Labda alidhani nae ni ushauri!Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them".
Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na matarajio makubwa ya kupata kazi, halafu anaishia kupewa kauli za kejeli eti nenda VETA!
Hii haikubaliki.
Nawasilisha.
Tatizo ni kwamba hawakuandaliwa mapema na hiyo plan B !Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them".
Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na matarajio makubwa ya kupata kazi, halafu anaishia kupewa kauli za kejeli eti nenda VETA!
Hii haikubaliki.
Nawasilisha.
Kwa zama za sasa unaingiaje mtaani na matarajio ya kupata kazi? Lazima tuukabali ukweli ya kuwa wahitimu ni wengi ila nafasi za ajira ni chache vijana tunatakiwa tujiongeze mapema.Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them".
Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na matarajio makubwa ya kupata kazi, halafu anaishia kupewa kauli za kejeli eti nenda VETA!
Hii haikubaliki.
Nawasilisha.
Oya nahitaji mkopo, vigezo vikoje.Una uhakika na wewe sio mmojawapo ya wanaohitajika VETA?
Hahahahah unanipa kazi nzito senior wangu.. maana ada pale ni 120,000 .. sasa mimi consultancy fee yangu utanipa ngapi nikikuombea huo mkopo.... au pesa ya kuhonga 30,000 tu 😆😆😆Oya nahitaji mkopo, vigezo vikoje.
Nataka hela nikasome veta
Wee nipe mkopo nataka nikasome na financial services ....nataka nimuone mrembo ndani ya uniformHahahahah unanipa kazi nzito senior wangu.. maana ada pale ni 120,000 .. sasa mimi consultancy fee yangu utanipa ngapi nikikuombea huo mkopo.... au pesa ya kuhonga 30,000 tu 😆😆😆
Kwa zama za sasa unaingiaje mtaani na matarajio ya kupata kazi? Lazima tuukabali ukweli ya kuwa wahitimu ni wengi ila nafasi za ajira ni chache vijana tunatakiwa tujiongeze mapema.
Una hatari sana mkuu, unataka kucheza kila position... we basi itabidi tukufungie kwenda VETAWee nipe mkopo nataka nikasome na financial services ....nataka nimuone mrembo ndani ya uniform
Dunia haiko hivyo mkuu. Kama vijana hawawezi kujitetea wenyewe hali itazidi kuwa mbaya. Kadiri siku zinavyokwenda ndivyo watakavyozidi kuwakebehi na kuwaumiza.Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them".
Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na matarajio makubwa ya kupata kazi, halafu anaishia kupewa kauli za kejeli eti nenda VETA!
Hii haikubaliki.
Nawasilisha.
Sasa wa fom 4b hawataki tuwaguse basi ngoja tukawaguse wa vetaUna hatari sana mkuu, unataka kucheza kila position... we basi itabidi tukufungie kwenda VETA
Unatuhumiwa kwa unyanyasi wa mtandaoni Kuna thread yako...Hakika inaumiza sana
Hahaha... We ndugu yangu mzabzab kauli mbiu ya CCM mwaka huu ni kazi na utu, nakataa uende VETA wewe kwa manufaa ya vijanaSasa wa fom 4b hawataki tuwaguse basi ngoja tukawaguse wa veta
Kabisa sema wengi tumetoka familia za kimasikin hata mtaji kupata ni kaz.Kwa zama za sasa unaingiaje mtaani na matarajio ya kupata kazi? Lazima tuukabali ukweli ya kuwa wahitimu ni wengi ila nafasi za ajira ni chache vijana tunatakiwa tujiongeze mapema.