Pre GE2025 Kama Tundu Lissu atafikisha Ruzuku majimboni kama alivyoahidi kwenye kampeni basi CCM iuzingatie Ushauri wa Kikwete kuwa " Hakunaga Adui Mdogo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete

Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku hadi kwenye level ya Msingi Ili kukiimarisha Chama na Kuna dalili Mpango huo umeanza na account za bank zinafunguliwa Kwa Fujo matawini

Lisu akifanikisha hili Chadema haitakuwa adui mdogo tena mbele ya CCM hivyo Chama tawala kiache Kuishi Kwa kukariri

Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana huku Kagame akiwa siyo mdogo tena 😄
 
Acha wajo
Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.

Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.

Acha wajionee hali halisi. Walimpigia kelele sana Mbowe, ati anakula ruzuku.
 
Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.

Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Kwa Sasa Chadema haiko Kwenye Majimbo yote

Ila Wanachama wakiona tu Makao Makuu wanatoa mgao hadi Kwenye Matawi nao wataongeza Kasi ya kukichangia Chama
 
Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.

Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Hiyo ruzuku nikwa mwezi mwaka au inatoka kwa muda gani? Kwanza tuanzie hapo
 
Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.

Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Polepole ndio mwendo.
Kumbuka kuna wafadhili pia.
Hiki chama hatupaswi kukichukulia poa.
Kinaweza kutudhalilisha.
 
Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.

Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Kuna misaada ya wahisani, michango ya wananchama inatosha kuendesha HQ, 2020-2023 CHADEMA waligoma kupokea ruzuku na bado waliendelea kuendesha ofisi na kulipa mishahara
 
Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete

Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku hadi kwenye level ya Msingi Ili kukiimarisha Chama na Kuna dalili Mpango huo umeanza na account za bank zinafunguliwa Kwa Fujo matawini

Lisu akifanikisha hili Chadema haitakuwa adui mdogo tena mbele ya CCM hivyo Chama tawala kiache Kuishi Kwa kukariri

Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana huku Kagame akiwa siyo mdogo tena 😄
Ni wazo jema sn, michango ya wanachama na wahisani inatosha kuendesha HQ, ruzuku iendele Wilayani hata kwa laki 5 tu zinatosha kabisa kulipa posho watumishi na stationery
 
Back
Top Bottom