Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

Si
Hivi kifungo walicho tumikia Cha miaka 9 hakijawatosha mpaka unalalamika kua wametolewa kisiasa tuwe na utu ukiona taifa linafurahia misiba ya wengine na kuchukua mafanikio ya wengine tambua laana IPO hapo mtu anakaa ndani miaka 4 akitolewa nimakosa kweli tulikua tumepotea
 
Kwaiyo we dada furaha yako watu wafie jela, aswaa waislamu, pumbavu ww
 
Kawaida kwa Wanasiasa. Unakumbuka Mwendazake alisema alisema atamwachia BABU SEYA....
 
Zama za dikteta zishapita pimbi wewe, mama aongozi nchi kwa visasi na dhuluma Kama Magufuli.
 
basi na yule jambazi Sabaya acha akae jela afie ukouko, ili iwe fundisho,

Miaka minne mfululizo iwe kesi inatajwa tu haizungumzwi mam'ae
 
Ukuacha maneno matupu ya watu ebu type ushahidi wa kiintelejensia unaowatia hatian hai watu
 
Sioni shida wakisamehewa wamesota kwelikweli, hafu Raisi kasamehe watu wengi, mbona Babu seya pamoja na ubakaji magufuli aliwasamehe,
 
Wakati uchunguzi unafanyika ulikuwa wapi kupeleka ushahidi?
Wameachiwa bada ya kuona ushahidi haupatikani miaka hadi miaka.
Ila wewe nakukumbuka humu jf kwa kushabikia ukatili, pengine ndivyo ulivyolelewa.
 
SSerik
Serikali ni kiona mbali nakuaidi wote walio achiwa kwenye Hili sakata ''LIFE SPAN'' zao hazito zidi Mwaka......Ova
 
Pengine umesahau kwamba walikamatwa kisiasa. Mimi nakukumbusha tu. Mwiba uingiapo ndipo utokeapo
 
Kiufupi wewe ni mjinga na mpumbafu miaka 9 hujapekeka ushshidi KAZI kutesa watu kutesa familia zao kisha unakuja kuregeza sauti hapa kwanda ukooo
 
kama una uchungu jifungue bana usitutishe.

hao wavaa makobasi wamekamatwa enzi ambayo mnadai ilikuwa ya uhuru na demokrasia kupata kutokea,awamu ya nne.

jambo la msingi wao pia wamkiri hawana mpango tena na waliyokuwa wakiyafanya.
 
AMEN
 
Mkuu,

Sitaki kuwatetea wala kuwakandamiza hao wote uliowatuhumu kuachiwa; swali ambalo ungejiuliza, hivi ni sahihi kumuweka mtu rumande kwa zaidi ya miaka 9 eti bado mnatafuta ushahidi? Umesema Waziri wa mambo ya ndani alikua na infor zote; why didnt he share ili wale mashehe wafungwe au wahukumiwe?

Ni dhambi kubwa sana kumuweka mtu ndani halafu ndio unatafuta ushahidi, kama hukua na ushahidi sasa unamkamata wa nini? Tudumishe sheria na tutekeleze sheria, mambo ya kijinga kijinga ya kuoneana tuachane nayo. Ingawa sina maana kwamba nakupinga kuhusu ofisi ya DPP kutumiwa kisiasa na wana siasa, hilo lipo wazi but pia tusiruhusu kuwaweka watu ndani kwa muda mrefu halafu ndio tuanze kutafuta ushahidi.

Binafsi napendekeza iwepo sheria kwamba kama mtu kawekwa ndani kwa muda fulani, kila akifikishwa mahakamani, mshtaki anasema ushahidi haujakamilika, then mahakama iwaachilie HURU washtakiwa cause mshtaki (police, DPP ) hawana ushahidi.
 
Mumeo Sabaya wajuba wanamfokoa kinoma huko Kisongo kudadadeq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…