Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Huyu nimesikia kutoka kwa kundi lake kuwa atamjibu Dr Mengi kwenye mkutano huko shinyanga.
 
#Pasco ...ukishupalia vitu, unajitutumua kweli...!!!

=> Kwanza, Manji hajashindwa na Mengi...na kamwe hatakaa afilisiwe...stop narrating lies...!!!! Hata hakimu aliyekuwa anaendesha kesi ya Mengi na Manji, sidhani kama sbb iliyomwachisha kazi ni hiyo kesi...MAHAKIMU WANA KINGA YAO...ingekuwa hivyo wengi wangefukuzwa kazi sana..!!!

=> Kuhusu Masha, kilichomwangusha ni VITAMBULISHO VYA TAIFA....ile tender ya more than Tshs 324 bil + ndio ilimletea balaa kwani alikomaa achukue yeye kwani ilikuwa chini ya Wizara yake apige hela ndefu hapo...huku mkuu wa Kaya akiwa nae kakomalia, mwishoe Wenje alisapotiwa atoke ktk shitaka alilowekewa na Masha mahakamani, na Wenje alimshinda Masha...So tatizo kubwa la Masha ni hilo
..aliingilia maslahi ya mkuu wa kaya..

=> Kuhusu, Zitto, though I ALWAYS DISREGARDED HIM AS AN OPPORTUNIST...and not a LEADER AT ALL...only low IQ and short sighted will listen and follow him, MENGI HAWEZI KAMWE KUMLETEA MADHARA...!!! I hv reasons, kuhusu ESCROW ni KWELI KABISA...Mengi alipeleka fedha nyingi kumwangusha Prof. Muhongo...huo ni ukweli...

Ila pia, usisahau Zitto ana uadui na Prof Muhongo sana sana, na hata Rais anajua....Prof Muhongo alipopewa Wizara ya Nishati na Madini...Zitto alikuwa kila Mwezi anapokea not less than 800 milioni ya MAFUTA MAZITO YA IPTL....mchezo ulikuwa unachezwa wakati ule Ngeleja akiwa waziri, Serikali ilikuwa inatoa KILA MWEZI 15 BILIONI ZA MAFUTA MAZITO...

Ama kweli muongo ni wewe, Zitto tunamjua vizuri sana, Hakuwemo kwenye huo mgao. na hiyo narration yako ni hekaya za Alf leila u leila; umesahau kilichomgoa Ngeleja na Jairo, kama zito alikuwa anashirikiana na Ngeleja na akapewa 800 m kila mwezi , kwanini alimuandama sana ngeleja bungeni mpaka akaondolewa. Jamani mbona tumekuwa watungaji dhaifu na tunawapotosha umma. Jee sisi tukiwa waongo na wanafiki kiasi hiki tuna haki ya kumsimanga mtu yoyote na kumtukana. Inasikitisha sana namna tunavyoligeuza hili jukwaa kuwa the rumours tabloid
 
nzalendo;mmoja hapo ni George Zamdela..Papa G
na mwingine ni
Barker Haines...Wote ni Mafia
na peponi
Hawaendi.

POWER TO YOU BROTHER!!!!
 
Wanajaribu kila namna ya kumuhusisha Alhaj Dr Ramadhani Dauna upuuuz na kila aina ya fitna ili wamchafue ila wamegonga mwamba.

Na watagonga mwamba tuh.

Ramadhani Dau ni Hazina kubwa kwa Taifa hili.
 
DR. Dau ni mfadhili number moja wa ACT.

Nssf inatumiwa vibaya sana.

Teh teh teh

Makafiri shida sana.

Mmehangaika sana kumtafutia fitna Dr Dau ili mumuondoe Nssf mmegonga mwamba.

Teh teh teh

Nssf i shirika la taifa la hifadhi ya jamii linaweza vip tumia pesa za wanachama wake kufadhili chama cha siasa??

Au wewe ------ na akili yako finyu unadhani kama mtu akiwa mkurugenz wa shirika basi ana haki tu ya kutoa maagizo ya matumiz ya fedha za shirika kadir ya utashi wake unavyomtuma??

Hujui kuwa shirika lolote huwa linafanyiwa ukaguz wa matumiz ya fedha zake na mkaguz mkuu wa hesabu za umma??

Teh teh teh

------ utakufa na chuki zako.

Hizo mimba zenu za chuki mwaka huu mtazaaa tuh.
 
