Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Pasco hivi bado kuna uwezekano wa kuteuliwa kuwa hata mkuu wa wilaya?
 
Last edited by a moderator:
Yeah.....he pretends to be RADICALIZED....!!!! Of which he is NOT EVEN NEAR TO EXTREMISM....!!!!

And extremists are not TALKATIVE at all...!!! They are acting.....!!!

Huyu anaongeaaaaaaaa UDINIIIIIIIIIIIIII, utafikiri ANAMJUA kweli kweli MUNGU, au ni NDUGU YAKE MUNGU...if u test him ULIKUTANA NA MUNGU WAPI...!!? hana la kujibu....hawa ndio kizazi kilicho oza na kupotea...THE WORLD AUTOMATICALLY through NATURE always sweep away and deplete generation ya hivyo...!!! Sbb hawajui at all the PURPOSE OF LIFE...!!! they live as if they never existed....!!!! Just rubbish...!!!
ukiwasikiliza utafikiri huko ccm hakuna wakristu wala wachaga. ni kama nchi hii kura wanapiga waislamu tu.

wakristu na wachaga mliopo ccm wasikilizeni vizuri hawa vichwa maji. kama ccm haitakemea huu upuuzi wa kidini na inaendelea kuutumia kama kete ya kushindia uchaguzi basi wakristu na wengine wote msio waislam hamna budi mfanye analysis yenu vizuri kabla hujaiachia kura yako idondoke kwenye sanduku la kura.

Jiulizeni kama kwa stahili hii watoto na wajukuu wenu watakuwa na future gani ikiwa chama kinachotawala kinachochea udini na ukabila?!!!
 
ngoja tuone hili movie la kihindi litakapoishia
 
Hivi ndivyo mnataka tuwajibu!!!

Zitto ninaweza kuwa chini yake kwa mtazamo wako wewe wala sikukatazi!!!

Ila ukumbuke Mimi sijakulia kwenye jamii inayokunya vichakani utambue hilo.....

Pole sana, unajisifu kunya!! Ndio maana hata akili zako zako zinaviashiria vya huko. Soma majibu ya Zitto halafu linganisha na hizo akili zako za kujisifu kunya.
 
Usimsingizie Mzee Kilagane alijistaafia zake kwa amani bila ugomvi na mtu baada ya kufikia umri wa kustaafu.
 
Pasco nitofautiane na wewe, Mengi anapambwa sana kuwa siku zote huwashughulikia wanaopingana nae nikuhakikishie ana uwezo wa kupambana na wanasiasa masikini. Vita ya Mengi na Rostam ni vema ukili kuwa Mengi ndio alijishushia hadhi kwani uchafu wake ulioneshwa waziwazi. Rostam hakuacha ubunge kwa kelele za Mengi, mfanyabiashara mkubwa kama Rostam alikaa pembeni ya siasa ili vuvuzela asimuaharibie goodwill yake.
Mengi anajificha nyuma ya vyombo vya habari kupambana na wenzake kwa Zitto atakaa mwenyewe. Na naona vijana wa Mengi pia wanahangaika kumchafua Lowassa hapo hata asijisumbue level yake akina Muhongo kwa Lowassa ni level nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilivyomuelewa mengi . Alimaanisha kuwa ni hatari kwa maisha yake kwa kuwa anaweza akatokea mfanyakazi yeyote wa vyombo vya usalama ambae atadhani kuwa rais anataabishwa na mengi kisha kwa nafasi yoyote atakayoipata akamdhuru mengi. Kumbe kwa hali halisi kukaa kimya kwa ikulu pengine ni ktk mazingira ya kawaida na sio kuwa inssumbuliwa mengi. Hivyo mengi anachotahadharisha ni kama kinga kwake pale ambapo ikulu itakanusha. Na tamko la ikulu litaondoa sinstofahamu yoyote kwa watendaji wa usalama ambao kama nilivyosema hapo juu wangeweza kutenda lolote lenye madhara ama kuondoa uhai wa mengi.
Rejea mfano wa mengi kwa askofu wa cantibury miaka hiyo ya elfu moja na kiongozi wa uingereza wakati huo.
 
