degree kwenda veta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa kuwasaidia vijana, basi angalau tusiwaumize kwa kauli za kejeli

    Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them". Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na matarajio makubwa ya kupata kazi, halafu anaishia kupewa kauli za kejeli eti nenda VETA! Hii...
  2. Soul21

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba serikali haijui inataka nini kwenye elimu?

    Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu ya msingi lazima ijikamilishe akimaanisha kuwa mwanafunzi akimaliza pale lazima awe na ujuzi unaotakiwa. Pia alisema elimu ya sekondari isiwe bomba la kupitishia watu kwenda vyuo vikuu bali lazima pia itoe maarifa toshelevu. Sasa Kauli ya waziri mkuu juu wa...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kelele, kila mwenye degree apply hata kozi 7 VETA. Tutasikia mlio huko huko walipo! Hamtafundishwa kila kitu!

    Vijana tunapiga kelele mishipa inatusimama kuhusu kauli ya Waziri Mkuu kwa waliomaliza degree kwenda VETA. Ni dharau ndio, Anko Maja amezingua? Ndio, pakubwa sana. Sasa tunaingia kwenye propaganda na kurushiana maneno ambayo kimsingi hakuna kitu kitabadilika. Ndio kwanza wanaendelea kujitoa...
  4. Fateema

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wenye degree kwenda VETA, Likud apewe unabii

    Kila siku mkuu LIKUD amekuwa akiimba humu jukwaani akishauri watanzania wenye vipato vya kuunga unga wasi jistress kulipa hela nyingi kwenye shule za Ems zinazo fuata mtaala wa Necta na badala yake wawarejeshe Kayumba kwa sababu mtaala wa Necta unamuandaa mhitimu kuwa muajiriwa. Hela wanayo...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa VETA: Hata wenye PHD nao wanakaribishwa VETA

    Wakuu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore, amewakaribisha Watanzania kushiriki kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, yatakayofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam kuanzia Machi 18 hadi Machi 21, 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukitazama CV ya Elimu ya Waziri Mkuu Majaliwa Kassim utaelewa kwanini ametoa wazo la wenye Degree kwenda VETA

    Ifahamike CV ya Elimu ya Kassim Majaliwa ni hovyo na ya kuunga unga tu kwahio sio ajabu kutoa wazo hilo kuhusu wahitimu wa shahada za vyuo vikuu kwenda VETA. Kujadili ushauri wa kipuuzi na wa kijima, ni upunguani, huyu Waziri Mkuu amefika mwisho uwezo wake wa kufikiria na ni Waziri Mkuu pekee...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vijana fuateni ushauri wa waziri mkuu Majaliwa kuhusu ajira

    Nimemsikia waziri mkuu Kassim Majaliwa Juzi akiwa Shauri vijana wenye shahada za vyuo vikuu lakini hawana ajira wajiunge na vyuo vyetu vya Veta ili kujifunza SKILLS mbali mbali. Nimesoma pia kwenye mitandao vijana wakiubeza ushauri huu!! Ushauri huu ni mzuri ambao vijana wanatakiwa...
Back
Top Bottom