Kama Tundu Lisu anashambulia na CCM ishambulie pia isipaki basi, ipande na kushuka kama timu

Acha Tundu lissu Aendelee kupoteza mvuto na genge lake kwa kujitekenya na kuchekwa wenyewe.

CCM Ni Chama kikongwe kilicho komaa kisiasa subirieni siku kikiingiza kikosi uwanjani ndo mtaona Watanzania walivyo wanafiki kwa Tundu lissu.
Kwa kutumia wasanii?
 
CHADEMA mnahangaika tu bure kwanza mna laana ya DK Slaa hamtafanikiwa kamwe mpaka mkamuombe radhi
 
Dk Slaa alikuwa mtu wa dini hivyo laana aliyowachia haitawaacha salama

Mze wa watu alihangaika kukijenga chama miaka 5 alafu kinafika kipindi cha uchaguzi Mbowe na mwenziwe Lisu wanauza nafasi ya kugombea urahisi kwa Lowasa

Haki nawambieni laana ya huyu mzee itawatafuna sana
 
Akili yako ndogo sana kuelewa, ipo hivi! Kwa miaka yote Mitano CCM imekuwa ikijenga nchi, siasa wakati huo iliwekwa Flight Mode. Now flight Mode ipo resumed. Anybody now may Unleash it’s dragon.... Chadema wamemunleash Lisu, CCM na Magufuli n.k kila jambo na msimu wake ndugu, ama ligi kuu inachezwa wakati wote?
 
Hakika mkuu!
 
Naona Lumumba mmeamisha tena Goli???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kweli mna hali mbaya mwaka huu!!
 
Wananchi wamewasikiliza CCM kwa miaka 5, sidhani wana jipya ambalo lina mvuto zaidi ya hekaya za Madaraja, Ndege, reli, umeme vijijini ambazo Zilipendwa!!

hizi ndiyo hasara ya mtu kuongea peke yake kwa mda mrefu bila kuruhusu wenzake kufumbua midomo.
 
Ndugu, tuungane ili kuutokomeza utawala huu wa MABAVU, utawala usio na uchungu wa maisha ya watu wake. Utawala ambao uko tayari kupoteza raia wema na kushambulia wengine kwa mvua za risasi tena mchana kweupe kwa tamaa na uroho wa madaraka..

Utawala ambao umewatelekeza vijana na kuwaacha wengi wao wakiwa MASIKINI WA KUTUPWA kwa ukosefu wa ajira, sera mbovu za kilimo, ufugaji na ujasiriamali..

Utawala amabao umewagawa Watanzania kwa itikadi za Vyama na kujenga chuki baina yao, kujenga matabaka ya WACHACHE KUFURAHIA MEMA NA KEKI YA TAIFA kama akina Bashite na wengineo..

MITANO YA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA, INATOSHA....
 

Attachments

  • Makonda ajitangaza mla raha namba moja duniani..mp4
    857.8 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…