GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa 'Kufurahia' vile 'anavyokumbatiwa' hasa mbele ya Kadamnasi. Nashauri tu Wiki ijayo Rais Dk. Magufuli akishinda Uchaguzi Mkuu ujao kwa 'Kishindo' kabisa hawa Wawili 'Wakikumbatie' tu Chama chao Kimoja.