Kwenye mambo ya kutoa HAKI mambo ya "Visual Courts" huwa kunatakiwa kuwe na mazingira maalum.Hatukujiandaa vizuri kupokea ulimwengu wa kidigitali ndio maana tunaogooa uchaguzi wa kielectronic nchini!!
nadhani ni muhimu sana akapelekwa mahakamani samabamba na mahabusu wenzie kwa kutumi usafiri wa basi la magereza kama kawaida tuSioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.
Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao.
Hakuna ulazima wa misafara kama shughuli ile ile inawezekana kufanywa kwa mtandao bila kuathiri tija na uwakilishi unaohitajika.
Kabisa.nadhani ni muhimu sana akapelekwa mahakamani samabamba na mahabusu wenzie kwa kutumi usafiri wa basi la magereza kama kawaida tu
Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.
Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao.
Hakuna ulazima wa misafara kama shughuli ile ile inawezekana kufanywa kwa mtandao bila kuathiri tija na uwakilishi unaohitajika.
Kabisa.
Kama Yesu Kristo alizaliwa kwenye holi Lissu kuletwa mahakamani Kwa basi la magereza anastahili kabisa!
Yeye ni mahabusu hana umaalumu wowote ule tofauti na mahabusu wengine!
Hawa wanajibiwa Kwa jinsi wanavyotaka wajibiwe. Nimemjibu kwa muktadha wa maudhui ya hoja yake!..Lissu ana umaalumu, na ni tofauti na mahabusu wengine.
..Lissu ni MHAINI na kuna taratibu na tahadhari za kumfikisha mtuhumiwa hatari kiwango hicho mahakamani.
Naunga mkono hoja...Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.
Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao.
Hakuna ulazima wa misafara kama shughuli ile ile inawezekana kufanywa kwa mtandao bila kuathiri tija na uwakilishi unaohitajika.
Kasuku wa kihindi wamekwisha karirishwa kila akipita mtu mijiiii...Hakuna mtu anayezuia Watanzania wasiende kusikiliza kesi ya kubambikwa inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu.
Nani kasuku kati yako na imhotep ?Kasuku wa kihindi wamekwisha karirishwa kila akipita mtu mijiiii...
Jibu hoja.Kasuku wa kihindi wamekwisha karirishwa kila akipita mtu mijiiii...
Mkuu umenipa shule.Kwenye mambo ya kutoa HAKI mambo ya "Visual Courts" huwa kunatakiwa kuwe na mazingira maalum.
Fikiria wewe uwe magereza, Hakimu/Jaji awe nyumbani kwake, mwendesha mashitaka awe Mkoa mwingine na mashahidi wawe wametawanyika nchi nzima. Jee hiyo kesi utaamini imeendeshwa kihaki?
Kama Marekani, Ulaya, uchina, Japan na India walikoendelea kiteknolojia bado wanaendesha kesi kikawaida, sisi hapa ndiyo hiyo visual Court tutaiweza?
Hoja au kihoja..Jibu hoja.
Wafuasi wote wa chadema ni kasuku...Nani kasuku kati yako na imhotep ?
Ni visually au unamaanisha virtually?Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.