Kama tujuavyo Iran ni mnyonge wa Israel, sasa Israel wanaweza kutoa msaada wa suluhu dhidi ya drones

Kama tujuavyo Iran ni mnyonge wa Israel, sasa Israel wanaweza kutoa msaada wa suluhu dhidi ya drones

Kwa hiyo Medvedev mpaka anaongea naye anaongea tetesi au uhalisia?
Hebu twende na trend ya matukio,Waziri wa mahusiano wa Israel karopoka bila kutumwa, Medvedev akaweka wazi Nini kitatokea Kwa mahusiano ya Russia na Israel iwapo Israel itasupply weapons kama huyo waziri wa mahusiano alivyosema!Waziri wa Ulinzi akajitokeza kutoa ufafanuzi kuwa yaliyotamkwa na huyo waziri ni mawazo binafsi na hayana baraka za serikali ya Israel hivyo msimamo wa Israel ni kutojihusisha na Huo mgogoro!
Au Bado haijaeleweka?
 
Ndiyo ujue kuwa hii ni halisi na ndiyo maana Medvdev analialia na kubwekabweka kuwa Israel ikiisidia Ukraine itaharibu uhusiano si angekaa kimya kama kauli ya Shai ingekuwa ni jambo dogo au ni tetesi!
 
Yaan super power russia apewe silaha na iran? Mbona dunia inazunguka kwa kasi sana.
 
Ndiyo ujue kuwa hii ni halisi na ndiyo maana Medvdev analialia na kubwekabweka kuwa Israel ikiisidia Ukraine itaharibu uhusiano si angekaa kimya kama kauli ya Shai ingekuwa ni jambo dogo au ni tetesi!
Sasa hujiulizi kwanini waziri wa Ulinzi naye katoka hadharani kutolea ufafanuzi kuwa kauli ya Waziri wa mahusiano ni nonsense!Si angekaa kimya Kwa muktadha Huo huo!
Israel has a lot to loose kama mahusiano yake na Russia yakivurugika!
 
Hiyo tweet inaonekana ni ya October 16,Je,ni aunthetic? Leo nimeona French 24 taarifa ikisema Israel imegoma kuipa silaha Ukraine!
Lakini Kuna hii

Israel denies selling weapons to Ukraine​

  • Middle East
  • Anadolu Agency
  • Published Date: 11:14 | 19 October 2022
  • Modified Date: 11:19 | 19 October 2022
Israeli Defense Minister Benny Gantz has denied selling weapons to Ukraine amid the Russian invasion of the European country.
"We are not selling weapons to Ukraine," Gantz said in an interview with the Jewish ultra-Orthodox Kol Chai radio.
The defense minister said that Tel Aviv had not previously sold arms to Ukraine.
On Monday, Diaspora Affairs Minister Nachman Shai called on the Israeli government to send weapons to Ukraine in response to reports about sending Iranian missiles to Russia.
Commenting on Shia's statements, Gantz said, "he is mistaken, I am the defense minister who is responsible for exporting Israeli weapons."
In response to Shai's statement, former Russian President Dmitry Medvedev warned Israel against arms deliveries to Ukraine.
"Israel seems to be going to supply weapons to the Kiev regime. A very rash step. It will destroy all interstate relations between our countries," he said.

Habari za upotoshaji jukwaa hili zimekuwa nyingi!

Oct 16 kwani si ndio mlikua mnapiga bembea za watoto kwa drones.

Iran ni mnyonge wa Israel, sasa huyo Iran kiongozi wenu wavaa kobaz angetoa msaada kwa Urusi kimya kimya, majibu atapata sasa, ndio maana alikua anakana hizo drones.
 
Eti kama tujuavyo! Una hakika muajemi mnyonge kwa myahudi au maoni yako tu

Muajemi ni mtu mwenye akili sana sema aliingizwa mkenge akakumbatia dini ya mwarabu ambayo hulemaza akili.
 
Oct 16 kwani si ndio mlikua mnapiga bembea za watoto kwa drones.

Iran ni mnyonge wa Israel, sasa huyo Iran kiongozi wenu wavaa kobaz angetoa msaada kwa Urusi kimya kimya, majibu atapata sasa, ndio maana alikua anakana hizo drones.
Unakwepa hoja,Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema hawatajihusisha na mgogoro wa Ukraine na Urusi,na kwamba kauli ya Waziri wa mahusiano ni porojo!
Tushikilie hapo!
 
Unakwepa hoja,Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema hawatajihusisha na mgogoro wa Ukraine na Urusi,na kwamba kauli ya Waziri wa mahusiano ni porojo!
Tushikilie hapo!

hehehe kweli Israel ndiye mbabe wenu wavaa kobaz, yaani mpo mnafatilia kila tamko la kila waziri, nimeleta uzi wenye tweet waziri wa Israel, ukahoji tarahe nikakukumbusha ni tarahe ya juzi wakati mnalipua bembea za watoto, kwa kifupi kaeni mkao wa kula.
 
