Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Hivi kwa akili yako Mengi anaweza kuangusha serikali ambayo inavyombo vya ulinzi na usalama? Mengi ataingushaje serikali wakati unajua kabisa suala la Escrow aliyeleta taarifa ni CAG amabye ni mteule wa Rais? Wabunge walichofanya ni kuisimamia serikali, kama Zitto alihongwa na Mengi kwanini hakukataa au kama CAG alikuwa kaleta ripoti ya uongo je mamlaka za usalama serikalini (GSO) zingekubali?
Hapo narudia tena ni vita vya urais maana kila mfanyabiashara anamtu wake ambaye anataka awe rais wa 5 wa JMT

Acha kukimbia hoja kwa kutengeneza hisia za kibabaishaji!Tumia mantiki kuunganisha dots zako kisha hitimisha kwa hoja yenye mwelekeo wa kisayansi ili utushawishi tukubaliane nawe na si kuongea kama wapiga kampeni wa shamba mkuu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Serikali inamkono mrefu sana, kuliko wewe unavyodhani na kwa akili yako unafikiri ulinzi na usalama ni kutumia siraha, kuna mambo ya kiintelejensia, kwa suala la escrow, Richmond yasingewa kutokea kama utawala hauwezi kubaliki yajadiliwe bungeni (Siasa za Afrika) elewa kuwa katika siasa za Africa mhimili wa utawala unanguvu sana kuliko mahakam na Bunge. Mengi anahaki ya kutaka ufafanuzi, lakini jiulize mbona wamejiuzuru mawaziri wengi, mbona operation tokomeza haikuwa nongwa kwanini iwe escrow ndo yenye kutaka kuangusha serikali?

hata mpiga gita awe diblo dibala au dally kimoko mbuzi hawezi kucheza huo mziki!!!!!!!!!!! kwa heri.
 
Mengi na Zito wote ni opportunistic ndo maana waliungana kung'oa PROF Muhongo huku wakijua kuwa mchezo wanaoufanya ungeichafua hata Ikulu baadaye kila mmoja wao alitaka kwenda kujikosha ili aonekane mwema,

Ok, let me skip CHAGGA, it wasn't my main issue...

=> Issue kubwa MENGI ALITAKA KUTUFANYA SIE MAKENGE NA MAPIMBI eti apewe vitalu vya gesi wakati hana UWEZO WOWOTE ULE currently....UZAWA SIO UWEZO kabisa,....Gas kwa hizi initial stages za kuzalisha...INAHITAJI TECHNOLOGY, WATAALAM, FEDHA nyingi sana na VIFAA mfano meli za kuchimba gas, kuna helicopters za kuwapeleka engineers ktk meli na kuwarudisha....MENGI kamwe ASINGEWEZA KWA SASA, ALITAKA APEWE VITALU KWA KIGEZO CHA UZAWA KISHA afanye UDALALI AKATAFUTE wawekezaji nje huko waje waanze kuchimba, TAIFA LISINGEPATA CHOCHOTE....jua Mengi ana vitalu vya madini kadhaa...yeye ni mtu wa 3 Tanzania kuwa na maeneo mengi ya madini, ila HAJAENDELEZA KWA MIAKA, HATA MAENEO MENGI HAJALIPIA TU KODI....madini yamemshinda kuchimba....sembuse gesi...Mengi is a big crook as well...!!! atataka kutuletea giza tu ktk gesi, yeye abaki atengeneze juice na soda, aachane na uzalishaji wa gesi hawezi, PIA PALE TPDC, kuna nafasi ya mtu yeyote mwenye uwezo wa kuwekeza ktk gas alikidhi TERMS and CONDITIONS, but MENGI hana hata hizo sifa...na anajua....so MENGI asubiri gas ikianza kuuzwa, ANUNUE SHARE...awe na share ktk uuzwaji wa gas kama ana pesa...BUT NOT PRODUCTION....he can't...!!!
Prof. Muhongo alimkomesha...

#Zitto fikiria, for almost 2 solid years, ktk MAFUTA MAZITO YA IPTL....pamoja na akina Ngeleja, Mhando (Former Tanesco CEO), Mboma ( Former CDF & Tanesco board Chairman) na wengineo.. walikuwa wa
wakishirikiana na IPTL...kila mwezi Serikali inatoa Tshs 15 Bil....wanagawana...

