Kama tumeshindwa kuwasaidia vijana, basi angalau tusiwaumize kwa kauli za kejeli

Burkinabe

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
2,800
Reaction score
4,930
Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them".

Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na matarajio makubwa ya kupata kazi, halafu anaishia kupewa kauli za kejeli eti nenda VETA!

Hii haikubaliki.
Nawasilisha.
 
Labda alidhani nae ni ushauri!
 
Tatizo ni kwamba hawakuandaliwa mapema na hiyo plan B !
Wataalamu wetu wa mambo za Ajira sijui huwa hawaonagi hivi vitu vikijirudia kila mara !!
No Job No Job No Job !
 
Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them".
Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na matarajio makubwa ya kupata kazi, halafu anaishia kupewa kauli za kejeli eti nenda VETA!
Hii haikubaliki.
Nawasilisha.
Kwa zama za sasa unaingiaje mtaani na matarajio ya kupata kazi? Lazima tuukabali ukweli ya kuwa wahitimu ni wengi ila nafasi za ajira ni chache vijana tunatakiwa tujiongeze mapema.
 
Mwana chuo Kuambiwa Nenda VETA sio big deal, Shida ni Unaambiwa na Nani? Unaambiwa Nenda VETA na watu wale wale walio kuambia kazana usome ufikie Chuo kikuu Upate kazi na Maisha Mazuri.

Sasa wanaona Umewasikiliza na wameshindwa kukupa Walicho kuahidi wana shift direction uende VETA.

Tafsiri yake ni kua Viongozi wetu hawana Maono, Kwa sababu wangekua na maono ya kuiona kesho ya graduates ikoje wangekupangia VETA soon baada ya wewe kumaliza Secondary.

I stand to be corrected
 
Kwa zama za sasa unaingiaje mtaani na matarajio ya kupata kazi? Lazima tuukabali ukweli ya kuwa wahitimu ni wengi ila nafasi za ajira ni chache vijana tunatakiwa tujiongeze mapema.

Saiv vijana waliacha kuhangaika maswala ya kazi.

Utawaona na bajaji, boda boda, frame za hapa na pale na Uwinga au waliobahatisha kazi pia utawaona wanapambana.

Wanao lalamika sana kwa sauti ni wanasiasa kutaka political gains and they are'nt giving solutions
 
Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them".

Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na matarajio makubwa ya kupata kazi, halafu anaishia kupewa kauli za kejeli eti nenda VETA!

Hii haikubaliki.
Nawasilisha.
Dunia haiko hivyo mkuu. Kama vijana hawawezi kujitetea wenyewe hali itazidi kuwa mbaya. Kadiri siku zinavyokwenda ndivyo watakavyozidi kuwakebehi na kuwaumiza.
 
Kwa zama za sasa unaingiaje mtaani na matarajio ya kupata kazi? Lazima tuukabali ukweli ya kuwa wahitimu ni wengi ila nafasi za ajira ni chache vijana tunatakiwa tujiongeze mapema.
Kabisa sema wengi tumetoka familia za kimasikin hata mtaji kupata ni kaz.
 
Ila hiyo kauli kiupande mwingine inafaida ila imekaa kijeli ni maumivu sana ukifiria hustle za shule ulizopitia.
 
Back
Top Bottom