johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Mtasubiri sana bwashee!
Mtasubiri sana bwashee!
Kwa kutumia wasanii?Acha Tundu lissu Aendelee kupoteza mvuto na genge lake kwa kujitekenya na kuchekwa wenyewe.
CCM Ni Chama kikongwe kilicho komaa kisiasa subirieni siku kikiingiza kikosi uwanjani ndo mtaona Watanzania walivyo wanafiki kwa Tundu lissu.
ziseme sasaHoja zipo lukuki bwashee.
Naelekea Iringa mjini..... Utazisikia soon!ziseme sasa
Akili yako ndogo sana kuelewa, ipo hivi! Kwa miaka yote Mitano CCM imekuwa ikijenga nchi, siasa wakati huo iliwekwa Flight Mode. Now flight Mode ipo resumed. Anybody now may Unleash it’s dragon.... Chadema wamemunleash Lisu, CCM na Magufuli n.k kila jambo na msimu wake ndugu, ama ligi kuu inachezwa wakati wote?CCM imefanya mashambulizi kwa karibu miaka yote mitano, huku ikimnyang'anya mwamuzi filimbi yake na kuwaondoa washika kibendera wote. Sasa imeamua kupaki basi ili kulinda ushindi uchwara.
Mbinu pekee iliyobakia kwa CCM sasa ni kuwatumia wasanii walevi na wavuta bangi, Pole Pole amesema mbinu hiyo inafaa na mkuu kaipenda sana.
Hakika mkuu!Akili yako ndogo sana kuelewa, ipo hivi! Kwa miaka yote Mitano CCM imekuwa ikijenga nchi, siasa wakati huo iliwekwa Flight Mode. Now flight Mode ipo resumed. Anybody now may Unleash it’s dragon.... Chadema wamemunleash Lisu, CCM na Magufuli n.k kila jambo na msimu wake ndugu, ama ligi kuu inachezwa wakati wote?
Jk hakuwa mchumi Kaka, lakini pia Nyerere alikuwa Mwalimu lakini hakufanya upuuzi anaoufanya maguTop management imejaa walimu hawaelewi hata maana ya uchumi ni nini? JK alikuwa ni mchumi akisimama unatamani kuongeza sauti ya radio usikilize nondo.
JK ni mchumi acha utani mkuuJk hakuwa mchumi Kaka, lakini pia Nyerere alikuwa Mwalimu lakini hakufanya upuuzi anaoufanya magu
Nipo Iringa mjini manka..... Msigwa aanze kuaga!
Naona Lumumba mmeamisha tena Goli???😂😂😂😂.Dk Slaa alikuwa mtu wa dini hivyo laana aliyowachia haitawaacha salama
Mze wa watu alihangaika kukijenga chama miaka 5 alafu kinafika kipindi cha uchaguzi Mbowe na mwenziwe Lisu wanauza nafasi ya kugombea urahisi kwa Lowasa
Haki nawambieni laana ya huyu mzee itawatafuna sana
Ndugu, tuungane ili kuutokomeza utawala huu wa MABAVU, utawala usio na uchungu wa maisha ya watu wake. Utawala ambao uko tayari kupoteza raia wema na kushambulia wengine kwa mvua za risasi tena mchana kweupe kwa tamaa na uroho wa madaraka..Haina sababu kumlalamikia Tundu Lisu kwa sababu ushindi ni mbinu na Chadema wameamua kutumia mfumo wa kumuweka mshambuliaji mmoja mbele na kujaza viungo kibao katikati.
Naiona CCM ikijaribu kupaki bus mbinu za Morinho ambazo zinaruhusu mashambulizi ili wewe uzuie tu na kupata sare.
Mbinu hii haina msaada hapa haitafutwi sare bali ushindi.
CCM ni lazima ishambulie, lazima iwaweke mbele watu wenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo.
Watu wanaoweza kuelezea uchumi wa kati kwa lugha inayotafsirika kwa wananchi waongoze mashambulizi halafu akina kibajaj na musiba wawe wanalinda goli yule Tundu asije kuzifumania nyavu
Nawatakia tuesday yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Sijaona barabara, ndege, meli, sgr, ubwabwa kwenye haya mabango