GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kaniudhi sanaWakati mwingine, Gentamycine unakosa hoja . Ikiwa na hili andiko
Kuna mda unakuaga sio wewe kabisa, Unaweza kujipunguzia reputation kipumbavu kama hivi..! Kwani ukiandika vizuri tu thread ako unapungukiwa nini mkuu!?Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa 'Kufurahia' vile 'anavyokumbatiwa' hasa mbele ya Kadamnasi. Nashauri tu Wiki ijayo Rais Dk. Magufuli akishinda Uchaguzi Mkuu ujao kwa 'Kishindo' kabisa hawa Wawili 'Wakikumbatie' tu Chama chao Kimoja.
Unataka 'Hoja' gani tena Mkuu hapo ( hapa ) wakati 'Hoja' ni jinsi 'Mpemba' wa Watu anavyojua 'Kumkumbatia' Mnyiramba Mbeleshi Kibashasha.Wakati mwingine, Gentamycine unakosa hoja . Ikiwa na hili andiko
Na mpaka Siku ya Uchaguzi Mkuu, Kutangazwa kwa Matokeo, Ushindi wa Rais Dk. Magufuli na CCM yake ( yetu ) nitawakera ( nitawaudhi ) sana.
'Mwamba' Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais Mtarajiwa na Mshindi wa 'Kura' zote 29,188,347 kutoka Vituo 80,155 vya Kupigia 'Kura' hizo zote.Wivu Sina Ila roho inauma nikiona watu wakimshangilia nani vile?
Fanya utafiti .Kuna mda unakuaga sio wewe kabisa, Unaweza kujipunguzia reputation kipumbavu kama hivi..! Kwani ukiandika vizuri tu thread ako unapungukiwa nini mkuu!?
......Shame on you mkuu!
Kwani GENTAMYCINE kuwa CCM ni Dhambi 'Wapuuzi' nyie? Yaani mnakosa 'Akili' ndogo tu kujua kuwa hapa 'nakikampenia' Chama changu CCM?Kuna mda unakuaga sio wewe kabisa, Unaweza kujipunguzia reputation kipumbavu kama hivi..! Kwani ukiandika vizuri tu thread ako unapungukiwa nini mkuu!?
......Shame on you mkuu!
'Thubutu' yako na acha kabisa 'Kuota' Mkuu. Hawa 'Wapinzani' kwa taarifa yako 'hawapendani' kabisa halafu Wote 'Mioyoni' ni 'Pro CCM' tupu tu...Zitto na Maalim hawakuwa na uhakika kama TL angerejea Tanzania.
..Wangekuwa na uhakika basi leo hii CUF-Maalim Seif, ACT, na CDM, wangekuwa wameshaungana.
Kwani nilivyojiunga hapa JF 2013 niliwaambia kuwa nahitaji Heshima? Juha wakubwa nyie kwahiyo ili niheshimike JF ni lazima niwe tu CHADEMA?Huwa una hoja leo una kiroja
Anyway ni haki yako na hujavunja sheria ila umejishushia heshima
'Thubutu' yako na acha kabisa 'Kuota' Mkuu. Hawa 'Wapinzani' kwa taarifa yako 'hawapendani' kabisa halafu Wote 'Mioyoni' ni 'Pro CCM' tupu tu.
Vyama magumashi hiviKila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa 'Kufurahia' vile 'anavyokumbatiwa' hasa mbele ya Kadamnasi. Nashauri tu Wiki ijayo Rais Dk. Magufuli akishinda Uchaguzi Mkuu ujao kwa 'Kishindo' kabisa hawa Wawili 'Wakikumbatie' tu Chama chao Kimoja.