Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Wewe ndio Una uelewa duni kuliko Wa kima maana umeshindwa define muda mfupi unaweza kuwa siku au masaa kadhaa....

Mwandishi hakuwa specific so muda mfupi au mrefu waweza kuwa kwa masaa au siku au miaka kutegemeneana na mazingira.......

Muda mfupi waweza kuwa hata miaka kumi kulingana na hali au mazingira ya wakati

Ndio maana nikakwambia wewe ni jima coz huna IQ ya maana....

JK karejea TZ siku ambayo jioni yake bunge ndo lilihitimisha mjadala Wa ESCROW!!!

Muda aliowasili nchini ndio muda ambao kikao cha maridhiano kilikuwa kinafanyika Dodoma na baadae kufikia maamuzi ya pamoja na bunge kufanya maazimio....

Hata JK alisema "yanayoendelea Dodoma siyajui ntaongelea nikipata taarifa kamili"

Hivyo kauli yako yakusema JK karudi wakati bunge limeshamaliza vikao ni uongo na ujinga uliotopea!!!!

Pumbafu kabisa wewe..unajua maana ya uRais wewe au unaongea tu..hakuna jambo kubwa kiasixkile linaweza kufanyika Rais asitaarifiwe
 
JF siku hizi kweli imegeuzwa kijiwe cha ku-pass time.

yaani kweli kwenye hili mnategemea Zitto na/au JK wataukiri ukweli?
seriously don't tell me you guys are holding your breath for that confession, are you?

Mbona ma mods wenyewe wanapass time tu
 
Wanabodi,

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza kulipa mema, au kupigwa na mapigo ya kufidia uovu!.

Karma ni powers of 'cause and effects' ambapo ukitenda mema, utalipwa mema, na ukitenda uovu utaadhibiwa kwa uovu wako.

Chadema walipomtimua Zitto kwa tuhuma za usaliti, nilisema humu kama kweli Zitto ni msaliti, then 'karma itamshughulikia Zitto na kumuadhibu, lakini kama Chadema haikumtendea haki Zitto, then Chadema itaadhibiwa kwa hukumu kali ya 'karma'.

Ni muda mrefu kumekuwa kukitolewa tuhuma mbalimbali kumhusu Zitto na zote kwa sababu ni tuhuma tuu, ama hukanushwa, au kupanguliwa kisha maisha yanaendelea.

Sasa kuna hii tuhuma mpya nimeisoma kumhusu Zitto.

Mpaka sasa, tuhuma hii, haijakanushwa na Zitto mwenyewe, wala haijakanushwa Ikulu, na huku hilo gazeti lilitochapisha tuhuma hiyo, likiachwa kuendelea kupeta!. ----------- lilipochapisha tuhuma kama hiyo, kesho yake tuu Ikulu iliiytisha press conference kukanusha na haikupita wiki, ----------- lilifungwa kifungo cha milele hadi leo!.

Sasa kama tuhuma hii ni kweli, then kwa mujibu wa reference ya 'karma', Zitto ni kweli atakuwa ni msaliti, na sasa kiuhakika kabisa bila kupepesa macho, wala kumung'unya maneno, "Huu sasa ndio mwisho rasmi wa Zitto Zuberi Kabwe!".

Nimesema huu ndio mwisho rasmi wa Zitto kwa sababu kuna watu kwanye jamii yetu, wamejaaliwa karama mbalimbali hivyo kuwa ni watu very powerful kwa nguvu ya 'karma' ya mema yao!. Sasa inapotokea mtu akatofautiana nao kwenye public, hadi kufikia kunyoosheana nao vidole kwenye media!, kama tuhuma hizo alizomsingizia Mengi ni kweli, then atasalimika, lakini kama sii kweli, that is the end of him!.

Kitendo cha Zitto kumsingizia Mengi, jambo kubwa kama hili (if he really did this), then this is the end of Zitto.

Hakuna hata mtu mmoja ambaye aliwahi kukorofishana na Mengi publicly akabaki salama!.

This is the list ya watangulizi wa Zitto angalia walifanya nini na nini kiliwatokea!.

