Vijana acheni kelele, kila mwenye degree apply hata kozi 7 VETA. Tutasikia mlio huko huko walipo! Hamtafundishwa kila kitu!

Vijana acheni kelele, kila mwenye degree apply hata kozi 7 VETA. Tutasikia mlio huko huko walipo! Hamtafundishwa kila kitu!

Vijana tunapiga kelele mishipa inatusimama kuhusu kauli ya Waziri Mkuu kwa waliomaliza degree kwenda VETA. Ni dharau ndio, Anko Maja amezingua? Ndio, pakubwa sana. Sasa tunaingia kwenye propaganda na kurushiana maneno ambayo kimsingi hakuna kitu kitabadilika.

Ndio kwanza wanaendelea kujitoa akili na kufanya promotion ya VETA vizuri. Kutaka kuwawajibisha viongozi sio lazima twende barabarani, kupita mtandaoni na kuacha kauli mbovu. Tunaweza kufanya mgomo kidigitali. Tunaenda nao kizama hizi hizi.

Kila graduate wa degree, masters, etc una kazi au huna angalia kozi yoyote veta apply, hata 10 we omba, pita VETA za kila kituo unachoweza omba, fanya maombi. Tutasikia milio huko huko walipo. Kama hawakusikiliza watasikiliza.

Tudeal nao kisasa, wanatuaona wehu, tuwaoneshe vile tulivyo wendawazimu, kidigitali :BearLaugh::KEKLaugh: Gen Z embu ongozeni hili jambo, tutumie hivyo vifaa vyetu kwa manufaa for once. Tukaitetemeshe VETA mpaka ibubujikwe na machozi:BearLaugh::KEKLaugh: hamtafundishwa kila kitu[emoji276]

View attachment 3275490
Wenye digrii tukiwa tumetoka kutangaziwa na Bloo Maja kuwa VETA haina kapasity inabidi turudi sekondari :BearLaugh: :KEKLaugh: ​
Tuna viongozi wapuuzi walioshindwa kutekeleza majukumu Yao na kuleta sababu zisizo na msingi wowote.

Kuna Mass failure kidato Cha nne Kwa nini hao ndio iwe lazima kwenda VETA??

Degree zikienda VETA, Diploma VETA, Certificate VETA, form Six VETA, form four VETA na darasa la saba VETA baada ya miaka 10 tu HAKUTA KALIKA tutarudi kule kule tu.

Sera na sheria za Nchi inabidi zibadilishwe

1., toa passport Kwa vijana wote nchini

2. Weka sheria vijana wote kutoka kidato Cha nne waende VETA japo miaka 2

3. Toa mikopo nafuu Kwa makundi ya vijana 100 waliotoka VETA.

3. Punguza umri wa kustaafu kutoka 60 hadi 55.

4. Ondoka nafasi zote za uteuzi ziwe za ushindani.

5. Weka mazingira rafiki ya biashara

TATIZO SERIKALI YA CCM HAWAWEZI KUFANYA HAYO NI WAOGA NA INCOMPETENT...

Asante.
 
Back
Top Bottom