The most interesting part of this new political game ni kwamba wapiga debe maarufu wote wa CCM hapa JF (na pengine hii inaakisi jamii nje ya JF) ndio hao hao wapiga debe maarufu wa Zitto (which does not necessarily mean ni wapiga debe wa ACT-wazalendo/Tanzania)!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nikipata mtu wa kututegulia kitendawili hiki nitashukuru sana.
mkulu hakuna cha kitendawili hapo, lipo wazi tu...
ccm was threatened by the rapid outgrowing of cdm and other political parties, ukuaji ambao kwa kiasi kikubwa upo facilitated na weaknesses za ccm yenyewe hasa ishu ya ufisadi, wizi wa mali ya umma, kutorosha mali za umma nje ya nchi, kujiweka mbali na wana wa nchi na kutowatumikia wana wa nchi.
kuona hivyo, strategists wa ccm, ambao wengi wao wamezoea vya kunyonga coz vya kuchinja vyataka utaalam, plans na subra, wakashauri harakaharaka kuwa cha kufanya ni kumhonga zitto afanye fujo cdm na atakapoguswa tu aanze kulalamika kuwa anaonewa eti kwa kuwa si mchaga na si mkristu(kumbuka huyu alikuwa ni mbunge wa cdm, naibu katibu mkuu wa cdm na kupitia cdm akajikusanyia uongozi katika kamati mbalimbali za bunge). cha ajabu huyo huyo ndo anayelalamika kuwa anaonewa na hapewi nafasi za kuongoza ndani ya cdm. na by the way hata miaka 40 hajafikisha.
kwa upeo wao mdogo mafisadi wa ccm walistrategize kuwa akilalamika zitto kuwa kaonewa, na kuwa kaonewa coz si mkristu na si mchaga basi maana yake hapo wanaonewa waislamu, ndo hasa walikuwa wanalengwa hao. waislam wakishajengewa huo uongo basi na makabila mengine ambao si wachagga naturally watakimbia cdm. ni ishu kama ile ya nyakati zile ya cuf kuitwa magaidi na chama cha waislamu, nyakati hizo cuf ikiwa juu. eti ikishakuwa fujo cdm itamfukuza na akishafukuzwa eti na waislam nao wataondoka cdm.........mtu asiye na sera hutumia udini au ukabila au hata jeshi kutawala nchi.
unfortunately, the strategists were wrong and could nt interprete well the writings on the wall....wananchi wa dini zote na makabila yote sku hizi ni waelewa, wanaelewa adui yao ni mafisadi ya ccm na si wachaga wala wakristu wa nchi hii ya Tanzania. baada ya snitch kuondoka cdm ndo kwaaaaaaaanza yazidi kupaaa, siri za chama hazivuji tena na kuaminiana ndani ya chama kati ya viongozi wakuu kumerudi tena...
wakati wa mabadiliko ukishafika ni ngumu kuyazuia..wananchi wanataka mabadiliko.