#Pasco ...ukishupalia vitu, unajitutumua kweli...!!!
=> Kwanza, Manji hajashindwa na Mengi...na kamwe hatakaa afilisiwe...stop narrating lies...!!!! Hata hakimu aliyekuwa anaendesha kesi ya Mengi na Manji, sidhani kama sbb iliyomwachisha kazi ni hiyo kesi...MAHAKIMU WANA KINGA YAO...ingekuwa hivyo wengi wangefukuzwa kazi sana..!!!
=> Kuhusu Masha, kilichomwangusha ni VITAMBULISHO VYA TAIFA....ile tender ya more than Tshs 324 bil + ndio ilimletea balaa kwani alikomaa achukue yeye kwani ilikuwa chini ya Wizara yake apige hela ndefu hapo...huku mkuu wa Kaya akiwa nae kakomalia, mwishoe Wenje alisapotiwa atoke ktk shitaka alilowekewa na Masha mahakamani, na Wenje alimshinda Masha...So tatizo kubwa la Masha ni hilo
..aliingilia maslahi ya mkuu wa kaya..
=> Kuhusu, Zitto, though I ALWAYS DISREGARDED HIM AS AN OPPORTUNIST...and not a LEADER AT ALL...only low IQ and short sighted will listen and follow him, MENGI HAWEZI KAMWE KUMLETEA MADHARA...!!! I hv reasons, kuhusu ESCROW ni KWELI KABISA...Mengi alipeleka fedha nyingi kumwangusha Prof. Muhongo...huo ni ukweli...
Ila pia, usisahau Zitto ana uadui na Prof Muhongo sana sana, na hata Rais anajua....Prof Muhongo alipopewa Wizara ya Nishati na Madini...Zitto alikuwa kila Mwezi anapokea not less than 800 milioni ya MAFUTA MAZITO YA IPTL....mchezo ulikuwa unachezwa wakati ule Ngeleja akiwa waziri, Serikali ilikuwa inatoa KILA MWEZI 15 BILIONI ZA MAFUTA MAZITO...kila mwezi..sasa ukikaribia mwisho wa mwezi wanakatakata umeme wakidai mafuta yameisha...na MAJI YAMEPUNGUA...NA HATA MSIMU WA MASIKA WANASEMA MAJI YAMEPUNGUA..ila MAJI WANA DIVERT ILI YAONEKANE MADOGO KTK DAMP...KISHA FEDHA ZIKITOLEWA MAJI YANARUHUSIWA.....SO WANAFORCE SERIKALI KUWAHI KULIPA HIZO 15 Bil....halafu Ngeleja, IPTL na Tanesco high rank officials ndio WANAKULA HAPO....na huu ulikuwa mchezo mchafu sana...SASA Prof. Muhongo kuingia, akina Zitto akawaumbua wooote..hadi Zitto alikimbia Bunge siku tuhuma zake zikisomwa..kwani Wakiongozwa na Ngeleja ndio waliiba sana sana....
So uadui wa Zitto na Prof. Muhongo ulianzia hapo...pia Mengi akawa anataka Vitalu vya gesi kwa mgongo wa wazawa, wakati hana uwezo huo...hawezi fanya utafiki au kuchimba visima vya gesi anataka kuleta UCHAGA TU HAPA aturudishe nyuma...So Mengi akaungana na Zitto na maadui wengine wa Prof. Muhongo kummaliza..
So mengine umeandika kweli kidogo...mengine UONGO MTUPU....so hata ww huna KARMA hiyo unayo isemea..
Uko half way right and half way WRONG...!!!!