Mungu mwenye huruma akupe uhai na afya njema Dr Mengi, huyu kijana Zitto anasemwa semwa sana siku hizi na jamii inayomzunguka, kwa nini awe yeye peke yake? Zitto haaminiki tena siku hizi wananchi wameshamjua anafanya kitu gani tumpuuze.
 
mkulu hakuna cha kitendawili hapo, lipo wazi tu...

ccm was threatened by the rapid outgrowing of cdm and other political parties, ukuaji ambao kwa kiasi kikubwa upo facilitated na weaknesses za ccm yenyewe hasa ishu ya ufisadi, wizi wa mali ya umma, kutorosha mali za umma nje ya nchi, kujiweka mbali na wana wa nchi na kutowatumikia wana wa nchi.

kuona hivyo, strategists wa ccm, ambao wengi wao wamezoea vya kunyonga coz vya kuchinja vyataka utaalam, plans na subra, wakashauri harakaharaka kuwa cha kufanya ni kumhonga zitto afanye fujo cdm na atakapoguswa tu aanze kulalamika kuwa anaonewa eti kwa kuwa si mchaga na si mkristu(kumbuka huyu alikuwa ni mbunge wa cdm, naibu katibu mkuu wa cdm na kupitia cdm akajikusanyia uongozi katika kamati mbalimbali za bunge). cha ajabu huyo huyo ndo anayelalamika kuwa anaonewa na hapewi nafasi za kuongoza ndani ya cdm. na by the way hata miaka 40 hajafikisha.

kwa upeo wao mdogo mafisadi wa ccm walistrategize kuwa akilalamika zitto kuwa kaonewa, na kuwa kaonewa coz si mkristu na si mchaga basi maana yake hapo wanaonewa waislamu, ndo hasa walikuwa wanalengwa hao. waislam wakishajengewa huo uongo basi na makabila mengine ambao si wachagga naturally watakimbia cdm. ni ishu kama ile ya nyakati zile ya cuf kuitwa magaidi na chama cha waislamu, nyakati hizo cuf ikiwa juu. eti ikishakuwa fujo cdm itamfukuza na akishafukuzwa eti na waislam nao wataondoka cdm.........mtu asiye na sera hutumia udini au ukabila au hata jeshi kutawala nchi.

unfortunately, the strategists were wrong and could nt interprete well the writings on the wall....wananchi wa dini zote na makabila yote sku hizi ni waelewa, wanaelewa adui yao ni mafisadi ya ccm na si wachaga wala wakristu wa nchi hii ya Tanzania. baada ya snitch kuondoka cdm ndo kwaaaaaaaanza yazidi kupaaa, siri za chama hazivuji tena na kuaminiana ndani ya chama kati ya viongozi wakuu kumerudi tena...

wakati wa mabadiliko ukishafika ni ngumu kuyazuia..wananchi wanataka mabadiliko.

Utanisamehe kwa kuamua Ku quote uzi wako, nimeupenda umenibariki sana na kunipa nguvu jumapili ya bwana siku ya leo. Wenye masikio na wasikie. Amina!
 
Nani asiyemjua mengi na ufisadi wa mali za umma na utumiaji wake wa vyombo vya habari ovyo.

Ameua viwanda vyetu makusudi ili vyake viimalike, mengi hana huruma kwa wanyonge hata kidogo.
 
Mlio karibu na Zitto mwambieni Sifa anazozipenda Sana kuwazidi wanawake zitamtokea puani!!!!

Si Mara moja hata JK mwenyewe amewahi lalamika ingali Zzk akiwa CDM kwamba huyo kijana ni mnafiki na anamfwata fwata Sana.... JK alisema, "huyu kijana anamatatizo gani? si ajenge chama chake?"

Zitto ni mnafiki na ndumilakuwili Wa viwango vya juu Sana!!! maji aliyoyaingia ni kina kirefu Sana kwake soon atazama!!!

Watu Kama akina Mbowe....Lipumba.... Mbatia..... Dr. Slaa Zitto si saizi yake kabisa ila kwakuwa anapewa Sifa za kijinga na wapuuzi wenzie anaamini anaweza pambana na yeyote na sasa amemwingia Mengi!!!!