  1. Alipishana kauli na wamiliki wa DTV na CTN kuhusu haki za kuonyesha kombe la dunia, vituo hivi vyote vimekufa.
  2. Alipishana kauli na Shabir Dewji kuhusu wahindi kupendelewa, Shabir Dewji aliswekwa lupango na sijui siku hizi yuko wapi?!.
  3. Alipishana kauli na Katibu Mkuu, Mambo ya Ndani, Silvanus Adel alipomtoa Dewji lupango, Adel alimwaga unga wake!.
  4. Alipishana kauli na mmiliki wa Gazeti la Mtanzania, Generali Ulimwengu, kwa gazeti hilo kutoa siri kuwa Mengi anadaiwa na mabenki. Generali alifutiwa uraia na gazeti la Mtanzania likafilisika hadi kuuzwa!.
  5. Alipisha kauli na Lowasa, Mengi akiwa Mwenyekiti wa NEMCI, Lowasa akang'oka!.
  6. Alipishana kauli na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Shamin Khan, shamim aling'olewa!.
  7. Alipishana kauli na Waziri wa Utawala Bora, Wilson Masilingi, kuhusu "mchezo mchafu" wa ubinafsishaji wa Kilimanjaro Hotel, Masilingi aling'olewa!.
  8. Alipishana kauli na Iddi Simba kwenye mambo ya Uzawa, Iddi Simba alimwagwa!.
  9. Alipishana kauli na Basil Mramba akiwa waziri wa fedha kuhusu kodi ya Jack Pot Bingo, Mramba aling'oka!.
  10. Alipishana kauli na Adam Malima, almanusura Adam, yangemkuta, Sitta akamuombea msamaha!, ndio salama yake!.
  11. Alipishana kauli na Tido kuhusu TV inayolipwa na kodi za wananchi kugombea matangazo na TV binafsi!, Tido aling'oka!.
  12. Alipishana kauli na Waziri wa Mambo ya ndani, kuhusu 'mademu!', Masha, Masha kang'olewa!.
  13. Alipishana kauli na Mmiliki wa Channel Ten, Franco Tramontano, kugombea mademu fulani mamiss, Franco alikamatwa na kutupwa selo akisubiri deportation ya interpol
  14. Hakimu mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Sabas kiwango, alizuia Tramontano asiwe deported, Kiwanga akamwaga unga!.
  15. Akapishana kauli na Rostam Aziz, kwenye issue ya 'fisadi papa na fisadi nyangumi', Rostam alitimuliwa ubunge na sasa ameikimbia nchi!,
  16. Alipishana kauli na Balozi wa Uingereza kwenye kashfa ya Silvadale!, Balozi wa Uingerezwa aliondoshwa!.
  17. Alipishana kauli na Yusuph Manji, kuhusu Manji kuifilisi mifuko ya hifadhi za jamii, sasa soon Manji atafilisiwa!.
  18. Manji alipomfungulia Mengi kesi ya kumdai shilingi 1!, Wakili wa Manji, Sabas Kiwango alipishana kauli na Mengi, Kiwango akasitishwa uwakili!.
  19. Akapishana kauli na Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhondo kuhusu wawekezaji wazawa kwenye issue ya gesi asilia, Prof. Muhongo katimuliwa uwaziri.
  20. Alipishana kauli na Mkurugenzi Mkuu, TPDC, Yona Kilaghane kuhusu kuweka masharti nafuu wazawa kumiliki vitalu vya gesi, Kilaghane ametimuliwa TPDC!.
  21. Alipishana kauli na wandeshaji wa Kipindi cha "Kiti Moto", Kiti Moto kilikufa.
  22. Alipishana kauli na 'mtangazaji mmoja maarufu' ambaye Mengi alimtaka ajiunge na ITV, huyo mtangazaji akagoma, mpaka leo huyo mtangazaji ni 'majalala', hoin bin taaban na hajawahi kupata tena ajira popote!.
  23. Alipishana kauli na mrembo Madam Ritta kuhusu mambo binafsi, sijui kwa sasa Madam Ritta ana hali gani?!.
  24. Alipishana kauli na Mrembo Madam Lily, katika mambo binafsi!, sijui majaaliwa ya huyu mrembo kwa sasa!.
  25. Sasa ndio amepishana kauli na Ziito Kabwe, tusubiri nini kitamtokea Zitto and it is soon!

