Uchaguzi 2020 Kama Tundu Lissu na Maalim Seif wana 'Mahaba' yao ya 'Kisiasa' wanayotuonyesha sasa kwanini hawakuwa sehemu Moja tu Kichama?

Watu wanao fungamana na mapenzi ya jinsia mmoja kukumbatiana kimahaba hadharani nijambo la kawaida.
 
Kuna mda unakuaga sio wewe kabisa, Unaweza kujipunguzia reputation kipumbavu kama hivi..! Kwani ukiandika vizuri tu thread ako unapungukiwa nini mkuu!?
......Shame on you mkuu!

Msamehe bure. Lengo la kuandika alichoandika halikuwa kukufurahisha wewe. Alikuwa anatoa lake la moyoni!
 
Wale ni wapinzani wa ukweli,sio mamluki,ila kuna mmoja hapo kala bata za ikulu sana tu pamoja na upinzani wake, Wote ni tishio wana nyomi kubwa ya kumtetemesha mpinzani wao.Siasa ndivyo zilivyo hakuna mahaba ya kudumu
 
Mkuu, kauli kama hii ingalitolewa na mtu kama Bia Yetu wala watu wengi wasingelistaajabu.
 
Hao hawana mahaba yoyote yale hiyo yaitwa "play acting"

"Play acting" au mchezo wa kuigiza hufanywa na watu wenye akili nyingi lakini pasipo maarifa.

Ndo maana wale welevu wamewavuruga tayari.

Isitoshe, yesemekana huko nyuma ya pazia kuna fataki kubwa limezuka na watu watafutana huku na huko.
 
Mbona hukuwahi kuuliza kuhusu kukumbatiana kwa Kikwete na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU!? Acha upuuzi pandikizi la dikteta na muuaji Kagame.
 
..Zitto na Maalim hawakuwa na uhakika kama TL angerejea Tanzania.

..Wangekuwa na uhakika basi leo hii CUF-Maalim Seif, ACT, na CDM, wangekuwa wameshaungana.
Na wote wake zao wako nje, tafakari hapo hawa w a s e n g e wasitake kuivuruga nchi.
 
'Mwamba' Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais Mtarajiwa na Mshindi wa 'Kura' zote 29,188,347 kutoka Vituo 80,155 vya Kupigia 'Kura' hizo zote.
Acha na Hilo linalokula matapishi yake lenyewe ata MBWA hawezi fanya ivyo.

Twende na Tundu Lisu 28/10/2020
 
Kumbato la kilghai mkuu
 
Acha dharau, unawatukana watu wazima hadharani! Unaitumia vibaya siasa, wewe ulipokuwa unakumbatiwa mgongoni na Jabir nani alikusema! Acha hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…