THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
...ahahahaaa, ama kweli siku ya kufa nyani.......
leo hii cdm ndo ilisema cuf ni chama cha kidini na kigaidi, si ccm tena??!! loh...
hivi zile shehena za majambia ccm mlizotutangazia kuwa zimepenyezwa nchini na chama cha kigaidi cuf mlishaziangamiza au mmezihifadhi wapi?
yan nyie chichiem kila chama kinachopata nguvu ya kisiasa nchini mnakitafutia jina!!!
ok, ngoja sasa kije kile cha wasaliti ict...tunasubiri mtakipa jina gani.
chichiem mnatawala kwa hila lakini mtangoka tu, mpende msipende.
Hakuna mshabiki wa ccm hapa.
Tatizo lenu wengi wenu mnapoona watu wanakipiga vita hiko chama cha kidin na kikabila chadema basi mnadhani ni wafuasi wa ccm.
Hata hivyo ukweli utabakia kuwa hivyo.
Chadema na kanisa katoliki ni dam dam.
Hatuwezi rudia fanya kosa kama hilo tena.