Pre GE2025 Kama Tundu Lissu atafikisha Ruzuku majimboni kama alivyoahidi kwenye kampeni basi CCM iuzingatie Ushauri wa Kikwete kuwa " Hakunaga Adui Mdogo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete

Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku hadi kwenye level ya Msingi Ili kukiimarisha Chama na Kuna dalili Mpango huo umeanza na account za bank zinafunguliwa Kwa Fujo matawini

Lisu akifanikisha hili Chadema haitakuwa adui mdogo tena mbele ya CCM hivyo Chama tawala kiache Kuishi Kwa kukariri

Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana huku Kagame akiwa siyo mdogo tena 😄
Bwana Yohana Mbatizaji johnthebaptist, mbona huwa unakuwa na ushauri mzuri kwa vyama vya siasa na sio serikali kuu, halmashauri au mashirika/taasisi za umma!!??

Wewe ubobevu wako ni kwenye siasa tuuu tena za CCM na CHADEMA!!??

Kwa nini huishauri serikali kwenye nyanja mbalimbali kama uchumi, afya, elimu, ajira, haki, amani na uhuru wa kujieleza!!???
 
Lisu anafuata nyao za Mandela asee
Lisu ndo mtu pekee anakuja kurudisha imani ya wana chadema na watanzania wengi wenye nia ya dhati ya mabadiliko. ninajua atapata support kubwa sana kutoka kwa wananchi kama akihitaji maana mara kadhaa tumechanga watu watoke jela, hatuta shindwa kuchanga leo ili kuimarisha chama.

LISU NDO ADIU MKUU WA CCM NA WASIPOKUWA MAKINI WATAJUTIA UWEPO WAKE😎😎😎
 
Hiyo ruzuku ya milioni 100? Bado hujalipa mishahara, mafuta ya magari, maji, ulinzi, usafi, kodi ya jengo na ardhi. Mbona miguu itanyooka.

Mbona bado hajaonja joto LA jiwe, na njaa ikiwa kali atasikia mayowe na viashiria vya usaliti, nani afe njaa wakati kwa jirani kuna pilau
 
Uchumi wa Tanzania unaendeshwa na Siasa ndio sababu unawaona Prof Kitila na Kafulila hawana ubobevu wowote kwenye Uchumi lakini ndio vinara wa maamuzi ya Kiuchumi na Prof Lipumba Mbobezi wa Uchumi anayetambuliwa hadi na Israel Taifa teule la Mungu ni mwenyekiti wa Chama Kichovu cha Siasa

Ushauri wako nitauzingatia na nitaanza kuishauri serikali hasa vijana Wetu wa TRA na Tamisemi
 
Ruzuku ya vyama vya siasa inaporwa na CCM, wanakula zaidi ya Bil 2 kwa mweI baada ya wizi na uchafuzi wa chaguzi nchini.
 
Hiyo ruzuku ya milioni 100? Bado hujalipa mishahara, mafuta ya magari, maji, ulinzi, usafi, kodi ya jengo na ardhi. Mbona miguu itanyooka.

Mbona bado hajaonja joto LA jiwe, na njaa ikiwa kali atasikia mayowe na viashiria vya usaliti, nani afe njaa wakati kwa jirani kuna pilau
Inategemea na njaa ya mtu, ni kweli kuna mitanzania mingine ipo hapa duniani kusaka nyumba ipi ina pilau ikale.
 
Hiyo ruzuku ya milioni 100? Bado hujalipa mishahara, mafuta ya magari, maji, ulinzi, usafi, kodi ya jengo na ardhi. Mbona miguu itanyooka.

Mbona bado hajaonja joto LA jiwe, na njaa ikiwa kali atasikia mayowe na viashiria vya usaliti, nani afe njaa wakati kwa jirani kuna pilau
Chadema ni Chama Cha kibepari so pale HQ kuna Watumishi 18 tu wanaolipwa mishahara wengine wote ni Professionals Wana vipato Nje ya Chadema tofauti na CHAWA wa hapo kwenu Wanaolelewa na Wamama wa UWT 😄😄
 
Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete

Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku hadi kwenye level ya Msingi Ili kukiimarisha Chama na Kuna dalili Mpango huo umeanza na account za bank zinafunguliwa Kwa Fujo matawini

Lisu akifanikisha hili Chadema haitakuwa adui mdogo tena mbele ya CCM hivyo Chama tawala kiache Kuishi Kwa kukariri

Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana huku Kagame akiwa siyo mdogo tena 😄

Sijui kwa nini CCM wanaogopa Chadema. CCM ni chama chenye nguvu na kitashinda uchaguzi ILA
tunahitaji chama cha upinzani ili chama Tawala kijisahihishe makosa kwa haraka (kisijisahau).
Lakini pia, huwezi kukimbia kwa nguvu kama hakuna unayeshindana naye mbio; utabaki kujisifia kuwa unakimbia huku unatembea....
bila Yanga, Simba haingefika hapo ilipo LAKINI pia, bila Simba Yanga haingefikia hayo mafanikio
Tusichukulie vyama vya siasa kama maadui, bali tuwachukulie kama wabia wa maendeleo!!!
 
Kwani gaidi mbowe alikuwa hapeleki ruzuku chini
Mkuu, malizeni kwanza matatizo yenu mapema, naskia wanachama wamestukia dili lililofanyika dodoma, wanasema ule ni uhuni hawakubali, kama bwai na iwe bwai ni bora bakuli la mboga limwagike chini mlale njaa wote.
 
Mkuu, malizeni kwanza matatizo yenu mapema, naskia wanachama wamestukia dili lililofanyika dodoma, wanasema ule ni uhuni hawakubali, kama bwai na iwe bwai ni bora bakuli la mboga limwagike chini.
Wanachama gani?
 
Lisu ndo mtu pekee anakuja kurudisha imani ya wana chadema na watanzania wengi wenye nia ya dhati ya mabadiliko. ninajua atapata support kubwa sana kutoka kwa wananchi kama akihitaji maana mara kadhaa tumechanga watu watoke jela, hatuta shindwa kuchanga leo ili kuimarisha chama.

LISU NDO ADIU MKUU WA CCM NA WASIPOKUWA MAKINI WATAJUTIA UWEPO WAKE😎😎😎
Watamuua, juzi walimzushia ajali mbaya na hatukuona TCRA wala Msigwa anakemea
 
Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.

Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Chama kinachangiwa na wanachama, ruzuku inaongeza tu, ngoja wakamilishe mfumo wa utawala wa fedha uone wanachama na mashabiki wakavyoendesha chama kwa kukichangia utashangaa, nina uhakika haya JK atachangia anonymously
 
Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.

Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Tundu Lisu alipoahidi alikuwa hajui hilo? Apeleke pesa hata kama elfu moja

Yeye ndio alikuwa akiimba ooh pesa zinaliwa na Mbowe makao makuu hazifiki matawini wakati matawini ndiko kuliko na wapigania chama Kuwa yeye akishila uenyekiti ataliondoa hilo.Akapigiwa makofi na kura wakampa .Huyo waliyemtuhumu mwizi Mbowe walamnyima kura

azipeleke sasa hizo hela za makao makuu matawini
 
Wanachama hai watachangia chama hata kama ruzuku haitoshi!
 
Ni wazo jema sn, michango ya wanachama na wahisani inatosha kuendesha HQ, ruzuku iendele Wilayani hata kwa laki 5 tu zinatosha kabisa kulipa posho watumishi na stationery
Mhisani mkuu wa Chadema alikuwa Mbowe usisahau hilo kabla yake alikuwa mzee Ndesamburo
 
Back
Top Bottom