Kama tumeshindwa kuwasaidia vijana, basi angalau tusiwaumize kwa kauli za kejeli

Kama tumeshindwa kuwasaidia vijana, basi angalau tusiwaumize kwa kauli za kejeli

Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them".

Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na matarajio makubwa ya kupata kazi, halafu anaishia kupewa kauli za kejeli eti nenda VETA!

Hii haikubaliki.
Nawasilisha.
We kwenu Burkina Faso mambo ya nchi yetu tuachie wenyewe
 
Kwa zama za sasa unaingiaje mtaani na matarajio ya kupata kazi? Lazima tuukabali ukweli ya kuwa wahitimu ni wengi ila nafasi za ajira ni chache vijana tunatakiwa tujiongeze mapema.
Swala la ajira sio kama miujiza ya, mwamposa, kwamba unapaka mafuta Mara paaap! Pesa hizoooo, deal la kazi, fasta.
Sie sio wa, kwanza kuwa na, shida, ya, ajira kwa vijana, Singapore, Vietnam, china, wali kuwa na ko, wakalitatua, tukaige huko, halikutatuliwa na maagizo ya kwenye majukwa, ya wanasiasa, ambao hawajwahi, hata kuanzisha genge la nyanya, lilitatuliwa kisayansi,
Qatar imeanzisha mji, kama silicon Valley, ambapo wameweka miundombinu yote ya IT, wamekaribisha vijana waliosomea IT kutoka duniani waje watengeneze computer games zitakazouzwa duniani, hii itakuwa incubator ya, kipekee duniani, ambapo vijana watatengeneza apps, programs za computer,
Hv ndio nchi inatakiwa ifikilie, sio upuuzi, wa, kusema, nenda VETA pale upate ujuzi! Kama vile hapo, veta unaenda kubeba ujuzi, kiuraiiini, kama, kununua yeboyebo au simu ya tecno kariakoo!
Kozi, ya, kuendesha crane, winch, au, caterpillar, veta ni milioni 1.5 kwa wiki!
 
Back
Top Bottom