Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Mkuu kutokana na Jinsi ulivyoichambua habari then you got the Wrong Heading
Sababu katika hiyo Habari There are 4 parts in Question,na kwa mujibu wa wewe Karma inaweza mtafuna yeyote kati ya Mengi,Zitto,Ikulu ama Hao waandishi wa Magazeti pale tu ukweli utakapothibitika.Sasa Ukweli haujajulikana,pia kumbuka sio tu Zitto au Ikulu kutakiwa kukanusha bali pia Waliotoa hizo habari kutakiwa kuthibitisha.Sasa Umekurupuka na kuformat Haeding ya Habari yako kwa kutumia Jina la Zitto hali ya kuwa hujathibitisha kama ana hatia,Kwa nini usingetumia jina la Mengi hapo ulipomuweka Zitto kwenye heading?,sababu kwa mujibu wako mwenyewe Karma bado yaweza kumrudia hata Mengi,au kwa nini usitumie Ikulu? au Kubenea aliye initiate hiyo habari wote hao wapo katika poisition ya kutafunwa na Karma.Next time Punguza mhemko na Chuki ambayo unajaribu kuificha ila inajotokeza dhidi ya ZZK.
 
Amana bank might be funding jihadists.
 
Wewe kahab.a wa Kikatoliki cencer09, mimi nilim quote huyo mjinga mwenzio hapo juu. Acha kihere here kama unapokea pesa za masakata !

Siwezi kukulaumu kwani imani yako haikupi amani,huna furaha umejaa hasira,chuki,angalia it shows katika lugha yako matusi,kashfa halafu unajiona unatetea iman kwa kutukana, kama wewe mfuasi wa huyo Mungu unatukana watu namna hiyoyeye mwenyewe yukoje? Si atakuwa anafanana na Lusifer? Anyway was just thinkingvaloud
 
Last edited by a moderator:
Tutegemee nini kutoka kwako unataka mjadala utoke huku uingie kwenye udini hapa Mungu, Zzk hawazungumziwi kwa dini zao kilaza wewe,kama huna la kuchangia pita kimya kimya kama wengine,au nenda kwenye jukwaa la dini linakufaa


...... kilaza hukuona kuwa ni tusi wewe mbuzi katoliki cencer09 !?
Kaanze kumkataza Gwajima kutukana watu !
 
Last edited by a moderator:
Pasco kuna new info kuwa mmiliki wa gazeti lililosema hayo yote ni JAMES Rugemalila....
sijui unajua hilo?
acha usanii weyee MZEE WA VIJISENTI aka MAKENGEZA anafanya uovu wa kukomba kodi zetu kila kukicha umeskia amepata hukumu ya KARMA?
 
...... kilaza hukuona kuwa ni tusi wewe mbuzi katoliki cencer09 !?
Kaanze kumkataza Gwajima kutukana watu !
Pole tena afadhali ya wewe unayetukana na kukashifu watu ukifikiri unaeneza iman lakini wenzako wanachinja shingo za binadamu,mtoto wa kike wa kipakistan alipigwa risasi kwa kutaka elimu,wewe kareti unachezea msikiti gani?
 
Last edited by a moderator:
Hii ya Mengi nzito.Nadhani Mengi kabla ya kuongea na press aliongea na ZZK na pia Kubenea na ukafanyika uchunguzi wa kina.Kwa mtazamo wangu kuna zaidi ya yale tunayoyasoma na hatuyajui.Lakini muda wake ukifika tutayajuwa.
 
NAona MEngi ni kama Baraba, Karma haimhusu.

 
Kumfananisha zitto kabwe na Dr. Slaa is understatement of the century. 1.kielimu tu, Dr slaa amemshinda, ni msomi anaeheshimika duniani, kama sikosei ni miongoni mwa wataalamu wasiozidi 6 duniani wa cannon law, narudia, duniani! 2.mafanikio ya kiutendaji wa kibunge walipokuwa wanahudumu bungeni kwa wakati mmoja bungeni, Dr. Slaa ndo mbunge alikuwa anaongoza kwa kuchangia mara nyingi bungeni kipindi chote yumo humo, hoja binafsi, kuuliza maswali ya msingi na na kuchangia, zitto kabwe hakuwemo hata kwenye tano bora, 3.Dr slaa amepata tuzo nyingi kutoka mashirika mbalimbali kwa kutambua mchango wake katika kutetea maslahi ya wananchi akiwa bungeni, zitto hana. 4.utendaji wa kibunge jimboni na miradi ya kijamii, data zinaonyesha kuwa Dr slaa ametekeleza miradi mingi akiwa mbunge na kuikamilisha, miradi ya maji, afya, elimu, Dr ametekeleza katika kila kijiji na sio kata, kavuka hadi lengo la serikali ambalo bado lipo bado katika level ya kata,zitto hajafika hizo level 5.usimamizi katika taasisi binafsi anazoziongoza, mwaka juzi CBRT ilipewa tuzo kama taasisi inayoongozwa kwa ufanisi wa hali ya juu. Hata profesa kitila mkumbo alipokuwa anawajadili watu wanaogombea urais kupitia raia mwema, alipokuwa anamzungumzia Dr slaa alimpa credit kama mwanasiasa muadilifu na mchapakazi ambae hajawahi kumuona, na ikumbukwe prof. Kitila alisema haya akiwa tayari ameisha fukuzwa chadema. Sasa ndugu yangu acha kupotosha watu na kumkweza zitto bila sababu wakati anajulikana kama msaliti na mnafiki. Unaweza nijibu kipindi kile alikuwa anaongea na rostam alikuwa anaongea nae nini wakati ndo kwanza kashfa za ufisadi papa zimeibuliwa? Alivyo kuwa anawasiliana na makamu mkurugenzi wa usalama wa taifa jack zoka walikuwa wanaongea nini? Alikana hamjui Andrea cordes wa ujerumani kule mabilioni yalikua yake yanapelekwa, sasa hivi wana ' laikiana' kwenye Facebook na ni marafiki, na huyo dada amewahi kuishi wilaya ya mwanga, imekuwaje? Mwisho nani anaetoa fedha za kuifadhili act sasaiv wakati hawana ruzuku? Acha kupotosha watu
 


Mambo ni mengi muda ni mchache
 
Hiki anachofanya Zitto, is not right at all, hata kama ni kweli, huwezi kumtuhumu mtu asiyeweza kujitetea kwa tuhuma nzito hivi, naona sasa Zitto anaitafuta karma fulani hivi.. ambayo... halafu ikitokea, bado watu watajifanya kushangaa kama ilivyotokea kwa naniliu !.
P
 
Zitto ni mwanasiasa niliyetokea kumchukia sana. Yupo kama mchawi.
 
kwahiyo hata kama ni kweli ulitaka zitto asiyaseme mazila aliyo yapata kutoka kwa bwana yule, na kwakua tu hayo asemayo hayaendani na sifa kadhaa kwny mapambio yako kwa bwana yule?

tuache unafiki, mbona tunawapamba marehemu kwa sifa nzuri, kwanini tusiwapambe sifa hizo wakiwa hai ili nao wajitetee?

Hitler, Idi Amin na wengine tunawaongelea kwa mabaya yao wakt tunajua hawawezi kujitetea, karma kwa hawa imeenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…