Huyo dogo malezi na jamii aliyokulia inaonekana ni yakitumwa iliyokosa nidhamu na adabu.....

Very soon ataona outcome ya Upuuzi wake......

Kwanza Una jazba(Sishangai thts is Chademaism)
1.JK huyu akisema maneno ambayo ni machungu kwa CDM mnamuita mpuuzi,mjinga,hana akili na kila aina ya matusi,akiongea mabaya kumhusu Zitto(kama kweli aliongea) basi ni shujaa na unamtumia kumnukuu Nyie Chadema watu gani msiopenda kuhimili yale yasiyowapendeza amsikioni?
2.Kila siku Zitto sifa zitamtokea Puani,HAZIMTOKEI.Maji aliyoingia ni kina kirefu atazama soon,HAZAMI muda unaenda tu.Inatakiwa ikifike kipindi ukubali Strengh ya huyu jamaa katika uanaharakati na upambanaji itakusaidia pia hata katika maisha yako binafsi.
3."Sasa amemwingia Mengi": Kwanza ujue hajamwingia Mengi na Mengi mwenyewe amelijua hilo sasa na nafikiri atatumia busara kulihandle hili swala,Habari ile Source ni -----------(KUBENEA) na Taifa Imara(RUGEMALILA),the names in Brackets tells it all about the news authenticity.Lakini hata kama inabidi kumwingia Mengi kama hayuko sawa ZZK ana uwezo huo na atapambana nae tu,sio hulka ya ZZK kumwogopa mtu hasa pale anaposimamia ukweli.
3.Puting aside Prof. Lipumba ambaye kwanza si Class ya hao wengine uliomuweka nao lakini ni Mtanzania mpumbavu tu atakayekubaliana na wewe kwamba Slaa,Mbowe na Mbatia wanamzidi uwezo ZZK(I know this is bitter truth)
 
hivi wewe unaakili kweli?
 
Kama Dr Kimei anavyo itumia CRDB kuneemesha Kanisa ! kbosho :shocked:
Tutegemee nini kutoka kwako unataka mjadala utoke huku uingie kwenye udini hapa Mungu, Zzk hawazungumziwi kwa dini zao kilaza wewe,kama huna la kuchangia pita kimya kimya kama wengine,au nenda kwenye jukwaa la dini linakufaa
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh

Kimei na crdb yake balaa sana.

Naskia pesa zetu tunazoweka kule hadi fungu la kumi anatolea kanisani.

Bora kuacha kuitumia tuh hii bank
moshdar, TanzaniaLaw, kbosho, Bramo
Tunayo Amana Bank Sheikh wangu, kule Escrow haikupita wala hakuna pesa za masakata !.......uadilifu tu ! :yo:

'Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha kufanya uadilifu, na hisani, na kuwapa jamaa; na anakataza uchafu, na uoavu, na dhulma. Anakuwaidhini ili mpate kukumbuka'
Qur'an: 16:90.
 
Last edited by a moderator:
DR. Dau ni mfadhili number moja wa ACT.

Nssf inatumiwa vibaya sana.

Tutegemee nini kutoka kwako unataka mjadala utoke huku uingie kwenye udini hapa Mungu, Zzk hawazungumziwi kwa dini zao kilaza wewe,kama huna la kuchangia pita kimya kimya kama wengine,au nenda kwenye jukwaa la dini linakufaa

Wewe kahab.a wa Kikatoliki cencer09, mimi nilim quote huyo mjinga mwenzio hapo juu. Acha kihere here kama unapokea pesa za masakata !
 
Last edited by a moderator:
Nani asiyemjua mengi na ufisadi wa mali za umma na utumiaji wake wa vyombo vya habari ovyo.

Ameua viwanda vyetu makusudi ili vyake viimalike, mengi hana huruma kwa wanyonge hata kidogo.

kwahyo kiwanda mfano cha nguo cha urafiki au general tyre vimeuliwa na R. Mengi?
 
Back
Top Bottom