NB. NB. Kama yote yanayosemwa kumhusu Zitto sii kweli kuwa ni msaliti, na haya Zitto aliyoyasema kumhusu Mengi ni kweli, then Zitto ataendelea kudunda na ACT yate itazidi kuja juu 'karma' sasa itaishughulikia Chadema hali kadhalika itamshughulikia tena Mzee Mengi kama ilivyokwisha mshughulikia kwa mengine kule nyuma!.

Uzuri wa karma, ikikushughulikia na kuanguka chini, ukimaliza kukulipa deni la adhabu ya karma ambayo huwa ni kupata mapigo, then unaweza kusimama tena, kunyanyuka na kuendelea kung'ara!.

Pasco

Tuhuma hizo,,atazijibu Mwami leo...ZZK ataletewa kila aina ya tuhuma,,,ukisimamia haki ndo kawaida hiyo mzee pasco.

Mwambie kiongozi yeyote yule mwingine aweke mali zake hadharani
 
Shule zenu ni za kukariri. Kwenu nyie muda mfupi inamaanisha nini?
Kabla ya Zitto kuwasilisha, JK alikuwa US kwenye matibabu. Ni akili ya Mulugo itakufanya huamini walikutana kabla. Kumbuka Airport alisema kabisa hajui chochote kuhusu report.
Think before you jump!
 
Hivi kwa nini matatizo yenu muwasingizie cdm? Cdm wameingiaje kwenye hili?Akili finyu hizi,nashauri muwe focused kukijenga chama badala ya kuwasingizia cdm kwenye kila matatizo yenu.

Jambo LA ajabu ni kuwa hili ni tatizo binafsi LA Zitto lakini hawa ACT wanataka kulifanya kama LA chama chao kwa mini? Kama alienda kwa JK kupiga fitna alienda kama Zitto na sio CEO wa Act .
Mbona wanajivesha kila jambo LA Zitto kama ni lao? Mwacheni ajitetee mwenyewe kwani hill lilifanyika kwa siri na anajua kuwa hao walioandika wanaweza kutoa zaidi ya hilo. Ikulu yaweza kumtosa kwa kukaa kimya kudhihiriasha kuwa kweli jamaa alikuja kujikomba na anasaliti wenzake kwani Rais hana kosa kumsikiliza yeyote
 
Naona unajaribu kuonesha kuwa Mengi anapambana na Zitto na hilo wengi ndilo mnatamani kuona lakini halitatokea kamwe ...Zitto ni mtu mwenye busara sana na kuhakikishia hili jambo lenye lengo la.kumgombanisha na watu atalimaliza bila kumuumiza yeyote yule..hapa ndipo mtaamini Zitto ni kijana safi na mwenye hekima!

Mengi anajua fika hii habari ni ya uongo kabisa anacho taka ni kuona ina kanushwa na wala hajamtuhumu Zitto bali amelalamika habari kuto kanushwa..kama mnatarajia kuona Mengi na Zitto wakigombana mmchelewa.

Tunajua ni wengi wameungana kumchafua Zitto lakini watashindwa.

Mengi si Mungu wala msimpambe kiasi hicho..hana uwezo wa kupambana na ukweli.

Yani arif wewe ukimkuta Zito anamtafuna waifu wako utamwambia "endelea tu mungu wangu, malizia baba".

Nakukubali kwa misimamo yako kwa mentor wako Zitto.
 
