Independent-Mind
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 712
- 207
Mkuu kutokana na Jinsi ulivyoichambua habari then you got the Wrong Heading
Sababu katika hiyo Habari There are 4 parts in Question,na kwa mujibu wa wewe Karma inaweza mtafuna yeyote kati ya Mengi,Zitto,Ikulu ama Hao waandishi wa Magazeti pale tu ukweli utakapothibitika.Sasa Ukweli haujajulikana,pia kumbuka sio tu Zitto au Ikulu kutakiwa kukanusha bali pia Waliotoa hizo habari kutakiwa kuthibitisha.Sasa Umekurupuka na kuformat Haeding ya Habari yako kwa kutumia Jina la Zitto hali ya kuwa hujathibitisha kama ana hatia,Kwa nini usingetumia jina la Mengi hapo ulipomuweka Zitto kwenye heading?,sababu kwa mujibu wako mwenyewe Karma bado yaweza kumrudia hata Mengi,au kwa nini usitumie Ikulu? au Kubenea aliye initiate hiyo habari wote hao wapo katika poisition ya kutafunwa na Karma.Next time Punguza mhemko na Chuki ambayo unajaribu kuificha ila inajotokeza dhidi ya ZZK.