Kama tunajenga expressway Dar to Dom kuna kila sababu ya kujenga race circuit, uwanja wa golf wa kisasa pamoja na winery katikati ya Dom na Moro

GANJIBHAAI

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2018
Posts
456
Reaction score
1,352
Tanzania ni nchi iliyojaliwa madhari za kuvutia pasina shaka , kuanzia kaskazini kwenda kusini, magharibi mashariki, sijawahi kupata kigugumizi kusifia juu ya uzuri wa nchi yangu! Kwa kuzingatia hoja yangu kwa tuliopata fursa ya kusafiri kwa njia ya barabara Dom-Moro-Dom tunaweza shuhudia hili, safu za milima ya kila namna, uoto wa asili, Semi arid pamoja na sunset murua kabisa, bado valleys nyingi tu zinazosupport kulima na kutengeneza mvinyo bora kbs kuwahi kutokea.

Kwa sisi tuliwahi kubahatika kukua miaka ya tisini tutamkumbuka dudu kwenye masuala ya drifting lakini pia miaka hivi karibuni nimeshuhudia race nyingi sana za nyikani especially kwenye mkoa wa Iringa.

Nikiirecall mwaka juzi kuna mshkaji wangu mmoja ni diehard fan wa racing kwao si haba alinipa lift kwenye Mitsubishi yake ambayo ni pia ni race car, very expensive akaniambia huwa anaenda nchi jirani kushindana na huwa anaambatana na dada mmoja mnoma kutoka Arusha, mchezo huu si maarufu sana nchini kwetu ila ni mchezo unaohusisha watu wenye pesa ni sawasawa na golf, tennis na gambling tukijumlisha na hali ya hewa yetu inayosupport kulima zabibu bora na kuzalisha wine safi kbs tukajenga na hotel za kisasa plus mbuga ya wanyama ya mikumi kilometer chache tu kutoka Moro ama Dom, kwa kipande kile kwa upeo wangu naamini kuna kitu cha kufanya kwenye uelekeo wetu wa 2050.
 
ligi ya matajiri hiii!!!
Kabisa mpango huu unaweza kuboost utalii kanda ya kati Movement ya watu kati ya Dar-Dom-Dar ni kubwa na itazidi kuwa kubwa miaka michache ijayo. Hata hapa bongo raia wanaijihusisha na race wanatokea kwenye familia zinazojiweza,.
 
Tanzania ni nchi iliyojaliwa madhari za kuvutia pasina shaka , kuanzia kaskazini kwenda kusini, magharibi mashariki, sijawahi kupata kigugumizi kusifia juu ya uzuri wa nchi yangu! Kwa kuzingatia hoja yangu kwa tuliopata fursa ya kusafiri kwa njia ya barabara Dom-Moro-Dom tunaweza shuhudia hili, safu za milima ya kila namna, uoto wa asili, Semi arid pamoja na sunset murua kabisa, bado valleys nyingi tu zinazosupport kulima na kutengeneza mvinyo bora kbs kuwahi kutokea.

Kwa sisi tuliwahi kubahatika kukua miaka ya tisini tutamkumbuka dudu kwenye masuala ya drifting lakini pia miaka hivi karibuni nimeshuhudia race nyingi sana za nyikani especially kwenye mkoa wa Iringa.

Nikiirecall mwaka juzi kuna mshkaji wangu mmoja ni diehard fan wa racing kwao si haba alinipa lift kwenye Mitsubishi yake ambayo ni pia ni race car, very expensive akaniambia huwa anaenda nchi jirani kushindana na huwa anaambatana na dada mmoja mnoma kutoka Arusha, mchezo huu si maarufu sana nchini kwetu ila ni mchezo unaohusisha watu wenye pesa ni sawasawa na golf, tennis na gambling tukijumlisha na hali ya hewa yetu inayosupport kulima zabibu bora na kuzalisha wine safi kbs tukajenga na hotel za kisasa plus mbuga ya wanyama ya mikumi kilometer chache tu kutoka Moro ama Dom, kwa kipande kile kwa upeo wangu naamini kuna kitu cha kufanya kwenye uelekeo wetu wa 2050.
Mitsubishi Evo hio.
Wazo zuri mkuu.
 
Kuna uwanja mkubwa wa golf inajengwa Dom na Jeshi
 
Back
Top Bottom