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza kulipa mema, au kupigwa na mapigo ya kufidia uovu!. Karma ni powers of 'cause and effects' ambapo ukitenda mema, utalipwa mema, na ukitenda uovu utaadhibiwa kwa uovu wako. Chadema walipomtimua Zitto kwa tuhuma za usaliti, nilisema humu kama kweli Zitto ni msaliti, then 'karma itamshughulikia Zitto na kumuadhibu, lakini kama Chadema haikumtendea haki Zitto, then Chadema itaadhibiwa kwa hukumu kali ya 'karma'. Ni muda mrefu kumekuwa kukitolewa tuhuma mbalimbali kumhusu Zitto na zote kwa sababu ni tuhuma tuu, ama hukanushwa, au kupanguliwa kisha maisha yanaendelea. Sasa kuna hii tuhuma mpya nimeisoma kumhusu Zitto. Mpaka sasa, tuhuma hii, haijakanushwa na Zitto mwenyewe, wala haijakanushwa Ikulu, na huku hilo gazeti lilitochapisha tuhuma hiyo, likiachwa kuendelea kupeta!. ----------- lilipochapisha tuhuma kama hiyo, kesho yake tuu Ikulu iliiytisha press conference kukanusha na haikupita wiki, ----------- lilifungwa kifungo cha milele hadi leo!. Sasa kama tuhuma hii ni kweli, then kwa mujibu wa reference ya 'karma', Zitto ni kweli atakuwa ni msaliti, na sasa kiuhakika kabisa bila kupepesa macho, wala kumung'unya maneno, "Huu sasa ndio mwisho rasmi wa Zitto Zuberi Kabwe!". Nimesema huu ndio mwisho rasmi wa Zitto kwa sababu kuna watu kwanye jamii yetu, wamejaaliwa karama mbalimbali hivyo kuwa ni watu very powerful kwa nguvu ya 'karma' ya mema yao!. Sasa inapotokea mtu akatofautiana nao kwenye public, hadi kufikia kunyoosheana nao vidole kwenye media!, kama tuhuma hizo alizomsingizia Mengi ni kweli, then atasalimika, lakini kama sii kweli, that is the end of him!. Kitendo cha Zitto kumsingizia Mengi, jambo kubwa kama hili (if he really did this), then this is the end of Zitto. Hakuna hata mtu mmoja ambaye aliwahi kukorofishana na Mengi publicly akabaki salama!. This is the list ya watangulizi wa Zitto angalia walifanya nini na nini kiliwatokea!.
  1. Alipishana kauli na wamiliki wa DTV na CTN kuhusu haki za kuonyesha kombe la dunia, vituo hivi vyote vimekufa.
  2. Alipishana kauli na Shabir Dewji kuhusu wahindi kupendelewa, Shabir Dewji aliswekwa lupango na sijui siku hizi yuko wapi?!.
  3. Alipishana kauli na Katibu Mkuu, Mambo ya Ndani, Silvanus Adel alipomtoa Dewji lupango, Adel alimwaga unga wake!.
  4. Alipishana kauli na mmiliki wa Gazeti la Mtanzania, Generali Ulimwengu, kwa gazeti hilo kutoa siri kuwa Mengi anadaiwa na mabenki. Generali alifutiwa uraia na gazeti la Mtanzania likafilisika hadi kuuzwa!.
  5. Alipisha kauli na Lowasa, Mengi akiwa Mwenyekiti wa NEMCI, Lowasa akang'oka!.
  6. Alipishana kauli na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Shamin Khan, shamim aling'olewa!.
  7. Alipishana kauli na Waziri wa Utawala Bora, Wilson Masilingi, kuhusu "mchezo mchafu" wa ubinafsishaji wa Kilimanjaro Hotel, Masilingi aling'olewa!.
  8. Alipishana kauli na Iddi Simba kwenye mambo ya Uzawa, Iddi Simba alimwagwa!.