IPTL inachukua chake, then hao akina Zitto, Ngeleja, Mhando, walikuwa wanavuta hela ndefu sana, for 2 solid years, Ngeleja alikuwa ndio anaongoza, anavuta 2 Bil + each month.....na wanachofanya kila mwisho wa mwezi WANACHEZA NA MAJI TU, WANA DIVERT KWENYE SOURCE.....UMEME UNAANZA MGAO KILA MWISHO WA MWEZI, wakisingizia IPTL generators ate running out of FUEL....sasa serikali inawahi peleka hizo 15 bil.....THEN WANAWASHA GENERATOR MOJA TU....KISHA WANARUDISHA MAJI KIAINA....SO HATA HELA Z A MAFUTA mazito wanatumia kiduchu sana sana....sbb MGAO ULIKUWA WA KUTENGENEZWA ILI KU FORCE SERIKALI KILA MWEZI KUTOA HIZO FEDHA...!!!

So Prof Muhongo alidhibiti huu upuuzi....imagine Zitto kama kila mwezi anavuta 800 mil for 2 yrs....meaning 800,000,000 x 24 months....= Tshs 19.2 Billions ..roughly 20 bil...!!!!

So Prof. Muhongo aliwadhibiti wote hao....Zitto na Mengi waliungana kumtoa Prof. Muhongo...now wamerudiana kumalizana wenyewe kwa wenyewe...

I am happy, wamalizane, sbb WOTE MENGI NA ZITTO NI MAFISI NA MAFISADI...!!!!
 
Mimi na wewe sijui nani uelewa wake duni maelezo yameidikwa hivi soma hapo chini.


"Mtonyaji wangu katika Ikulu ya Rais Kikwete, ninaye muamini sana amenieleza kuwa Zitto alikutana na Kikwete muda mfupi baada ya kuwaslishwa bungeni ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ambayo yeye Zitto alikuwa mwenyekiti wake."

Ni lini walikutana wakati Kikwete kaondoka hiyo ripoti bado haijakamilika na amerudi bunge limeishamaliza kikao chake.

Unaelewa maana ya maneno `Muda mfupi baada'? Anzia hapo ndipo wenzako wanapobishana na wewe!
 
Hapa zitto katumika tu kulianzisha timbwili kati ya MENG NA RUGEMALILA. Hapa ZZK hahusiki na ujinga wao.
 
Unaungana na mwana CCM mwenzako sio? Sawa bhana ndugu hawatupani hata siku moja @ Faiza
 
Usipende kuropoka na kujifanya unajua kila kitu kumbe punguani.
Ndugu si Kama najifanya mjuaji ila yakupasa utambue binadamu tunatofautiana Sana!!!

Wengine wanakumbukumbu nzuri wengine hawana usifikiri unaweza kulingana na wote ktk kufikiri....kuelewa na hata kutenda!!!

JK karudi tarehe 29, November 2014.
Ni kweli JK karudi tarehe 29 November hilo sikatai ila nakataa unaposema JK karudi wakati mjadala Wa ESCROW umekwisha huu ni uongo mkubwa au hujui kitu....


Kikao cha bunge kimiesha tarehe 28, November 2014.
hapa ndipo unapojichanganya, Bunge lilitazamiwa limalize mjadala tarehe 28 November ila pakatokea mvurugiko kwa wabunge waupinzani kugoma mpaka spika akaahirisha kikao mpaka jumamosi ya tarehe 29 November ambapo JK ndo alirejea hivyo wewe umedanganya.....

Soma hapa:

FTP 06:57 29th November 2014
Tunataka kujua leo kikao kinaendelea au bunge
limemalizika kihivyo? naomba walioko bungeni
au mamlaka watujuze.kama mambo yameisha
tumefanye mambo mengine maana tangu
novemba 26 tuko dodoma kifkra nk.
wahusika tafadhali tupatie ratiba mpya kama
ipo
By Rutunga M :
Rasmi-Bunge litarejea na vikao vyake leo
jumamosi kuanzia saa 3:00 Asubuhi baada ya
kuvunjika jana usiku.Litaendelea na mjadala
wa Escrow.Taarifa ya Bunge imetangazwa hivi
punde.
Asante
UPDATES
Bunge Limehairishwa tena litarejea saa 10 jioni
Bunge limharishwa tena litarejea saa 5 asubuhi
ya leo

Umeona hapo juu?
 
