Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Issue inakuja, je walikuwa na kesi ya kujibu? Kama haipo kwanini waendelee kuwa mahabusu, hii sio dhulma kwao? Kama waliachiwa wakati wana kesi ya kujibu basi hapo ni shida kubwahapana mleta mada hana roho mbaya bali rais mwana mama ndio ana roho mbaya.
Katika jambo la uwamsho wale mashehe walistahili kupata haki yao kwa walicho kitenda mama pale ameleta udini na uzanzibar kitu ambacho kama taifa litatutesa mbele akitokea mwingine kama yeye.
Magaidi huwa hayapelekwi mahakamani ni kuwekwa kuzuizini tuuu... hata marekani uko wanafanywa hivyo wanawapeleka gwantamano......Kama una uhakika kwa hao mashehe kwanini hukupeleka ushahidi wako kwa DPP miaka yote hiyo waliyo kaa ndani?
Hapa walikuwa wanafanya nini?Kama hakuna USHAHIDI watu waendelee kuteseka!!!! Kama ushaidi upo watu walete ushaidi kesi iishe. Nyie ndio mnafanya nchi yetu ilaanike.
Wale hawakufungwa kwasababu ni mashehe walifungwa Kwa shutuma na madhambi waliyokuwepo wanayafanya. Kwahiyo shehe akiua asifingwe au shehe akibaka asihukumiweAnataka mashekhe waendelee kusota??
Hoja sio wao kwenda ikulu bali ni walikuwa wafungwa tofauti na hawa mahabusu. Hilo la kwenda ikulu ni ishu nyingine..unaamini kwa dhati kabisa kwamba Babu Seya na Papii Kocha, walawiti watoto, walistahili kutolewa jela, na kupewa heshima ya kufika Ikulu kuonana na Raisi?
Rais ambaye hakuchaguliwa anaonyesha kutokuwa na msimamo, anafanya kazi na mitandao ya kijamii. Soon tutaanza kuona tena vituko vya muslim terrorism, ni swala mda tuNi wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Timu Sabaya huyoKisongo iko palepale huu ujambazi hauvumiliwi....
SureWalikamatwa kisiasa. Huo ndio uhalisia.
Kama ni za kisiasa furahi kwa kuwa nae rafiki yako saa baya ataachiwa vivo hivyo.Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Hao watu walikuwa na bendera yaoWale hawakufungwa kwasababu ni mashehe walifungwa Kwa shutuma na madhambi waliyokuwepo wanayafanya. Kwahiyo shehe akiua asifingwe au shehe akibaka asihukumiwe
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Yaani tumeachia magaidi bila hata kakovu yaani wako lainiii.
Walitakiwa kunyongwa hawa magaidi. Yaani tutavuna mabua muda si mrefu.
nawaza Mchungaji KAGANGA wa TANZANIA ASSEMBLISE OF GOD ZANZIBAR, CATHOLIC na makanisa ya anglikan wakianza kuwindwa, nawaza tu.Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Msinge kuwa mnabambikia watu,kesi tungeunana na wewe na wote wenye mawazo kama yako ,ila kwa hili nakukataa.Tena acha roho mbaya.Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
hawa watu ni hatari kuliko COVID-19