Kwa kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wenye degree kwenda VETA, Likud apewe unabii

Kwa kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wenye degree kwenda VETA, Likud apewe unabii

Wewe una stress, una inferiority complex ya wanao kusoma kayumba. Kama uliamua kuwapeleka kayumba tulia kula maisha yako kwa raha mustarehe. Waache wanaosumbuka na ada za English medium wahangaike kivyao, wakikukopa ada wanyime. Vinginevyo ni kama una wivu mkali sana.
yeye ni miongoni mwa wale wa sizitaki mbichi hizi chimbua makaburi utajionea.
 
Ndio kwasababu Hii hoja unairudia sana. Ridhika na maisha yako, unapata kijiba kwa maisha ya familia zingine how come?
Kwa hiyo hata Lissu anavyo kuwa anawapigania watanzania masikini na yeye anakuwaga na kijiba cha Roho?
 
Kwahiyo Kila kiongozi wa CCM aliyeko kwenye system unamuamini?
Ameongea ukweli halisi. Amesema kile ambacho serikali inakiwaza. Ni kama vile amevujisha taarifa ya ki intellijensia
 
Kwa hiyo hata Lissu anavyo kuwa anawapigania watanzania masikini na yeye anakuwaga nankijina cha Roho?
Unajua watoto wa lisu walikuwa wanasoma wapi wakiwa tz? Watu wanapelekq English medium kwa sababu nyingi usikariri pesa tu, kama ni pesa wewe mwenyewe unazipoteza kwa mambo ya kipuuzi mengine kama saluni na mavazi ama vyakula ama gari
 
Hivi Kati ya mimi na wewe hapa ni nani ana stress
 
Nina degree na nilikua na mpango wa kwenda veta since five years ago😁😁kwo majaliwa ameongea kitu kizuri
Veta ni nzuri sana. Na si dhambi kwa mwenye digrii kusoma. Zaidi itakupa ufanisi kwa biashara utakayoamua kuifanya
 
Hili nalo linahitaji chapuo!!!mzee kikwete alishaliona hili miaka ya nyuma kabisa,,likud ye aliegemea katika upande wa kuepuka gharama tu.
 
How comes unakasirishwa na maandishi ya mtu usie mfahamu? Hujioni kwamba una stress? Au ndo watoto wapo nyumbani hujalipa ada?
Of course ada zinabana, ila on serious note uchaguzi wa English medium ama Swahili medium hauondoi umuhimu wa mafumzo ufundi stadi. Suala la mzazi anapeleka wapi mtoto hilo ni personal at family level, chumi za familia zinatofautiana na uchumi wa familia moja wakati mwingine hubadilika mwaka hadi mwaka, kuna familia watoto wanasoma private institutions pasipo stress kg hadi university na kuna wengine wana struggle ila hata wanao struggle kuna sababu kwanini waliamua kwenda private schools
 
Ndio maana Likud kasema kwa, wazazi wenye vipato vya chini ambao wana jistress kusomesha Ems
 
Veta ni nzuri sana. Na si dhambi kwa mwenye digrii kusoma. Zaidi itakupa ufanisi kwa biashara utakayoamua kuifanya
Nataka kuwa, operator wa either crane, wheel roder, au fork lift sijui chance nitapata wapi kwenye hivi
 
Back
Top Bottom