Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

kwa hiyo wajameni waendelee kutuhumiwa maisha???!!!?? miaka tisa unatuhumu tu!! noo hiyo ni uonevu huenda na wewe ni muonevu sanasana, kama kwa miaka tisa tote ushahidi haujapatikana wewe ungependa wakae ndani mpaka lini??!!!??
 
Miaka yote ushahidi hawana ? Maana yake Nini ? Naomba unijuze !!!
 
Ila kuwafunga kisiasa na kwa dhulma taifa litakuwa linaenda pazuri sio?
 
Bwana wao aliwaachia walawiti wa watoto wadogo waliokutwa na hatia mahakamani, walikaa kimya! Leo hii Samia kuachia watu ambao makosa yao imeshindikana kuthibitisha mahakamani ni nongwa! Hawa watu ni kama marehemu anayetembea
 
Bwana wao aliwaachia walawiti wa watoto wadogo waliokutwa na hatia mahakamani, walikaa kimya! Leo hii Samia kuachia watu ambao makosa yao imeshindikana kuthibitisha mahakamani ni nongwa! Hawa watu ni kama marehemu anayetembea
Umeishia darasa la ngapi we pimbi?
 
No crime without a law.
 
Mleta mada una roho mbaya wewe ni sadist
hapana mleta mada hana roho mbaya bali rais mwana mama ndio ana roho mbaya.
Katika jambo la uwamsho wale mashehe walistahili kupata haki yao kwa walicho kitenda mama pale ameleta udini na uzanzibar kitu ambacho kama taifa litatutesa mbele akitokea mwingine kama yeye.
 
Were convicted prisoners. Tofautisha hii iliyotokea jana.

..unaamini kwa dhati kabisa kwamba Babu Seya na Papii Kocha, walawiti watoto, walistahili kutolewa jela, na kupewa heshima ya kufika Ikulu kuonana na Raisi?
 
Kama kesi zao za kubambikia, hazina ushahidi unaoeleweka, zilikuwa na mlengo wa kisiasa basi acha ziishe tu kisiasa ili nchi iwe na mshikamano wa kitaifa
 
Mtoa maada kama una ushahidi peleka kwa Dpp acha kulalamika hapa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…