  9. Alipishana kauli na Basil Mramba akiwa waziri wa fedha kuhusu kodi ya Jack Pot Bingo, Mramba aling'oka!.
  10. Alipishana kauli na Adam Malima, almanusura Adam, yangemkuta, Sitta akamuombea msamaha!, ndio salama yake!.
  11. Alipishana kauli na Tido kuhusu TV inayolipwa na kodi za wananchi kugombea matangazo na TV binafsi!, Tido aling'oka!.
  12. Alipishana kauli na Waziri wa Mambo ya ndani, kuhusu 'mademu!', Masha, Masha kang'olewa!.
  13. Alipishana kauli na Mmiliki wa Channel Ten, Franco Tramontano, kugombea mademu fulani mamiss, Franco alikamatwa na kutupwa selo akisubiri deportation ya interpol
  14. Hakimu mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Sabas kiwango, alizuia Tramontano asiwe deported, Kiwanga akamwaga unga!.
  15. Akapishana kauli na Rostam Aziz, kwenye issue ya 'fisadi papa na fisadi nyangumi', Rostam alitimuliwa ubunge na sasa ameikimbia nchi!,
  16. Alipishana kauli na Balozi wa Uingereza kwenye kashfa ya Silvadale!, Balozi wa Uingerezwa aliondoshwa!.
  17. Alipishana kauli na Yusuph Manji, kuhusu Manji kuifilisi mifuko ya hifadhi za jamii, sasa soon Manji atafilisiwa!.
  18. Manji alipomfungulia Mengi kesi ya kumdai shilingi 1!, Wakili wa Manji, Sabas Kiwango alipishana kauli na Mengi, Kiwango akasitishwa uwakili!.
  19. Akapishana kauli na Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhondo kuhusu wawekezaji wazawa kwenye issue ya gesi asilia, Prof. Muhongo katimuliwa uwaziri.
  20. Alipishana kauli na Mkurugenzi Mkuu, TPDC, Yona Kilaghane kuhusu kuweka masharti nafuu wazawa kumiliki vitalu vya gesi, Kilaghane ametimuliwa TPDC!.
  21. Alipishana kauli na wandeshaji wa Kipindi cha "Kiti Moto", Kiti Moto kilikufa.
  22. Alipishana kauli na 'mtangazaji mmoja maarufu' ambaye Mengi alimtaka ajiunge na ITV, huyo mtangazaji akagoma, mpaka leo huyo mtangazaji ni 'majalala', hoin bin taaban na hajawahi kupata tena ajira popote!.
  23. Alipishana kauli na mrembo Madam Ritta kuhusu mambo binafsi, sijui kwa sasa Madam Ritta ana hali gani?!.
  24. Alipishana kauli na Mrembo Madam Lily, katika mambo binafsi!, sijui majaaliwa ya huyu mrembo kwa sasa!.
  25. Sasa ndio amepishana kauli na Ziito Kabwe, tusubiri nini kitamtokea Zitto and it is soon!
NB. NB. Kama yote yanayosemwa kumhusu Zitto sii kweli kuwa ni msaliti, na haya Zitto aliyoyasema kumhusu Mengi ni kweli, then Zitto ataendelea kudunda na ACT yate itazidi kuja juu 'karma' sasa itaishughulikia Chadema hali kadhalika itamshughulikia tena Mzee Mengi kama ilivyokwisha mshughulikia kwa mengine kule nyuma!. Uzuri wa karma, ikikushughulikia na kuanguka chini, ukimaliza kukulipa deni la adhabu ya karma ambayo huwa ni kupata mapigo, then unaweza kusimama tena, kunyanyuka na kuendelea kung'ara!. Pasco
Pasco hao chini umemalizia vibaya..umemkuza sana zitto..umeiingiza cdm bila sababu.Una chuki na mengi na cdm.Mengi anataka kuondolewa ktk uhaini unaweza mpa mwendawazimu yeyote uhalali wa kuweka usalama wake ktk hatari.Na pia kuondoa possible future legal problems.
 
