Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Maana hela za kujengea vyoo kwenye shule za umma hakuna ila za kununulia magari yao ya kifahari zinapatikana!!!Kila beberu ana beberu wake, hawa viongozi ndio mabeberu wenyewe kwa wananchi wa kawaida.
Kabisa, jamaa ni wapuuzi.Maana hela za kujengea vyoo kwenye shule za umma hakuna ila za kununulia magari yao ya kifahari zinapatikana!!!
Ajabu umaskini wetu wanatajwa mabeberu na wakoloni ila utajiri wao hatuambiwi chanzo ni nini?Tatizo lipo kwa watanzania wenyewe kukubali kuongozwa na walafi
Uliwahi kuwaamini kwenye lipi hata moja tuu?Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu.
Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
Shetani mwenyewe hawaamini!!Uliwahi kuwaamini kwenye lipi hata moja tuu?