Kwa kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wenye degree kwenda VETA, Likud apewe unabii

Fateema

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2024
Posts
654
Reaction score
1,172
Kila siku mkuu LIKUD amekuwa akiimba humu jukwaani akishauri watanzania wenye vipato vya kuunga unga wasi jistress kulipa hela nyingi kwenye shule za Ems zinazo fuata mtaala wa Necta na badala yake wawarejeshe Kayumba kwa sababu mtaala wa Necta unamuandaa mhitimu kuwa muajiriwa. Hela wanayo poteza Ems wanunue assets halisi pamoja na uwekezaji kwa ajili ya watoto wao.

Baadhi ya watu wamekuwa wakimkejeli kwa kumwambia atafute hela lakini kauli ya Waziri Mkuu imekuja kucement hoja za Likud.

Mkuu Likud uliona mbali sana. It's either wewe ni genius unae weza kusoma situations, au muonaji unae weza kuona yajayo au upo kwenye system, u know what is going on..

Nashukuru Mungu wanangu niliwarejesha Kayumba mapema. Sina stress na ka akiba kapo na vibiashara vinaenda.
 
Wanaomaliza Universities wanatoka katka both public and private primary + secondary schools. Hoja ya Likud huwa ni public vs private schools, na sio ajira. By the way, VETA sio suluhisho la ukosefu wa ajira
 
Wewe una stress, una inferiority complex ya wanao kusoma kayumba. Kama uliamua kuwapeleka kayumba tulia kula maisha yako kwa raha mustarehe. Waache wanaosumbuka na ada za English medium wahangaike kivyao, wakikukopa ada wanyime. Vinginevyo ni kama una wivu mkali sana.
 
Wewe ndo hujamuelewa Likud, hoja ya Likud ni kwamba " There is no value for money" Kumsomesha mtoto wako Ems and Private wakati mwisho wa siku anaishia kutembea na makaratasi. So anatoa hoja kwamba ni Bora asome tu Kayumba ili kuokoa gharama ambazo ni unnecessary
 
Wewe una stress, una inferiority complex ya wanao kusoma kayumba. Kama uliamua kuwapeleka kayumba tulia kula maisha yako kwa raha mustarehe. Waache wanaosumbuka na ada za English medium wahangaike kivyao, wakikukopa ada wanyime. Vinginevyo ni kama una wivu mkali sana.
Nimuonee wivu mtu anae poteza hela?
 
Back
Top Bottom