Sasa huyo waziri uliyeleta ni hahusiki na mambo ya silaha,ni kama hapa bongo mambo ya JKT ukamuulize Jafo wa mazingira halafu Waziri wa Ulinzi aje aseme Jafo alikuwa anapiga porojo tu,Sasa tushike lipi?
Ndio nimehoji tayari maana unaleta tweet ya nyuma wakati Kuna tamko la la waziri wa Ulinzi ambalo ni current?
We ndiye Unaonekana umechanganyikiwa,unakusanya vijihabari unakuja navyo hapa bila hata kuvifanyia tathimini,ndio maana jukwaa hili Unaonekana kama kama kibwagizo Cha udaku!

NB:Israell hawezi kuharibu uhusiano wake na Russia kisa Ukraine!Israel ana mengi ya kupoteza Kwa kufanya hivyo hasa akifikiria Iran na Syria!
 
Mvaa kobaz na njaa zako Tandale unataka kuwapangia mawaziri wa Israel, endeleeni kuweweseka, Iran ni mnyonge wa Israel, dawa yake imo.
 
Unapenda kuandika habari za uongo sana humu JF na kutengeneza fake news na propaganda sijui wanakulipa how much?Because habari zako zote zinafavor one side na kibaya zaidi nyingi ni habari ya uongo,fake na kuongezea chumvi, Israel amegoma kumpa silaha Ukraine

ISRAEL YAKATAA KUIPA SILAHA UKRAINE.

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Benjamin Netanyahu - בנימין נתניהו na waziri wa Ulinzi wa Israel Ganzy wamekataa kwa pamoja kuisaidia Ukraine silaha za kivita ili iweze kupambana na russia. Viongozi hao wamesema kwamba, israel haitaki kuingia kwenye huu mgogoro na nchi za ULAYA na. NATO zinatosha kuipa silaha Ukraine.

Kumbuka kuwa #Netanyahu ni rafiki mkubwa wa russia na kuna mvumo wa #BenjaminNetanyahu anaweza akarudi madarakani kwenye kugombea kiti cha Uwaziri mkuu.

Hata hivyo pia WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL AMEKATAA KUIPOKEA SIMU YA WAZIRI WA ULINZI WA UKRAINE
Wewe umenukuu habari ya zamani lakini huyu M-K waga analeta habari hot kutoka jikoni na sisi wengine tunamkubali sana na kumhimiza aendelee kutuhabarisha.

Mnaompinga tunajua ni nyie wa masjid ambao taarifa nzuri za kutoka nchi za magharibi hamtaki kusikia wakati hao waliowaletea hiyo dini ndiko wanakokimbilia.

Mk254 tafadhali endelea kutuletea habari motomoto za namna dikteta Putin anavyo chakazwa.

I say bravo to you and please keep it up.
 
Sasa hujiulizi kwanini waziri wa Ulinzi naye katoka hadharani kutolea ufafanuzi kuwa kauli ya Waziri wa mahusiano ni nonsense!Si angekaa kimya Kwa muktadha Huo huo!
Israel has a lot to loose kama mahusiano yake na Russia yakivurugika!
Israel ataloose nini kwa mfano? Russia anaipa nini Israel?
 
Israel walikua wamekaa pembeni hawataki kuingia kwenye huu ugomvi, ila baada ya kuona Iran anajikweza kwa drones zake alizotoa kama msaada kwa Urusi ili zitumike kuua watu wa Ukraine, ameanza kutoa matamko na tujuavyo yeye haitakua shida kwake kudungua hizo drones.
==================

Israel is "deeply concerned" by Russia's use of Iranian-made Shahed 136 suicide drones in its latest large scale missile attack on Ukrainian cities, including the capital, Kyiv, which resulted in 19 deaths and extensive destruction, the Times of Israel reported.

"The massive Russian attack on Ukraine using Iranian-made weapons is a precedent for the Israeli army. Given the developments in Ukraine, one should speculate what will happen if Iranian missiles on their way to Israel are not intercepted," the Times of Israel news website said yesterday.

Middle East Monitor

Iran yupi kaka?
 
Mossad wakiingiza mguu hata ayatollah anaweza kujiuzulu uraisi na putin atakimbia urusi.
Acheni kuwafagilia sana Wayahudi
Ni binafamu kama binadamu wengine na hawana cha zaidi kuliko wewe na mimi.

Taifa teule ni mimi na wewe.

Tena kwa ujumla wao yale mabepari na wanyonyaji. Israel mbele ya Iran bila Marekani ni kama mbwa mbele ya chui.
 
Back
Top Bottom