#Pasco ...ukishupalia vitu, unajitutumua kweli...!!!

=> Kwanza, Manji hajashindwa na Mengi...na kamwe hatakaa afilisiwe...stop narrating lies...!!!! Hata hakimu aliyekuwa anaendesha kesi ya Mengi na Manji, sidhani kama sbb iliyomwachisha kazi ni hiyo kesi...MAHAKIMU WANA KINGA YAO...ingekuwa hivyo wengi wangefukuzwa kazi sana..!!!

=> Kuhusu Masha, kilichomwangusha ni VITAMBULISHO VYA TAIFA....ile tender ya more than Tshs 324 bil + ndio ilimletea balaa kwani alikomaa achukue yeye kwani ilikuwa chini ya Wizara yake apige hela ndefu hapo...huku mkuu wa Kaya akiwa nae kakomalia, mwishoe Wenje alisapotiwa atoke ktk shitaka alilowekewa na Masha mahakamani, na Wenje alimshinda Masha...So tatizo kubwa la Masha ni hilo
..aliingilia maslahi ya mkuu wa kaya..

=> Kuhusu, Zitto, though I ALWAYS DISREGARDED HIM AS AN OPPORTUNIST...and not a LEADER AT ALL...only low IQ and short sighted will listen and follow him, MENGI HAWEZI KAMWE KUMLETEA MADHARA...!!! I hv reasons, kuhusu ESCROW ni KWELI KABISA...Mengi alipeleka fedha nyingi kumwangusha Prof. Muhongo...huo ni ukweli...

Ila pia, usisahau Zitto ana uadui na Prof Muhongo sana sana, na hata Rais anajua....Prof Muhongo alipopewa Wizara ya Nishati na Madini...Zitto alikuwa kila Mwezi anapokea not less than 800 milioni ya MAFUTA MAZITO YA IPTL....mchezo ulikuwa unachezwa wakati ule Ngeleja akiwa waziri, Serikali ilikuwa inatoa KILA MWEZI 15 BILIONI ZA MAFUTA MAZITO...kila mwezi..sasa ukikaribia mwisho wa mwezi wanakatakata umeme wakidai mafuta yameisha...na MAJI YAMEPUNGUA...NA HATA MSIMU WA MASIKA WANASEMA MAJI YAMEPUNGUA..ila MAJI WANA DIVERT ILI YAONEKANE MADOGO KTK DAMP...KISHA FEDHA ZIKITOLEWA MAJI YANARUHUSIWA.....SO WANAFORCE SERIKALI KUWAHI KULIPA HIZO 15 Bil....halafu Ngeleja, IPTL na Tanesco high rank officials ndio WANAKULA HAPO....na huu ulikuwa mchezo mchafu sana...SASA Prof. Muhongo kuingia, akina Zitto akawaumbua wooote..hadi Zitto alikimbia Bunge siku tuhuma zake zikisomwa..kwani Wakiongozwa na Ngeleja ndio waliiba sana sana....
So uadui wa Zitto na Prof. Muhongo ulianzia hapo...pia Mengi akawa anataka Vitalu vya gesi kwa mgongo wa wazawa, wakati hana uwezo huo...hawezi fanya utafiki au kuchimba visima vya gesi anataka kuleta UCHAGA TU HAPA aturudishe nyuma...So Mengi akaungana na Zitto na maadui wengine wa Prof. Muhongo kummaliza..

So mengine umeandika kweli kidogo...mengine UONGO MTUPU....so hata ww huna KARMA hiyo unayo isemea..

Uko half way right and half way WRONG...!!!!

wewe chuki zako na wachagga zitakunyonga tu bure. mafanikio ya wachagga si ishu ya miaka kumi, ni matokeo ya miaka mingi ya kujinyima, kufanya kazi kwa bidii na kuji sacrifice kwa kiasi kikubwa na kwa miaka mingi sana. jitihada zao zimeanza hata kabla ya ukoloni haujaingia eneo lililokuja kujulikana baadaye kama Tanganyika. na eneo wanalowekeza ni so strategic....elimu na biashara. kuwachukia hakutakusaidia, ningekuwa wewe ningewa-byfriend hawa kina mangi, nizisome mbinu zao nami nafuate nyayo zao. kuna baadhi ya wenzako wameshtuka, wakafuata huo ushauri niliokupa na sasa wamefanikiwa sana. sasa fanya hiv.....hapo hapo ulipo, hata kama ni kijijini ndani kabisa, embu angazaangaza macho, ukimwona mchagga katandika kisafleti chini, kamimina hapo nyanya ishirini na vitunguu vitano anauza basi jua wazi hilo eneo lina harufu ya fweza, hata kama wewe huzioni wewe usiogope, just tafuta kisafleti chako na wewe tandika hapo hapo, mimina nyanya zako, m-byfriend huyo mangi....then baada ya miaka michache njoo hapa utupe ushuhuda wa mafanikio yako ambayo nina hakika yatakuwa chni ya yale ya mangi lakni walau mtakuwa mnafananafanana.

