Technolojia imekuwa rahisi Mahakama ifanyie Uwanja wa Taifa na TBC Runinga irushwe nchi nzima.Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.
Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao.
Hakuna ulazima wa misafara kama shughuli ile ile inawezekana kufanywa kwa mtandao bila kuathiri tija na uwakilishi unaohitajika.
Upo sahihi snHatukujiandaa vizuri kupokea ulimwengu wa kidigitali ndio maana tunaogooa uchaguzi wa kielectronic nchini!!
Analojia ndio njia sahihi ya kufanyia sarakasi kwenye mifumo!!
Ngoja tuone!!
Hawakosi kisingizio kama wanataka kukomoa mtu, pia kesho watasema upelelezi bado au gari ni bovuKama wana magari mengi kuna muda wanasema wamekosa gari la kumpeleka mtuhumiwa,je ikiwa virtual court si watasema mitambo haifanyi kazi?
Kabisa mkuuHawakosi kisingizio kama wanataka kukomoa mtu, pia kesho watasema upelelezi bado au gari ni bovu
Watazunguka sana lakini Ushindi uko pale pale.Hawakosi kisingizio kama wanataka kukomoa mtu, pia kesho watasema upelelezi bado au gari ni bovu
Mtu anakuwa ameshaumiaWatazunguka sana lakini Ushindi uko pale pale.
Ndiyo kitachotokeaKabisa mkuu