Kama tuna visual courts siku hizi, kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Kisutu?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,991
Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.

Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao.

Hakuna ulazima wa misafara kama shughuli ile ile inawezekana kufanywa kwa mtandao bila kuathiri tija na uwakilishi unaohitajika.
 
Tofauti ipo na sababu za kufanya hiyo unayoiita "Visual Court" zinajulikana. Jee Kwa Lissu hizo sababu zipo?
 
Hatukujiandaa vizuri kupokea ulimwengu wa kidigitali ndio maana tunaogooa uchaguzi wa kielectronic nchini!!
Kwenye mambo ya kutoa HAKI mambo ya "Visual Courts" huwa kunatakiwa kuwe na mazingira maalum.

Fikiria wewe uwe magereza, Hakimu/Jaji awe nyumbani kwake, mwendesha mashitaka awe Mkoa mwingine na mashahidi wawe wametawanyika nchi nzima. Jee hiyo kesi utaamini imeendeshwa kihaki?

Kama Marekani, Ulaya, uchina, Japan na India walikoendelea kiteknolojia bado wanaendesha kesi kikawaida, sisi hapa ndiyo hiyo visual Court tutaiweza?
 
Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.

Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao.

Hakuna ulazima wa misafara kama shughuli ile ile inawezekana kufanywa kwa mtandao bila kuathiri tija na uwakilishi unaohitajika.
nadhani ni muhimu sana akapelekwa mahakamani samabamba na mahabusu wenzie kwa kutumi usafiri wa basi la magereza kama kawaida tu:NoGodNo:
 
Kabisa.

Kama Yesu Kristo alizaliwa kwenye holi Lissu kuletwa mahakamani Kwa basi la magereza anastahili kabisa!

Yeye ni mahabusu hana umaalumu wowote ule tofauti na mahabusu wengine!
 
Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.

Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao.

Hakuna ulazima wa misafara kama shughuli ile ile inawezekana kufanywa kwa mtandao bila kuathiri tija na uwakilishi unaohitajika.

..kwa kesi kubwa kama ya UHAINI ambayo hukumu yake ni KUNYONGWA kuna kila sababu iendeshwe ana kwa ana, na kwa uwazi mkubwa.

..kesi nyingine ndogo ndogo, zisizo za madai, za kiutaratibu, ndio zinafaa kuendeshwa kwa njia ya MTANDAO.
 
Kabisa.

Kama Yesu Kristo alizaliwa kwenye holi Lissu kuletwa mahakamani Kwa basi la magereza anastahili kabisa!

Yeye ni mahabusu hana umaalumu wowote ule tofauti na mahabusu wengine!

..Lissu ana umaalumu, na ni tofauti na mahabusu wengine.

..Lissu ni MHAINI na kuna taratibu na tahadhari za kumfikisha mtuhumiwa hatari kiwango hicho mahakamani.
 
Hawa wanajibiwa Kwa jinsi wanavyotaka wajibiwe. Nimemjibu kwa muktadha wa maudhui ya hoja yake!
 
Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.

Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao.

Hakuna ulazima wa misafara kama shughuli ile ile inawezekana kufanywa kwa mtandao bila kuathiri tija na uwakilishi unaohitajika.
Naunga mkono hoja...
 
Kwenye mambo ya kutoa HAKI mambo ya "Visual Courts" huwa kunatakiwa kuwe na mazingira maalum.

Fikiria wewe uwe magereza, Hakimu/Jaji awe nyumbani kwake, mwendesha mashitaka awe Mkoa mwingine na mashahidi wawe wametawanyika nchi nzima. Jee hiyo kesi utaamini imeendeshwa kihaki?

Kama Marekani, Ulaya, uchina, Japan na India walikoendelea kiteknolojia bado wanaendesha kesi kikawaida, sisi hapa ndiyo hiyo visual Court tutaiweza?
Mkuu umenipa shule.
Leo mtandaoni nimepata hili Darasa.
 
Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.

Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao.

Hakuna ulazima wa misafara kama shughuli ile ile inawezekana kufanywa kwa mtandao bila kuathiri tija na uwakilishi unaohitajika.
Ni visually au unamaanisha virtually?
 
Back
Top Bottom