johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Acha wajionee hali halisi. Walimpigia kelele sana Mbowe, ati anakula ruzuku.Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Kwa Sasa Chadema haiko Kwenye Majimbo yoteRuzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Kwa hio ni kama kila jimbo litapata laki 3 au 2,Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Point 😀Kwa hio ni kama kila jimbo litapata laki 3 au 2,
Anyway, itasaidia kwa kiasi chake
Hiyo ruzuku nikwa mwezi mwaka au inatoka kwa muda gani? Kwanza tuanzie hapoRuzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Polepole ndio mwendo.Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Ruzuku ni ya mweziHiyo ruzuku nikwa mwezi mwaka au inatoka kwa muda gani? Kwanza tuanzie hapo
Kikwete: Mdharau Mwiba mguu huota tendePolepole ndio mwendo.
Kumbuka kuna wafadhili pia.
Hiki chama hatupaswi kukichukulia poa.
Kinaweza kutudhalilisha.
Kwa mweziHiyo ruzuku nikwa mwezi mwaka au inatoka kwa muda gani? Kwanza tuanzie hapo
kuna michango ya wanachama na wanaweza kuanzisha kampeni maalumu ya kuchangia chama kujiendesha na bila shaka watafanikiwa.Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Kuna misaada ya wahisani, michango ya wananchama inatosha kuendesha HQ, 2020-2023 CHADEMA waligoma kupokea ruzuku na bado waliendelea kuendesha ofisi na kulipa mishaharaRuzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Ni wazo jema sn, michango ya wanachama na wahisani inatosha kuendesha HQ, ruzuku iendele Wilayani hata kwa laki 5 tu zinatosha kabisa kulipa posho watumishi na stationeryNdani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete
Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku hadi kwenye level ya Msingi Ili kukiimarisha Chama na Kuna dalili Mpango huo umeanza na account za bank zinafunguliwa Kwa Fujo matawini
Lisu akifanikisha hili Chadema haitakuwa adui mdogo tena mbele ya CCM hivyo Chama tawala kiache Kuishi Kwa kukariri
Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana huku Kagame akiwa siyo mdogo tena 😄
Kama hakutakuwa na ufisadi, kuna kuna wahisani + vyama rafiki + michango ya wanachamaPolepole ndio mwendo.
Kumbuka kuna wafadhili pia.
Hiki chama hatupaswi kukichukulia poa.
Kinaweza kutudhalilisha.
Safi sana!kuna michango ya wanachama na wanaweza kuanzisha kampeni maalumu ya kuchangia chama kujiendesha na bila shaka watafanikiwa.
Pia kuna wahisani na vyama rafiki kutoka njekuna michango ya wanachama na wanaweza kuanzisha kampeni maalumu ya kuchangia chama kujiendesha na bila shaka watafanikiwa.
Lisu anafuata nyao za Mandela aseeSafi sana!