Kama tumeshindwa kuwasaidia vijana, basi angalau tusiwaumize kwa kauli za kejeli

We kwenu Burkina Faso mambo ya nchi yetu tuachie wenyewe
 
Kwa zama za sasa unaingiaje mtaani na matarajio ya kupata kazi? Lazima tuukabali ukweli ya kuwa wahitimu ni wengi ila nafasi za ajira ni chache vijana tunatakiwa tujiongeze mapema.
Swala la ajira sio kama miujiza ya, mwamposa, kwamba unapaka mafuta Mara paaap! Pesa hizoooo, deal la kazi, fasta.
Sie sio wa, kwanza kuwa na, shida, ya, ajira kwa vijana, Singapore, Vietnam, china, wali kuwa na ko, wakalitatua, tukaige huko, halikutatuliwa na maagizo ya kwenye majukwa, ya wanasiasa, ambao hawajwahi, hata kuanzisha genge la nyanya, lilitatuliwa kisayansi,
Qatar imeanzisha mji, kama silicon Valley, ambapo wameweka miundombinu yote ya IT, wamekaribisha vijana waliosomea IT kutoka duniani waje watengeneze computer games zitakazouzwa duniani, hii itakuwa incubator ya, kipekee duniani, ambapo vijana watatengeneza apps, programs za computer,
Hv ndio nchi inatakiwa ifikilie, sio upuuzi, wa, kusema, nenda VETA pale upate ujuzi! Kama vile hapo, veta unaenda kubeba ujuzi, kiuraiiini, kama, kununua yeboyebo au simu ya tecno kariakoo!
Kozi, ya, kuendesha crane, winch, au, caterpillar, veta ni milioni 1.5 kwa wiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…