johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete
Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku hadi kwenye level ya Msingi Ili kukiimarisha Chama na Kuna dalili Mpango huo umeanza na account za bank zinafunguliwa Kwa Fujo matawini
Lisu akifanikisha hili Chadema haitakuwa adui mdogo tena mbele ya CCM hivyo Chama tawala kiache Kuishi Kwa kukariri
Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana huku Kagame akiwa siyo mdogo tena 😄