Kama TBC wameshatoa tamko wewe ni nani ubishe!?

Mbona wameishatolewa tunachotaka kuhesabu ni katolewa kwa goli ngapi basi.
Huwezi jua labda wataifunga Yanga goli 5 maana msemaji wao kasema video analysis wamefika jana kutoka spain hahahaa kaniongezea nyama ninacho kiandika kuhusu yasiyo tarajiwa,(uncertainty), ambapo hakika yasiyo tarajiwa husababishwa kwa asilimia kubwa na binadamu kwa makusudi ama kwa kutokujua
 
Huwezi jua labda wataifunga Yanga goli 5 maana msemaji wao kasema video analysis wamefika jana kutoka spain hahahaa kaniongezea nyama ninacho kuandika kuhusu yasiyo tarajiwa,(uncertainty)
Deviation of reality from actual hyo itabi iwekwe kwenye tukio la mwaka.
 
Deviation of reality from actual hyo itabi iwekwe kwenye tukio la mwaka.
Iko hivi asilimia kubwa ya yasiyo tarajiwa,(changamoto), husababishwa na binadamu kwa makusudi ama kwa kutokujua asilimia ndogo sana hutokana na majanga, binadamu anaweza kusababisha changamoto kwa mtu mwingine ama kwake yeye mwenyewe, tumeona katika maisha yetu ya kawaida watu walio wengi wanajizima data hata tunao wapa dhamana
 
ila Yanga mmepiga hatua siyo siri. Wenye kumbukumbu nzuri wanakumbuka kuna kipindi hata hivi timu vidogo vilikuwa vinawasumbua. Leo mnavipigapiga hata mkiwa mmefumba macho.
Wakaze sasa ili waache kuanza kwe raundi za awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…