Uchaguzi 2020 Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?

Na kwa kinywa chake mwenyewe Tundu Lissu ametamka si mara moja wala mara mbili bali several times kwamba akishinda lazima atangazwe, iwe kwa heri au shari!

So, discussion ya "viti maalumu" imlenge zaidi JPM na si Lissu.
😀😀 Ni swala la muda tu,choroko na mbaazi vitakaa sehemu yake.
 
Alie kwambia Tundu Lissu wafuasi wake ni minority ni nani?
WEWE UMESIKIA WAPI. (Kwa sauti ya mbunge Bwege)
 
Juzi Magufuli analia kuwa vijana wamekosa ajira.... sasa kama sekta binafsi iko vizuri sana, mbona vijana hawana ajira?

Tatizo wanamsifu kwa uongo sana, wakati wananchi ndio tunaishi ukweli. October 28 watajua mbivu na mbichi
hIVI AKILI ZAKO ZINAKUAMBIA LISSU ATALETA AJIRA, KIJANA FUNGUA MACHO NA MSIMPACHIKE MGOMBEA WENU ZIGO ASILOWEZA KULIBEBA. KIJANA NI KAWAIDA KWENYE KAMPENI WANASIASA KUTOA AHADI 100 NA KUTIMIZA 10. KUPUNGUZA AJIRA TANZANIA KWA ASILIMIA 60, ITATUCHUKUA MIAKA KAMA 20 YA UCHUMI USIOPUNGUA 5-7% KILA MWAKA, NA LAZIMA KUWE NA MCHANGANYIKO WA UCHUMI WA BIASHARA, KILIMO, VIWANDA NA MADINI. TUKITEGEMEA BIASHARA ZA KUAGIZA VITU NA KUVIUZA TUU , TUTAZIDI KWENDA CHINI NA KUTEGEMEA NCHI KAMA CHINA KWA BIDHA
 

Msigwa kamjaza uchafu huyu mzee Pascal, kuwa mzee Magu anaweza kumfikiria kwenye teuzi zake kama atalitukuza jina lake huku Jf.....

Asichokijua Pascal ni kwamba, the moment alikata tamaa ndio moment mageuzi makubwa ya kisiasa yanaenda kufanyika.....

Kwa Magu anakosa, na kwa Lissu anakosa.

Mkosi gani huu??????
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Well said Mayalla! Hi haijawahi kutokea katika chaguzi zote zilizopita. Haya mashirika binafsi yanaona juhudi, wako katika nafasi kubwa yakubaini utofauti wa kiuongozi kwakuwa wao ndio wadau wakubwa wa ujenzi wa nchi. Hapa kijijini kwetu vikundi mbalimbali vya wajasiliamali wametoa ahadi ya kura kwa JPM nadhani wao pia wamegundua tofauti ya kiungozi.
 
Hata mwanamke kila siku unamuhakikishia huna mwanamke mwingine na ni yy tu bt moyoni unajua so hao wanamzuga tu
 
Juzi Magufuli analia kuwa vijana wamekosa ajira.... sasa kama sekta binafsi iko vizuri sana, mbona vijana hawana ajira?

Tatizo wanamsifu kwa uongo sana, wakati wananchi ndio tunaishi ukweli. October 28 watajua mbivu na mbichi

Mkuu, una logic nzuri sana...
Wengi hawakufikiria hoja hii.
 
Kula zihesabiwe hadharani kama walivyofanya CCM kwenye kura za moani
 
Maana ya Mayalla ni njaa
 
Ndugu yangu ID yako inaonyesha wewe ni mbabe kweli. Maana unajibu hoja kibabe. Wait and see time will tell. Mwezi wa 11 tutarudi tena hapa na story tofauti kabisaa.
 
28102020
29102020
30102020
Tukutane hapahapa kupongezana na kupeana pole

Maendeleo hayana vyama😍
 
Sasa ulishaona wapi mtu kapigwa risasi upande wa kushoto na kuumia upande wa kulia!




MAGUFULI4LIFE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…