Teh teh teh

Ally kombo umenifurahisha sana.

Hivi huyu jamaa laana ya usaliti wa kanisa na mke wake itamuacha kweli??

Lione kwanza na gauni lake hilo nani ampe Urais wa nchi hii??

Teh teh teh

mkulu sku hizi utandawazi umefungua sana akili za watu. hata nyanya yangu wa miaka 98 kule kijijini nanjilinji anamilik mtandao kupitia simu yake ya mkonon na tv zipo almost kila mahali. usisahau na shule za kata, vijana wamefunguka sana. miaka ya nyuma, wakati sehemu kubwa ya nchi hasa vijijini ikiwa bado gizan, strategy hii ya udini iliwasaidia sana wakati ule CUF mkikiita chama cha waislam na magaidi.

imekuja CDM mnasema ni chama cha wakristu na wachaga.

sasa chama cha waislam na magaidi kimeungana na chama cha wakristu na wachaga...tuone,,,, ndo yale yale ya siku ya kufa nyani....
 
Kama Dr Kimei anavyo itumia CRDB kuneemesha Kanisa ! kbosho :shocked:

Teh teh teh

Kimei na crdb yake balaa sana.

Naskia pesa zetu tunazoweka kule hadi fungu la kumi anatolea kanisani.

Bora kuacha kuitumia tuh hii bank
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh

Makafiri shida sana.

Mmehangaika sana kumtafutia fitna Dr Dau ili mumuondoe Nssf mmegonga mwamba.

Teh teh teh

Nssf i shirika la taifa la hifadhi ya jamii linaweza vip tumia pesa za wanachama wake kufadhili chama cha siasa??

Au wewe ------ na akili yako finyu unadhani kama mtu akiwa mkurugenz wa shirika basi ana haki tu ya kutoa maagizo ya matumiz ya fedha za shirika kadir ya utashi wake unavyomtuma??

Hujui kuwa shirika lolote huwa linafanyiwa ukaguz wa matumiz ya fedha zake na mkaguz mkuu wa hesabu za umma??

Teh teh teh

------ utakufa na chuki zako.

Hizo mimba zenu za chuki mwaka huu mtazaaa tuh.

kama taasisi za Taifa kama polisi, tume ya Taifa ya uchaguzi vinatumika kwa maslahi ya wadhalimu itakuwa huyo Dau? cha kushangaza sku hizi ccm inataka kuitumia hata TISS eti dhidi ya wananchi wa Tanzania wasio ccm??!!! bahati nzuri kule TISS si wote maboya. vijana wengi wazelendo mle, wanaijua kazi yao na wanajuaga cha kufanya
 
mkulu sku hizi utandawazi umefungua sana akili za watu. hata nyanya yangu wa miaka 98 kule kijijini nanjilinji anamilik mtandao kupitia simu yake ya mkonon na tv zipo almost kila mahali. usisahau na shule za kata, vijana wamefunguka sana. miaka ya nyuma, wakati sehemu kubwa ya nchi hasa vijijini ikiwa bado gizan, strategy hii ya udini iliwasaidia sana wakati ule CUF mkikiita chama cha waislam na magaidi.

imekuja CDM mnasema ni chama cha wakristu na wachaga.

sasa chama cha waislam na magaidi kimeungana na chama cha wakristu na wachaga...tuone,,,, ndo yale yale ya siku ya kufa nyani....

Siyo dawa hiyo.

Kwani hata vikiungana ndiyo inaaondoa hoja ya kwamba kwenye chadema kuna uchaga na ukristo??

Nyinyi mna akili timamu?

Si ni nyinyi mlikuwa mnasema kwamba cuf ni ccm b na cuf ni chama cha waislam ili mpoze joto ya jiwe ya huo udin ma ukabila ndan ya chadema??

Ma.---- ndiyo hawajui.

Ila waerevu tunaijua michezo yenu.
 
kama taasisi za Taifa kama polisi, tume ya Taifa ya uchaguzi vinatumika kwa maslahi ya wadhalimu itakuwa huyo Dau? cha kushangaza sku hizi ccm inataka kuitumia hata TISS eti dhidi ya wananchi wa Tanzania wasio ccm??!!! bahati nzuri kule TISS si wote maboya. vijana wengi wazelendo mle, wanaijua kazi yao na wanajuaga cha kufanya

Thats why nakuambia ka.fi.ri huna akili.

