Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Vijana tunapiga kelele mishipa inatusimama kuhusu kauli ya Waziri Mkuu kwa waliomaliza degree kwenda VETA. Ni dharau ndio, Anko Maja amezingua? Ndio, pakubwa sana. Sasa tunaingia kwenye propaganda na kurushiana maneno ambayo kimsingi hakuna kitu kitabadilika.
Ndio kwanza wanaendelea kujitoa akili na kufanya promotion ya VETA vizuri. Kutaka kuwawajibisha viongozi sio lazima twende barabarani, kupita mtandaoni na kuacha kauli mbovu. Tunaweza kufanya mgomo kidigitali. Tunaenda nao kizama hizi hizi.
Kila graduate wa degree, masters, etc una kazi au huna angalia kozi yoyote veta apply, hata 10 we omba, pita VETA za kila kituo unachoweza omba, fanya maombi. Tutasikia milio huko huko walipo. Kama hawakusikiliza watasikiliza.
Tudeal nao kisasa, wanatuaona wehu, tuwaoneshe vile tulivyo wendawazimu, kidigitali
Gen Z embu ongozeni hili jambo, tutumie hivyo vifaa vyetu kwa manufaa for once. Tukaitetemeshe VETA mpaka ibubujikwe na machozi
hamtafundishwa kila kitu🌚
Wenye digrii tukiwa tumetoka kutangaziwa na Bloo Maja kuwa VETA haina kapasity inabidi turudi sekondari
Ndio kwanza wanaendelea kujitoa akili na kufanya promotion ya VETA vizuri. Kutaka kuwawajibisha viongozi sio lazima twende barabarani, kupita mtandaoni na kuacha kauli mbovu. Tunaweza kufanya mgomo kidigitali. Tunaenda nao kizama hizi hizi.
Kila graduate wa degree, masters, etc una kazi au huna angalia kozi yoyote veta apply, hata 10 we omba, pita VETA za kila kituo unachoweza omba, fanya maombi. Tutasikia milio huko huko walipo. Kama hawakusikiliza watasikiliza.
Tudeal nao kisasa, wanatuaona wehu, tuwaoneshe vile tulivyo wendawazimu, kidigitali

Gen Z embu ongozeni hili jambo, tutumie hivyo vifaa vyetu kwa manufaa for once. Tukaitetemeshe VETA mpaka ibubujikwe na machozi
hamtafundishwa kila kitu🌚Wenye digrii tukiwa tumetoka kutangaziwa na Bloo Maja kuwa VETA haina kapasity inabidi turudi sekondari