Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Sisi wakayumba hatuyajui hayoWhat a moment of a proud dad 😹😹
Sisi wakayumba hatuyajui hayoWhat a moment of a proud dad 😹😹
Pambana ukimaliza uingie migodini kuendesha madampa na mitamboNataka kuwa, operator wa either crane, wheel roder, au fork lift sijui chance nitapata wapi kwenye hivi
I get it ila hata wa vipato vya chini hivo hivo wanachechemea ingawa kwa mateso ya mikopo umiza, ila sometimes inabidi kuwaelewa kuna sababu ambazo yeye anaamini ni za msingi kwanini ateseke ilihali kuna elimu ya bure ya jamhuriNdio maana Likud kasema kwa, wazazi wenye vipato vya chini ambao wana jistress kusomesha Ems
😹😹😹Sisi wakayumba hatuyajui hayo
Hiyo money inayotakiwa kuwa na value huwa inatolewa na nani? Mtoaji hana hela? Yaani ni sawa na kumwambia mtu kuwa unywaji wa bia hauna value for money kwa kuwa ina bei kubwa kuliko maji ya kiasi hicho hicho. Sasa anayekunywa bia si ndio mtoa hela?Wewe ndo hujamuelewa Likud, hoja ya Likud ni kwamba " There is no value for money" Kumsomesha mtoto wako Ems and Private wakati mwisho wa siku anaishia kutembea na makaratasi. So anatoa hoja kwamba ni Bora asome tu Kayumba ili kuokoa gharama ambazo ni unnecessary
AiseeHiyo money inayotakiwa kuwa na value huwa inatolewa na nani? Mtoaji hana hela? Yaani ni sawa na kumwambia mtu kuwa unywaji wa bia hauna value for money kwa kuwa ina bei kubwa kuliko maji ya kiasi hicho hicho. Sasa anayekunywa bia si ndio mtoa hela?
Kulipia mamilioni elimu ya mtaala wa Veta ni uwendawazimuI get it ila hata wa vipato vya chini hivo hivo wanachechemea ingawa kwa mateso ya mikopo umiza, ila sometimes inabidi kuwaelewa kuna sababu ambazo yeye anaamini ni za msingi kwanini ateseke ilihali kuna elimu ya bure ya jamhuri
Baada Ya Iftar Utamuona Anajongea Taratibu Na Punje Moja Ya Tende Mdomonisijui kwa nini hajatokea katika uzi huu
Kwanza mtoto alikeketwa sijui au sijui alifanyiwa tohara tayari? Ulipata hospital gani?Kila siku mkuu LIKUD amekuwa akiimba humu jukwaani akishauri watanzania wenye vipato vya kuunga unga wasi jistress kulipa hela nyingi kwenye shule za Ems zinazo fuata mtaala wa Necta na badala yake wawarejeshe Kayumba kwa sababu mtaala wa Necta unamuandaa mhitimu kuwa muajiriwa. Hela wanayo poteza Ems wanunue assets halisi pamoja na uwekezaji kwa ajili ya watoto wao.
Baadhi ya watu wamekuwa wakimkejeli kwa kumwambia atafute hela lakini kauli ya Waziri Mkuu imekuja kucement hoja za Likud.
Mkuu Likud uliona mbali sana. It's either wewe ni genius unae weza kusoma situations, au muonaji unae weza kuona yajayo au upo kwenye system, u know what is going on..
Nashukuru Mungu wanangu niliwarejesha Kayumba mapema. Sina stress na ka akiba kapo na vibiashara vinaenda.
Pole sanaYes kwa sababu yupo kwenye system and he has spoken what is in the mind of the government
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yes LIKUD ni mbeba maono
Likud ni kama Nuhu alikuwa anawaambia watu waingie kwenye safina wakawa wana muona namna ganiYes LIKUD ni mbeba maono
Tanzania hakuna kinachoshindikana, unaweza kukuta LIKUD ndiye Kassim Majaliwa.Kila siku mkuu LIKUD amekuwa akiimba humu jukwaani akishauri watanzania wenye vipato vya kuunga unga wasi jistress kulipa hela nyingi kwenye shule za Ems zinazo fuata mtaala wa Necta na badala yake wawarejeshe Kayumba kwa sababu mtaala wa Necta unamuandaa mhitimu kuwa muajiriwa. Hela wanayo poteza Ems wanunue assets halisi pamoja na uwekezaji kwa ajili ya watoto wao.
Baadhi ya watu wamekuwa wakimkejeli kwa kumwambia atafute hela lakini kauli ya Waziri Mkuu imekuja kucement hoja za Likud.
Mkuu Likud uliona mbali sana. It's either wewe ni genius unae weza kusoma situations, au muonaji unae weza kuona yajayo au upo kwenye system, u know what is going on..
Nashukuru Mungu wanangu niliwarejesha Kayumba mapema. Sina stress na ka akiba kapo na vibiashara vinaenda.
Ndo yeye Mkuu ni mtu mmojaTanzania hakuna kinachoshindikana, unaweza kukuta LIKUD ndiye Kassim Majaliwa.
Duh aiseeTanzania hakuna kinachoshindikana, unaweza kukuta LIKUD ndiye Kassim Majaliwa.