kabisa.

Yani kwa kifupi we unaona bora mngeshindwa na Amini kuliko wanyarwanda au waganda kuishi maisha bora ya kupeta leo hii? mi mbona sikuelewi🙄. Achana na mambo ya kizamani, tupige hatua kaka, siku hizi umoja ndio nguvu.

Hebu jiulize, kama yale manterahamwe na wasaliti wanaotia matumbo yao mbele wasingekuwa na upenyo wa kuja huko nje na kuwa wanarudi mara kwa mara kuleta vita za kijingajinga, unafikiri sie tungekuwa tunaenda kuwasaka nchi za watu kwa misingi ipi? very weird post.

Btw Mheshimiwa Magufuli kawafikisha wapi kwa kuwaburuza😍, mtatia akili tu na maendeleo yatakuja hivyohivyo kinguvunguvu tu.
 
Mmmhhh
 
IDD AMIN ANGESHINDA VITA , UKANDA HUU UNGETAWALIWA NA WABANTU TU KAMA KINA MOBUTU " DRC" KINA NDADAYE BURUNDI'' HAVYARIMANA RWANDA'' HIVYO VIONGOZI WA KI HAMITI '' NIROTICS'' KAMA KAGME & M7 WANGEKUA MACHINGA TU
 
There is a famous Haya Proverb which goes like this: Akalimi Karungi kalaza empisi aha rwigi: Meaning: sweet words lure the snake out of its cave.

And I can finally see that this thread has totally drew the snake out of its cave: You are welcome man, by the way where you been at?
 
Ndgu kama ma interahamwe waliwapa funzo kwanini mnarudia yaleyale ubaguzi wa kikabila hadi leo 14% tutsi mnahodhi nafasi nyeti serikalini ,msiishie kuongea umoja kweny mitandao fanyeni kwa vitendo hizo sera zenu na kagame ipo siku mtauwana tena nyambaf*
 
Well said & it will real come out with these people of kagame ,hima empire planer.
 
IDD AMIN ANGESHINDA VITA , UKANDA HUU UNGETAWALIWA NA WABANTU TU KAMA KINA MOBUTU " DRC" KINA NDADAYE BURUNDI'' HAVYARIMANA RWANDA'' HIVYO VIONGOZI WA KI HAMITI '' NIROTICS'' KAMA KAGME & M7 WANGEKUA MACHINGA TU
Mkuu sisi hatuwezi jua, lolote lingeweza kutokea "History and the future are never linear". Lakini ninachoweza kusema kwa uhakika kabisa ni hiki : Kinachotokea sasa kwenye huu ukanda wetu kilichangiwa sana na The Nyerere's Doctrine of active Intervention.
 
Mkuu sisi hatuwezi jua, lolote lingeweza kutokea "History and the future are never linear". Lakini ninachoweza kusema kwa uhakika kabisa ni hiki : Kinachotokea sasa kwenye huu ukanda wetu kilichangiwa sana na The Nyerere's Doctrine of Intervention.
Ni kweli mkuu & the point to note huu ukanda toka enzi za mwalimu jk ulijengwa ktk misingi ya matabaka ya wahima au nilotics na wabantu ambapo hawa kina mwalimu walitaka kuzitawala Tz , Brndi , Rwnda, Congo ,Ugnda then Kenya na kwa ushahidi tu wa hilo 1.Idd Amin mwalimu hakumpenda kwakua bantu 2.Marais wakibantu toka Burnd & Rwnda walidunguliwa wakitokea Tz na walipandishwa ndge moja ili mpango uende vizuri 3. Rais Kabila 'bantu'wa Congo aliuliwa na kina kagame na m7 sababu zile zile ili waishike nchi NDADAYE wa Burndi alichinjwa mchango wa kagame upo 4. Juzi Nkurunziza aliandaliwa mapinduz kwakua tu ni mhutu walio andaa zoezi likashindwa walikimbilia kwa kagame mpaka leo wamehifadhiwa huko 5. kagame huyo alitaka kumkagame Mh JK Kikwete n.k n.k hivyo kifupi hima empire ni mpango ulikuwepo ila kwa neema ya MWENYEZI tu.
 
Mkuu haya ni ya kweli ???
 

Nasikia sikia hivi ila siamini kwa saaana hizi stories.
Na kama iko hivyo haya mambo ya sijui hima Basi kuna kazi. Kama ni kweli haitawawia urahisi. Maana kwao kwenye kumejaa Hutu, very opponent na hii makitu. Na wala hawafanyi lolote kuwajumuisha hao Hutu, badala yake wanawaminya na Hutu kuminyika.

& they don't make good politicians. Wanabaki kwenye magwanda ya jeshi miaka yote - meaning leading by force. Dunia nzima inatoka huko, Africans tunabaki kuwa vituko. Watu kwa uvivu na ulegevu wao wanaona survival ya kuishi vizuri ni kuwa viongozi tu

Afrika mwajiri wa maana ni serikali tu. Ndo kuna garantii ya mshahara, kazi isiyo na presha na maisha bora.
Sasa kama unasema serikalin wamejazana wenyewe INA maana kukimbia njaa mtaani. Labda ni goigoi, wavivu, si wabunifu na nk

Jiwe yuko vulnerable sana kupelekwa chaka

Siku zinavyozidi tutajua kama hizi ni stori tu au kuna ukweli
 
Mkuu wa afrika kazi tunayo ila kwa sasa hizo vitu hazito wezekana ila shida iliyopo KUBWA waafrika watawala wajidai kupendelea makabila yao ktk kuwapa nyazifa nzuri serikalini na kuwaacha makabila au jamii nyngine wasindikizaji kitu ambacho mwsho wasiku mtawala hyo akitoka anaacha moto kwa waliobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…