Kama tujuavyo Iran ni mnyonge wa Israel, sasa Israel wanaweza kutoa msaada wa suluhu dhidi ya drones

Kwa hiyo Medvedev mpaka anaongea naye anaongea tetesi au uhalisia?
Hebu twende na trend ya matukio,Waziri wa mahusiano wa Israel karopoka bila kutumwa, Medvedev akaweka wazi Nini kitatokea Kwa mahusiano ya Russia na Israel iwapo Israel itasupply weapons kama huyo waziri wa mahusiano alivyosema!Waziri wa Ulinzi akajitokeza kutoa ufafanuzi kuwa yaliyotamkwa na huyo waziri ni mawazo binafsi na hayana baraka za serikali ya Israel hivyo msimamo wa Israel ni kutojihusisha na Huo mgogoro!
Au Bado haijaeleweka?
 
Ndiyo ujue kuwa hii ni halisi na ndiyo maana Medvdev analialia na kubwekabweka kuwa Israel ikiisidia Ukraine itaharibu uhusiano si angekaa kimya kama kauli ya Shai ingekuwa ni jambo dogo au ni tetesi!
 
Yaan super power russia apewe silaha na iran? Mbona dunia inazunguka kwa kasi sana.
 
Ndiyo ujue kuwa hii ni halisi na ndiyo maana Medvdev analialia na kubwekabweka kuwa Israel ikiisidia Ukraine itaharibu uhusiano si angekaa kimya kama kauli ya Shai ingekuwa ni jambo dogo au ni tetesi!
Sasa hujiulizi kwanini waziri wa Ulinzi naye katoka hadharani kutolea ufafanuzi kuwa kauli ya Waziri wa mahusiano ni nonsense!Si angekaa kimya Kwa muktadha Huo huo!
Israel has a lot to loose kama mahusiano yake na Russia yakivurugika!
 
Oct 16 kwani si ndio mlikua mnapiga bembea za watoto kwa drones.

Iran ni mnyonge wa Israel, sasa huyo Iran kiongozi wenu wavaa kobaz angetoa msaada kwa Urusi kimya kimya, majibu atapata sasa, ndio maana alikua anakana hizo drones.
 
Eti kama tujuavyo! Una hakika muajemi mnyonge kwa myahudi au maoni yako tu

Muajemi ni mtu mwenye akili sana sema aliingizwa mkenge akakumbatia dini ya mwarabu ambayo hulemaza akili.
 
Oct 16 kwani si ndio mlikua mnapiga bembea za watoto kwa drones.

Iran ni mnyonge wa Israel, sasa huyo Iran kiongozi wenu wavaa kobaz angetoa msaada kwa Urusi kimya kimya, majibu atapata sasa, ndio maana alikua anakana hizo drones.
Unakwepa hoja,Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema hawatajihusisha na mgogoro wa Ukraine na Urusi,na kwamba kauli ya Waziri wa mahusiano ni porojo!
Tushikilie hapo!
 
Unakwepa hoja,Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema hawatajihusisha na mgogoro wa Ukraine na Urusi,na kwamba kauli ya Waziri wa mahusiano ni porojo!
Tushikilie hapo!

hehehe kweli Israel ndiye mbabe wenu wavaa kobaz, yaani mpo mnafatilia kila tamko la kila waziri, nimeleta uzi wenye tweet waziri wa Israel, ukahoji tarahe nikakukumbusha ni tarahe ya juzi wakati mnalipua bembea za watoto, kwa kifupi kaeni mkao wa kula.
 
Sasa huyo waziri uliyeleta ni hahusiki na mambo ya silaha,ni kama hapa bongo mambo ya JKT ukamuulize Jafo wa mazingira halafu Waziri wa Ulinzi aje aseme Jafo alikuwa anapiga porojo tu,Sasa tushike lipi?
Ndio nimehoji tayari maana unaleta tweet ya nyuma wakati Kuna tamko la la waziri wa Ulinzi ambalo ni current?
We ndiye Unaonekana umechanganyikiwa,unakusanya vijihabari unakuja navyo hapa bila hata kuvifanyia tathimini,ndio maana jukwaa hili Unaonekana kama kama kibwagizo Cha udaku!

NB:Israell hawezi kuharibu uhusiano wake na Russia kisa Ukraine!Israel ana mengi ya kupoteza Kwa kufanya hivyo hasa akifikiria Iran na Syria!
 
Mvaa kobaz na njaa zako Tandale unataka kuwapangia mawaziri wa Israel, endeleeni kuweweseka, Iran ni mnyonge wa Israel, dawa yake imo.
 
Wewe umenukuu habari ya zamani lakini huyu M-K waga analeta habari hot kutoka jikoni na sisi wengine tunamkubali sana na kumhimiza aendelee kutuhabarisha.

Mnaompinga tunajua ni nyie wa masjid ambao taarifa nzuri za kutoka nchi za magharibi hamtaki kusikia wakati hao waliowaletea hiyo dini ndiko wanakokimbilia.

Mk254 tafadhali endelea kutuletea habari motomoto za namna dikteta Putin anavyo chakazwa.

I say bravo to you and please keep it up.
 
Sasa hujiulizi kwanini waziri wa Ulinzi naye katoka hadharani kutolea ufafanuzi kuwa kauli ya Waziri wa mahusiano ni nonsense!Si angekaa kimya Kwa muktadha Huo huo!
Israel has a lot to loose kama mahusiano yake na Russia yakivurugika!
Israel ataloose nini kwa mfano? Russia anaipa nini Israel?
 
Iran yupi kaka?
 
Mossad wakiingiza mguu hata ayatollah anaweza kujiuzulu uraisi na putin atakimbia urusi.
Acheni kuwafagilia sana Wayahudi
Ni binafamu kama binadamu wengine na hawana cha zaidi kuliko wewe na mimi.

Taifa teule ni mimi na wewe.

Tena kwa ujumla wao yale mabepari na wanyonyaji. Israel mbele ya Iran bila Marekani ni kama mbwa mbele ya chui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…