Uchaguzi 2020 Kama Tundu Lissu na Maalim Seif wana 'Mahaba' yao ya 'Kisiasa' wanayotuonyesha sasa kwanini hawakuwa sehemu Moja tu Kichama?

Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa 'Kufurahia' vile 'anavyokumbatiwa' hasa mbele ya Kadamnasi. Nashauri tu Wiki ijayo Rais Dk. Magufuli akishinda Uchaguzi Mkuu ujao kwa 'Kishindo' kabisa hawa Wawili 'Wakikumbatie' tu Chama chao Kimoja.
2598957_1f6ae.jpg
 
Kwahiyo una kawivu hivi?

Sent from my XT1097 using JamiiForums mobile app
 
Jaduong una tatizo moja la kutaka mtu kusifia hata upuuzi.
Not only Gentamycine , even you too siku hizi umeendekeza matusi . Chagu ndugu yangu siasa hizi zisituondolee utu wetu. Alichokiandika huyo jamaa hakionyeshi usomi wake wa SAUT

Leo Maghufuli kaenda Karatu amemsifia sana Dr Slaa. Slaa huyu huyu wana Ccm walimtusi kila aina ya matusi. Kumbe wakiwa Cdm ni wabaya , lakini wakienda Ccm ni watakatifu ?! Same to Mzee Lowasa. Ni karibuni tu , mlikuwa mnamchakaza matusi , lakini Leo kila wakati yuko na Maghufuli high table . Usitimiwe na wanasiasa
 
Jaduong, always mimi ni msema ukweli sasa matusi yanatoka wapi. Mfano uzi wa huyu popoyo kuna kosa gani kusema ukweli?
 
Hii mbinu ya coalition umemvuruga Sana Mutungi na boss wake awakutegemea Zitto, maalimu na Lisu ni akili kubwa.
Eti wajieleze why walipanda jukwaa moja. Hali amesahau kada mwenzao wa tlp
 
Attachments

  • Screenshot_20201022_173336.jpg
    Screenshot_20201022_173336.jpg
    72.3 KB · Views: 1
Not only Gentamycine , even you too siku hizi umeendekeza matusi . Chagu ndugu yangu siasa hizi zisituondolee utu wetu. Alichokiandika huyo jamaa hakionyeshi usomi wake wa SAUT

Leo Maghufuli kaenda Karatu amemsifia sana Dr Slaa. Slaa huyu huyu wana Ccm walimtusi kila aina ya matusi. Kumbe wakiwa Cdm ni wabaya , lakini wakienda Ccm ni watakatifu ?! Same to Mzee Lowasa. Ni karibuni tu , mlikuwa mnamchakaza matusi , lakini Leo kila wakati yuko na Maghufuli high table . Usitimiwe na wanasiasa

Sioni cha kushangaza. Chadema walimchafua Lowasa kwa zaidi ya miaka mitano, lakini mwisho wa siku ndiye akawa mpeperusha bendera wao wa mwaka 2015. Unashangaa nini?
 
Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa 'Kufurahia' vile 'anavyokumbatiwa' hasa mbele ya Kadamnasi. Nashauri tu Wiki ijayo Rais Dk. Magufuli akishinda Uchaguzi Mkuu ujao kwa 'Kishindo' kabisa hawa Wawili 'Wakikumbatie' tu Chama chao Kimoja.

2600538_tapatalk_1603552691492.jpeg
KWENYE MAHITAJI YA MSINGI KWA BINAADAMU

Tumejitahidi kutoa maji safi na matamu kabisa yenye rangi ya MAZIWA, katika kila uchochoro wa Taifa hili.

Ndugu Mataga tunakuomba kura yako, Ili tuweze kusambaza mabomba ya asali sasa kila uchochoro wa Taifa hili

MITANO TENA
 
Ahaa jaduong kukumbatia mtu kwa upendo ni ushoga?

Mshaurini mgombea wenu amefanya kosa kubwa sana kutetea haki za mashoga.
Waliotetea jambo hili kwenye platform rasmi ni pamoja na
1. Waziri wa mambo ya ndani wakati huo mh. Khangi Lugola (bungeni). Hansard zipo.
2. Waziri wa mambo ya nje mh. P Kabudi akimkana mkuu wa mkoa wa DSM wakati huo Paul Makonda mbele ya jamii ya kimataifa. Na huo ukawa ni msimamo wa serikali juu ya mashoga. Sasa mbona mnamuangushia Tundu Lissu upupu wenu ?!
 
Jaduong huu sio ukweli,Lugola alisema wazi bungeni ni kosa la jinai. Na kuhusu kabudi ni propaganda za uongo tu. Sheria za Tanzania zinatamka wazi kuwa ni kosa.
 
Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa 'Kufurahia' vile 'anavyokumbatiwa' hasa mbele ya Kadamnasi. Nashauri tu Wiki ijayo Rais Dk. Magufuli akishinda Uchaguzi Mkuu ujao kwa 'Kishindo' kabisa hawa Wawili 'Wakikumbatie' tu Chama chao Kimoja.
Mbona maalim alihojiwa na bbc akaelezea hiki ulichouliza. Hawakutaka kuweka mayao yote kwenye kapu moja
 
Back
Top Bottom