kuhusu hilo sintalisemea sana kwa sababu, kama vile mafanikio ya wachaga yalivyo kuwa ni matokeo ya miaka mingi ya uchapakazi, uwekezaji na elimu, basi na wewe u-inferiority complex wako ni matokeo ya uduni wa vizazi ulimokulia, elimu ya kidhiki uliyopewa, kutawaliwa na kufanywa mtumwa na wakoloni kwa miaka kadhaa na mbaya zaidi, baada ya kupata uhuru wa bendera, ukaingizwa kwenye uchumi dhiki wa kijamaa. wewe ni wa kuhurumiwa kwa sababu ubongo wako na utu wako upo disabled, umelemazwa, huamini kuwa unaweza kufanya kitu, unajiona kama mtumwa zaidi wa kuajiriwa mahali fulan, mathalani kwenye duka la mangi, ili utumwetumwe tu. bahati mbaya hapo ndipo ilipo tofauti yako kubwa na mangi, na ndipo mangi anapokupigia bao. na kwa jinsi hiyo hutokaa umfikie mangi kamwe...sana sana mwishowe, na kwa chuki zako, utakuja kujivika mabomu tu ili eti umlipue mangi...falsafa ya kijinga ya tukose wote.
 
Hivi kwa nini matatizo yenu muwasingizie cdm? Cdm wameingiaje kwenye hili?Akili finyu hizi,nashauri muwe focused kukijenga chama badala ya kuwasingizia cdm kwenye kila matatizo yenu.

Ritz akili hana, haelewi hata anachokitetea, sijui anakula chakula gani kinachompotezea kumbukumbu.
 
Hizo 'Dark side' ame verify nani kuwa ni kweli 100 percent?
Mbowe hana 'dark side'?
Slaa hana 'Dark side'? na kama nikipinga hizo dark side kuna sheria navunja?
sina haki ya kuongea kitu kingine?

Ya Mbowe na Slaa yamekujaje hap,Hee,this is too Childishly yani.
Sasa Pinga kwa kuja na the other facts,otherwise utaonekana Mshabiki,hence ule uungu wa ZZK kwenu kujidhihirisha,tutakutofaitisha vp sasa na akina Mwl Kaijage ?
 
ZITTO si muadilifu hata kidogo,muadilifu gani alikuwa anapokea mirungura ya pesa kutoka Tanesco kipindi cha Ngeleja akiwa waziri?
..kiongozi hujanielewa, rudi kwenye comment nisome taratibu. angalia source ya kilichopelekea mimi ku comment hivyo...vinginevyo tupo pamosi mkulu.
 
Pasco uko well informed na ni hazina hapa JF. Safi sana. Ila nawe ukitumia kipaji hiki vibaya 'karma' itakuhukumu
Huwezi kumtenganisha Zitto, Pasco na Lowassa hao ni group moja linalojitahidi kupambana na CHADEMA, Kundi zito la chama Tawala, hawawezi kukubali lazima wakanushe!!! subiri... ila sisi tunawajua ... KARMA!!!
 
DR. Dau ni mfadhili number moja wa ACT.

Nssf inatumiwa vibaya sana.
 
Hivi yawezekana hujui kiswahili? Kama ndivyo umeielewaje hii mada? Basi ungetumia maneno rahisi kidogo kwenye lugha hiyo uliyopenda kuitumia. Maneno hayo ni magumu hata kwa waliobobea kwenye lugha hiyo. Acha utani nia yako si kujadili mada bali kuonesha umahiri ulionao katika lugha hiyo.
usiogope kamanda, ni ulimbuke tu, madhara ya ukoloni na elimu duni ya kitumwa ambayo haimfanyi mtu kujitambua na kujiamini. nakumbuka tulipokuwa fomu tu tunajifunza ki tony blair basi mtu kuonesha unakijua sawasawa dawa unatumia kitu tulikuwa tunaita "mabomba". makhali tu pa kumuuliza mtu "how are you?" basi mtu unaingiza hapo mabomba...."how do yo symbolize your mabosity?"
 
Back
Top Bottom