johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Bwashee niko safarini kuelekea Iringa mjini...... Tunahitaji kulirejesha jimbo CCM!Ahahaha,mkuu are serious?
Unafiki ndio siasa yenyewe bwashee!Acha Tundu lissu Aendelee kupoteza mvuto na genge lake kwa kujitekenya na kuchekwa wenyewe.
CCM Ni Chama kikongwe kilicho komaa kisiasa subirieni siku kikiingiza kikosi uwanjani ndo mtaona Watanzania walivyo wanafiki kwa Tundu lissu.
Hoja zipo lukuki bwashee.Utashambulia vipi hauna hoja mzee baba?
Kafanana na tumainiel!Nyie si mnamshambulia pia, mumekodi viongozi wa dini na wasanii kuendeleza mashambulizi. Tulieni mkamuliwe majipu hayo mponeView attachment 1540839
Hahahaaaa.........!Weka mpira Kati na Kisha ukapaki basi,
Kipenga kinachofuata nacho ni mpiraaa katiiii.