Ungesema kutumika kwa Dau as Dau na ungeweka ushahid hapo ungeonekana haunuki mavi.

Sasa siyo unakuja na mavi yako eti mnasema Dau anaitumia Nssf kuifadhili ACT ndiyo nawaambia ushahid uko wapi??

Kila shirika la umma lina Annual financial year audit ya mapato na matumiz.

Kuwa mkurugenz wa shirika flan siyo turufu ya kutumia pesa za shirika kqa kadir ya utashi wake unavyotaka.

Lakin kwa kuwa most of nyinyi ma.ka.firi mmejaa chuki na huyo jamaa basi mnaropoka tuh kama mnaimba kwaya zenu zile.

Au kama mnatolewa mapepo.
 
Mlio karibu na Zitto mwambieni Sifa anazozipenda Sana kuwazidi wanawake zitamtokea puani!!!!

Si Mara moja hata JK mwenyewe amewahi lalamika ingali Zzk akiwa CDM kwamba huyo kijana ni mnafiki na anamfwata fwata Sana.... JK alisema, "huyu kijana anamatatizo gani? si ajenge chama chake?"

Zitto ni mnafiki na ndumilakuwili Wa viwango vya juu Sana!!! maji aliyoyaingia ni kina kirefu Sana kwake soon atazama!!!

Watu Kama akina Mbowe....Lipumba.... Mbatia..... Dr. Slaa Zitto si saizi yake kabisa ila kwakuwa anapewa Sifa za kijinga na wapuuzi wenzie anaamini anaweza pambana na yeyote na sasa amemwingia Mengi!!!!

Huyo dogo malezi na jamii aliyokulia inaonekana ni yakitumwa iliyokosa nidhamu na adabu.....

Very soon ataona outcome ya Upuuzi wake......
Kweli Zitto ni mnafki kama JK alisema hivo basi si mnafki tu inaonekana anapenda kujikomba,sasa alikuwa analalimika nini na kuhitaji ushahidi kwamba kasingiziwa kwamba anapeleka taarifa za CHADEMA kwa TISS.
Sidhani hata CCM walikuwa wanamfuata ila kwa unafki wake atakuwa aliwafuata kwamba yeye ni mtu wa ndani atapewe chochote atasababisha madhara.
Huyu dogo tusubiri tu hafiki popote
 
Siyo dawa hiyo.

Kwani hata vikiungana ndiyo inaaondoa hoja ya kwamba kwenye chadema kuna uchaga na ukristo??

Nyinyi mna akili timamu?

Si ni nyinyi mlikuwa mnasema kwamba cuf ni ccm b na cuf ni chama cha waislam ili mpoze joto ya jiwe ya huo udin ma ukabila ndan ya chadema??

Ma.---- ndiyo hawajui.

Ila waerevu tunaijua michezo yenu.
...ahahahaaa, ama kweli siku ya kufa nyani.......
leo hii cdm ndo ilisema cuf ni chama cha kidini na kigaidi, si ccm tena??!! loh...
hivi zile shehena za majambia ccm mlizotutangazia kuwa zimepenyezwa nchini na chama cha kigaidi cuf mlishaziangamiza au mmezihifadhi wapi?

yan nyie chichiem kila chama kinachopata nguvu ya kisiasa nchini mnakitafutia jina!!!

ok, ngoja sasa kije kile cha wasaliti ict...tunasubiri mtakipa jina gani.

chichiem mnatawala kwa hila lakini mtangoka tu, mpende msipende.
 
Kweli Zitto ni mnafki kama JK alisema hivo basi si mnafki tu inaonekana anapenda kujikomba,sasa alikuwa analalimika nini na kuhitaji ushahidi kwamba kasingiziwa kwamba anapeleka taarifa za CHADEMA kwa TISS.
Sidhani hata CCM walikuwa wanamfuata ila kwa unafki wake atakuwa aliwafuata kwamba yeye ni mtu wa ndani atapewe chochote atasababisha madhara.
Huyu dogo tusubiri tu hafiki popote

Huwa namuuliza siku zote Kama CCM au JK wanamweshimu Sana kwanini hawakumwachia jimbo apite bila kupingwa?? Jamaa alipata upinzani Mkali toka CCM almanusura aangukie pua....

Huyo MTU kichefu chefu tupu!!!
 
Back
Top Bottom