Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi?
Je, kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM akatumia mwanya wa utangazaji kutangazwa mshindi .
Tukachwa na kauli CCM sio mshindi halali wa uchaguzi kauli hadi leo imo vinywani kwa wapinzani.
Je kifanywe nini ili hata hili pengo laUtangazaji nalo lizibwe?