Tunaomba uyaseme maneno hayo ukiwa chini ya kiapo Dudumizi.upo tayari?.Upinzani haujawahi kushinda uraisi hata kidogo, labda mwaka 2015 ndio kidogo walikaribia kushinda baada ya CCM hiyo hiyo kuwasimamisha wagombea uraisi wawili katika vyama tofauti yan Magufuli CCM original na Lowasa Chadema (CCM mikakati)
Upinzani haujawahi kushinda uraisi hata kidogo, labda mwaka 2015 ndio kidogo walikaribia kushinda baada ya CCM hiyo hiyo kuwasimamisha wagombea uraisi wawili katika vyama tofauti yan Magufuli CCM original na Lowasa Chadema (CCM mikakati)
Tangu mwaka 2010 CCM haijawahi kushinda uchaguzi kwa ngazi zote!Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi ?
Je kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM akatumia mwanya wa utangazaji kutangazwa mshindi .
Tukachwa na kauli CCM sio mshindi halali wa uchaguzi kauli hadi leo imo vinywani kwa wapinzani.
Je kifanywe nini ili hata hili pengo laUtangazaji nalo lizibwe ?
Hata vyovyote mtakavyo fanya hamuwezi kuiondoa isipo kuwa itajiondoa yenyewe wakati wake ukifika.Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi ?
Je kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM akatumia mwanya wa utangazaji kutangazwa mshindi .
Tukachwa na kauli CCM sio mshindi halali wa uchaguzi kauli hadi leo imo vinywani kwa wapinzani.
Je kifanywe nini ili hata hili pengo laUtangazaji nalo lizibwe ?
Tuwaloge tuBaada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi ?
Je kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM akatumia mwanya wa utangazaji kutangazwa mshindi .
Tukachwa na kauli CCM sio mshindi halali wa uchaguzi kauli hadi leo imo vinywani kwa wapinzani.
Je kifanywe nini ili hata hili pengo laUtangazaji nalo lizibwe ?
Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi ?
Je kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM akatumia mwanya wa utangazaji kutangazwa mshindi .
Tukachwa na kauli CCM sio mshindi halali wa uchaguzi kauli hadi leo imo vinywani kwa wapinzani.
Je kifanywe nini ili hata hili pengo laUtangazaji nalo lizibwe ?
Acheni propaganda ya uongo. Ccm hua inashinda na kutangazwa. Pale wakishinda wapinzani wanatangazwa. Rudia rudia uongo hadi watu watakuamini. Ndio mkakatati wanatumia upinzani. Taratibu za uchaguzi ziko wazi. Kuna wawakilishi wa kila chama kwenye vituo vya kupigia kura na watazamaji. Wapinzani pale wamedhulumiwa huenda mahakamani na haki tumeona ikitendeka huko nyuma.Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi ?
Je kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM akatumia mwanya wa utangazaji kutangazwa mshindi .
Tukachwa na kauli CCM sio mshindi halali wa uchaguzi kauli hadi leo imo vinywani kwa wapinzani.
Je kifanywe nini ili hata hili pengo laUtangazaji nalo lizibwe ?
Kwakuwa uamuzi wa uwepo au isiwepo katiba ni wa kwao, hiyo si njia sahihi. Naunga mkono hoja ya kuitumia vizuri misitu tuliobarikiwa kwa wingi katika hii nchi. ...... Wenzetu wameweza wananini,Tangu mwaka 2010 CCM haijawahi kushinda uchaguzi kwa ngazi zote!
Kuepuka huu ujambazi wa uchaguzi,suluhu ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi,hii ndo sumu ya ujambazi wa CCM
Yana mwishoBaada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi ?
Je kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM akatumia mwanya wa utangazaji kutangazwa mshindi .
Tukachwa na kauli CCM sio mshindi halali wa uchaguzi kauli hadi leo imo vinywani kwa wapinzani.
Je kifanywe nini ili hata hili pengo laUtangazaji nalo lizibwe ?
Acha uongo na ujingaUpinzani haujawahi kushinda uraisi hata kidogo, labda mwaka 2015 ndio kidogo walikaribia kushinda baada ya CCM hiyo hiyo kuwasimamisha wagombea uraisi wawili katika vyama tofauti yan Magufuli CCM original na Lowasa Chadema (CCM mikakati)