Tuhuma hizi zito tayari kakanusha toka jana na tweter yake na ataliongelea hili lesho kwa mapana zaidi shinyanga
Cdm wanalikuza sana lakini watashindwa tu

Hivi kwa nini matatizo yenu muwasingizie cdm? Cdm wameingiaje kwenye hili?Akili finyu hizi,nashauri muwe focused kukijenga chama badala ya kuwasingizia cdm kwenye kila matatizo yenu.
 
Kwa hiyo ni uongo ni Bavicha pekee ndiyo wanakubaliana na hii habari.

Nyie propaganda zenu zinaelekea kufikia ukingoni. Unafikiri Mengi anaweza kuvaa mkenge kwa kuingilia mambo ya kijiweni. Hapa lazima anajua anachosema na ana uhakika nacho!
 
Fuatilia mtiririko wa nilichoandika, kna hapo hujaelewa kipi? we unataka mwelekeo upi wa kisayansi? hapa tunajadili tuhuma zenye mlengo wa kisiasa!!!!!! Kama ni kujiuzuru wameshajiuzuru wengi sana na serikali haikutishika iweje escrow ndo itake kuangusha serikali?

Acha kukimbia hoja kwa kutengeneza hisia za kibabaishaji!Tumia mantiki kuunganisha dots zako kisha hitimisha kwa hoja yenye mwelekeo wa kisayansi ili utushawishi tukubaliane nawe na si kuongea kama wapiga kampeni wa shamba mkuu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
babu anatafuta kick,ngoja jion utaskia mwanaume atakavyojibu kiuungwana,babu chezea wote sio huyu nyerere wa pili utauza had huyo mjukuu wako uliemuoa juzi.

Zitto hana political hata economic Base ya kupambana na mengi. Msimjaze ujinga Kijana mwenzenu. Ana safari ndefu sana. Maisha ya Zitto yanategemea siasa ili kupata kula ya kesho.
 
Nikiliangalua article yenyewe haina ukweli ndani yake.Ila Mengi anahaki ya kushtuka:

1.Gazeti lipo huru mpaka leo.

2.Serikali kupitia msemaji wake haijajibu hoja.

3.Zitto mwenyewe hajakanusha wala kukubali sakata zima.

4.Issue ya Escrow ilikuwa ya Kafulila na si Zitto.Zitto alikuja tu kuungaunga ripoti ya CAG na Takukuru basi.

4.Hawa walioweka hiyo hoja watakuwa Pro.Muhongo au anti Wachagga.Sababu CAG kwa wakati huo alikuwa toka Kilimanjaro.

Na mwisho kabisa Mengi hatakiwi kusubiri KARMA kama anavyotanabaisha Pascal.Anatakiwa kwenxa MAHAKAMANI ,huko ndiko haki itatendeka.Mwenye gazeti ataeleza wapi amepata taarifa hizo.Haya ndiyo maoni yangu kwenye hii issue.

Pasco mzee wa KARMA karibu.
 
Namwona kwa mbaliiii zitto akielekea kuwa another new mrema hahahahah ni bora akaacha siasa tu
 
Hili ni tatizo la nchi ambayo ina matajiri wachache na hivyo ni rahisi kum-sport Mengi katika mambo mengi, lakini popote pale duniani wafanyabiashara hasa wenye makampuni makubwa duniani wana influence kubwa katika mustakabali wa nchi. Sina hakika na uhalali wa taarifa hii ya kichochezi maana Tanzania imekuwa nchi ya wasema hovyo, hasa ukizingatia kuwa gazeti linamilikiwa na ruge, ambaye bado machungu yake kwa Zitto bado ni mabichi. Kwa upande wake Zitto atumie muda sasa kujusafisha na kuelewa namna ya kuongoza taasisi za umma kwa kuwa ni tafauti kabisa na kuongoza kikundi cha wajinga ambao muda wote watakubali unachosema.
 
Back
Top Bottom