cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Nashangaa watu wanateseka hataki wawe huru hajui kuwa wana familia na nduguAnataka mashekhe waendelee kusota??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa watu wanateseka hataki wawe huru hajui kuwa wana familia na nduguAnataka mashekhe waendelee kusota??
kinachomuuma ni hiki , sabaya ndani , uamsho nje !Sasa kama kada wa chama tawala unalalamika, sisi tusio na vyama tufanye nini sasa!! 🤗
Miaka yote ushahidi hawana ? Maana yake Nini ? Naomba unijuze !!!Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma:
1).Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2). CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3). Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Oooh! Push gang huyukinachomuuma ni hiki , sabaya ndani , uamsho nje !
Bwana wao aliwaachia walawiti wa watoto wadogo waliokutwa na hatia mahakamani, walikaa kimya! Leo hii Samia kuachia watu ambao makosa yao imeshindikana kuthibitisha mahakamani ni nongwa! Hawa watu ni kama marehemu anayetembeaNahisi nawe hoja unaiinua kisiasa.Ushindwe.Mpo wengi wenye mtizamo wa kipuuzi juu ya uongozi uliopo sasa.Udikiteta wenu umeisha nguvu.Tuinue taifa linalozingatia haki. Hamtaki ? Mungu keshaamua na iwe.Tumepitia mengi unanitia uchungu kwa bandiko lako hili.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Umeishia darasa la ngapi we pimbi?Bwana wao aliwaachia walawiti wa watoto wadogo waliokutwa na hatia mahakamani, walikaa kimya! Leo hii Samia kuachia watu ambao makosa yao imeshindikana kuthibitisha mahakamani ni nongwa! Hawa watu ni kama marehemu anayetembea
Umeishia darasa la ngapi we pimbi?
No crime without a law.Nahisi nawe hoja unaiinua kisiasa.Ushindwe.Mpo wengi wenye mtizamo wa kipuuzi juu ya uongozi uliopo sasa.Udikiteta wenu umeisha nguvu.Tuinue taifa linalozingatia haki. Hamtaki ? Mungu keshaamua na iwe.Tumepitia mengi unanitia uchungu kwa bandiko lako hili.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile ap
Mleta mada una roho mbaya wewe ni sadist
hapana mleta mada hana roho mbaya bali rais mwana mama ndio ana roho mbaya.Mleta mada una roho mbaya wewe ni sadist
Were convicted prisoners. Tofautisha hii iliyotokea jana.